Tuesday 3 February 2015

Re: [wanabidii] NI PROFESSA LIPUMBA AU NI PROFESA LIPUMBAFU?

Ndaki;
Tunaweza kuanza kwa kujadili kuanzia 'HEADING' tu,je inafanana na wasifu wa aliyeleta hii mada?
Wengine tumeshindwa hata kuendelea kuisoma baada ya kukutana na hiyo heading,hata choo ukikuta kina kinyesi mlangoni kwa nje sidhani kama utakuwa na hamu ya kuufungua mlango.
 
Reuben


On Tuesday, February 3, 2015 8:37 AM, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:


alichokileta happy kinaitwa "kebehi" lakini je hebu tujadili content kwanza. je nisahihi lipumba kwenda kwa jk kumweleza matatizo ya jeshi wakati jk ni mwanajeshi pia? tayari lipumba anakesi anauhakika ya fransis cheka hayatampata?
On Feb 3, 2015 6:09 PM, "'ananilea nkya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Dada Fatma,
Matusi ni ugonjwa wanaoumwa Watz wengi lakini viwango vinatofautiana kulingana na mtu anasukumwa na nini na nguvu gani(the hegemony behind).Maana si rahisi mtu aibuke ghafla na kupata nguvu ya ajabu ya kutukana watu wengine kama hasumbuliwi na mgonjwa wa akili au yuko 'kazini'. Tiba anayo mwenyewe ajitibu sasa au abubiri kukamilisha 'mradi' wake-- But, all in all, time will tell maana hakuna marefu yasiyo na mkia na maisha ni mzunguko--ukipanda heshima utavuna heshima--ukipanda matusi utayavuna hayo hayo tena ukiwa hai, hapa Tanzania- mama na baba yetu sote.

Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Tue, 2/3/15, fatma_elia via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] NI PROFESSA LIPUMBA AU NI PROFESA LIPUMBAFU?
 To: wanabidii@googlegroups.com
 Date: Tuesday, February 3, 2015, 2:45 PM

 Dada Ananilea

 Mwenzetu Hapiness
 anatutukanisha. Mwanamke gani usiyeambiwa jambo
 ukajirekebisha?
 Kisha anapewa kichwa na
 Moderator kudai eti ni maoni yake. Hatukatai mtu kutoa maoni
 lakini siku hizi matusi yamekuwa maoni?
 Ukifuatilia sana makala zake anatukana halafu
 anadai wapinzani ndio wanatukana. Sasa mimi nashindwa
 kuelewa kama maoni yake ndio hayo ya kuwatukana watu ana
 tofauti gani na hao wapinzani? Kwa maoni yangu Wapinzani ni
 wastarabu sana kwa huyu dada yetu. Kama ulivyosema mwenyewe
 mdomo uliponza kichwa na mimi nataka nikuongezee na hili.
 Yaliyomkuta kibeku na ungo yatamfika

 Fatma

 Sent
 from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel
 Tanzania.

 -----Original
 Message-----
 From: "'ananilea
 nkya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
 Sender: wanabidii@googlegroups.com
 Date: Tue, 3 Feb 2015 06:23:25
 To: <wanabidii@googlegroups.com>
 Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
 Subject: Re: [wanabidii] NI PROFESSA LIPUMBA AU
 NI PROFESA LIPUMBAFU?

 Pufuuuuuuuuuuuuuuuu.
 Ananilea
 Nkya
  E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

 --------------------------------------------
 On Tue, 2/3/15, 'Happiness Katabazi'
 via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:

  Subject:
 [wanabidii] NI PROFESSA LIPUMBA AU NI PROFESA LIPUMBAFU?
  To: "WANABIDII" <wanabidii@googlegroups.com>
  Date: Tuesday, February 3, 2015, 8:19 AM

  NI PROFESSA LIPUMBA AU NI
 PROFESA
  LIPUMBAFU?
  Na
 Happiness Katabazi


 JUMAPILI iliyopita Mwenyekiti wa Taifa wa Chama ya
 Wananchi
  (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba
 akizungumza  na
  waandishi wa Habari
 mambo  mengi likiwemo tukio la
  Polisi
 Kuzuia maandamano ya CUF Januari 27 na kuwapiga bila
  Sababu na kuwaibia baadhi ya vitu vyao.

  Profesa Lipumba alisema pia
 anafanya jitihada ya
  kuonana  na Rais
 Jakaya Kikwete kumweleza tukio hilo na

 kwamba Serikali na CCM inakata kuvuruga amani na
  haihehimu  maridhiano yaliyofanyika  mwaka
 2001,
  vinginevyo hali itakuwa  katika
 uchaguzi mkuu 
  mwaka huu.


  Itakumbukwa Kuwa Januari 29 Mwaka huu,
 Waziri wa Mambo ya
  Ndani, Mathias Chikawe
 alitoa tamko la serikali kuhusu tukio
  la
 Januaria 27 Mwaka huu,ambapo pamoja na mambo mengine
  alimtaka mtu yoyote mwenye malalamiko kuhusu
 ukiukwaji wa
  Sheria za nchi, Nguvu nyingi
 na Polisi awasilishe malalamiko
  hayo Kwenye
 Dawati la uchunguzi na kwamba Dawati Hilo

 itayapokea na kuyafanyia kazi na kwamba Taasisi husika
  zitafanya uchunguzi Kama uenda Nguvu zaidi
 zilitumiwa na
  Polisi bila Sababu za
 Msingi.

  Cha ajabu watu
 Wengi Wanaolaani tukio lile wameshindwa

 kufika Katika Dawati la uchunguzi kutoa malalamiko Yao
  likiwemo dai la jeshi la polosi limejivika 
 ukada wa
  CCM wameishia kutumia vyombo Vya
 Habari, katika mitandao ya
  kijamii
 Kulalamika na kutukana kitendo ambacho haisaidii
  kukomesha matukio Kama hayo wanayo dai Jeshi
 la Polisi
  linatumia Nguvu nyingi bila
 Sababu za Msingi.


 Februali Mosi Mwaka huu, Professa Lipumba alipokuwa
  Akizungumza na waandishi    alisema
 anafanya
  jitihada za kumuona Rais Kikwete
 ili imfikishie kilio chao.

  Kwa Madai hayo ya Lipumba ,Nimuulize Lipumba
 amesahau kuwa
  Kikwete Kuwa ni Mwenyekiti wa
 CCM Taifa na pia ni Amiri
  Jeshi Mkuu wa
 Majeshi ya Ulinzi na Usalama na aliwahi Kuwa
  Ofisa wa Jeshi la Wananchi(JWTZ)?

  Lipumba kadai Polisi
 imejivika  Joho la Ukada wa
  CCM.Sasa
 Lipumba yeye ni CUF haoni Kama akienda kumweleza
  Hilo Rais Kikwete ni sawa anafanyakazi ya
 'kumvalisha Mbu
  miwani' au Kesi ya
 Nyani anampelekea Ngedere?

  Halafu Lipumba anaenda kumweleza nini Rais
 Kikwete Kuwa yeye
  na wafuasi wake
 walijeruhiwa na Polisi ili iweje? Kwani

 Kikwete ni Daktari au nesi wa kuwatibia majeraha
  waliyoyapata kutokana na vipigo' Mpini
 ' wa Askari Polosi?


 Tufanye Lipumba Hana Imani na Jeshi la Polisi kwa hiyo
 hata
  akienda kutoa malalamiko yake Katika
 Dawati la uchunguzi
  dhidi ya Polisi wale
 hayatafanyiwa  kazi.

  Kwa
 nini Lipumba anashindwa Kufungua Kesi ya Madai ya fidia
  dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi, Mwanasheria
 Mkuu wa
  Serikali ya kuomba Mahakama itoe
 amri kwa wadaiwa Hao ili
  iwalipe fidia
 iliyotokana na madhara ya vipigo Vya Polisi?

  Ibara 107 A(1) ya Katiba ya
 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  ya Mwaka
 1977, inasema Mahakama ni Chombo pekee cha kutoa
  haki na Ndio maana Mkurugenzi wa Mashitaka
 (DPP), Biswalo
  Mganga, Januari 28 Mwaka
 huu, amemfungulia Lipumba Kesi ya
  jinai
 Na.25 / 2015, Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
  Dar es Salaam.

  Kwa nini Lipumba anashindwa kutumia haki hiyo
 ya Kikatiba
  kupata haki yake anayodhani
 anastahili kuipata? Vyombo Vya
  Habari,
 mikutano ya adhara ,kukutana na Kikwete

 haitakusaidia kupata hiyo haki yako ya Kikatiba ya
  kuandamana, kupewa fidia ya kujeruhiwa na
 Hasara iliyoupata
  CUF kwaajili ya kuandaa
 maandamano na mkutano wa adhara wa
  Januari
 27 Mwaka huu.

  Zaidi zaidi
 Mbele ya Jamii ya watu wenye akili timamu na
  waliotazama video ya Januari 27 Mwaka huu,
 ambao Katika
  video hiyo Ulipokuwa
 ukihojiwa  na polisi  wewe
  Mwenyewe
 (Lipumba) kwa Mdomo wako ulikiri Mbele ya Polisi
  wale na ulisema yafutatayo ;


  ' Barua   ya Jeshi la Polisi ya
 Kuzuia
  maandamano ya CUF mliipata  saa 12
 Kabla  ya CUF
  kuanza maandamano na kwamba
 wewe na wafuasi wako siku hiyo
  ya Januari
 27 mwaka huu, mlikuwa mkitembea kwa miguu huku
  mkiwa Wengi toka Ofisi za CUF- Temeke kwenda
 eneo la Mkutano
  ili Muende kuahirisha 
 mkutano ule.

  Kwa maelezo
 hayo uliyoyatoa Lipumba wakati umezingirwa na
  Polisi na wafuasi wako wakichezea  'mpini
 wa Polisi'
  yaani kipigo huku ukionekana
 ni mpole sana,uliyekuwa ukitoa
  ushirikiano
 wa Hali ya juu kwa Polisi tena kwa heshima

 kubwa  na kujimaliza kwa maelezo yako ,niliishia
  kujiuliza msomi huyu ni Profesa Lipumba au ni
 Profesa
  Lipumbafu?

  Yaani Lipumba Katika video ile amekiri kabisa
 Kuwa ni kweli
  saa 12 ,CUF ilipokea barua ya
 Jeshi la Polisi ya Kuzuia
  maandamano Yao
 lakini bado Lipumba siku hiyo ya Januari 27,
  akatoka nyumbani kwake akaenda hadi Ofisi ya
 CUF- Temeke,
  akiwaambia wafuasi wake watoke
 Katika Ofisi hiyo na waende
  kwa Wingi wao
 kwenda eneo la mkutano kwenda kuairisha

 mkutano ule wakati Tayari alikuwa anafahamu Kuwa Tayari
  Polisi ilishawakabidhi mapema barua ya Kuzuia
 maandamano
  hayo.

  Kwa kitendo hiki cha msomi wa aina ya Lipumba
 kwa mdomo wake
  kupitia video ya tukio la
 Januari 27 Mwaka huu, ameonekana
  akikiri
 Mbele ya Polisi Kuwa Kabla ya kuanza maandamano
  Tayari CUF ilikuwa imeishapokea barua ya
 Polisi ya kukataza
  maandamano lakini yeye
 akawaongoza wafuasi wake kutembea kwa
  umoja
 wao kwenda kuarisha mkutano kinastahili kufanywa na
  msomi huyu?
  
  Mzee wangu Lipumba naomba kukushauri jambo
 moja kwamba,
  kubali kuwa hadi sasa wewe ni
 mshitakiwa wa kesi ya jinai
  ambao polisi
 unaowakebehi ndiyo wachunguzi na mashahidi wa
  kesi yako.


 Mwendesha Mashitaka ili ashinde Kesi yoyote ili  ya
  jinai , anategemea sana kazi iliyofanywa na
 wapelelezi wawe
  wa Takukuru au Jeshi la
 Polisi.

  Hivyo nakushauri
 mzee wangu Lipumba kuanzia sasa acha

 kuendeleza  'ligi'  ya maneno na polisi,
 unaweza
  ukajikuta unaumia. Kumbuka msemo
 usemao mdomo uliponza
  kichwa.

  Mahakama ipo kwaajili kutoa
 haki lakini siku zote Mahakama
  inatoa haki
 kutokana  na aina ya ushahidi ,hoja

 zilizowasilishwa Mbele yake na pande mbili zenye mgogoro.

  Kumbuka katika Kesi yako
 mshitakiwa ni wewe peke yako na
  wala siyo
 viongozi wenzio wa UKAWA na baadhi ya wafuasi
  wako,vyombo vya habari ambavyo wewe unafikiri
 vinakusaidia
  kumbe vinazidi kukupalia makaa
 ya moto.

  Walikuwepo watu
 wenye ushawishi mkubwa na wafuasi wengi

 kuliko wewe hapa nchini na waliokuwa mahiri sana
 Kubwabwaja
  kupitia vyombo Vya Habari
 kushinda wewe Lipumba , lakini Leo
  hii
 wamefyata Mkia huko Magerezani wa naangaika na Kesi
  zao.

  Mfano
 Mzuri , Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustine Mrema,
  Sheikh Ponda Issa Ponda , Kiongozi wa Jumuiya
 ya Uamsho na
  Mihadhara  ya Kiislamu
 Zanzibar (JUMIKI) Sheik Farid
  Hadi Ahmed
 (48) na wenzake, wanaoshitakiwa kwa kesi ya

 ugaidi Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es
  Salaam,na kuna siku Moja baadhi ya washitakiwa
 wenzake
  walilalamika mahakamani hapo Kuwa
 wamefanyiwa vitendo Vya
  kikatiri
 Magerezani  na Polisi ikiwemo kulawitiwa na
  Polisi Hali iliyosababisha waaribike vibaya
 sehemu za Siri.

  Na kwa
 taarifa Yako, baadhi ya Wanajeshi nilioapata fursa ya
  kukutana nao Ana kwa Ana wamenieleza
 wamefurahishwa na kazi
  nzuri iliyofanywa na
 Jeshi la Polisi ya kuwashushua

 mkong'oto.

  Na siku
 zote Askari wana umoja sana nawafahamu ni Baba 
  zangu wamenizaa na kunilea  na ukumbuke  pia
 Huyo
  Rais Kikwete aliwai Kuwa
 Mwanajeshi.

  Kwa hiyo ukae
 ukijua ni wale wale, hawaangushanagi Hao na

 ukute akitazama ile video ya Januari 27 Mwaka huu, jinsi
  Lipumba ulivyokuwa  unatetemeka   Mbele
  ya Polisi Atakuwa anakucheka  sana na
  kukuona   Kumbe huna   ujanja
  Mbele ya Polisi wake ,ujanja wako upo Mbele ya
 Vyambo Vya
  Habari.

  Nakushauri  usijiangaishe kwenda kwa Kikwete
 kumuona
  kumuelezea jinsi wewe na wafuasi
 wako mlivyotendwa na
  Polisi, Kwani naamini
 ukimpa Kisogo tu lazima ataangua
  kicheko na
 hata hivyo Kikwete Hana mamlaka ya kukusaidia
  ufutiwe Kesi yako Sasa unamfuata akusaidie
 nini?

  Kweli Kuwa Profesa
 siyo kufahamu kila kitu na Lipumba

 amethibitisha Hilokupitia matamko yake mbalimbali .Mimtu
  mwenye huruma sana hivyo nakupa mbinu haramu
 ya ushindi wa
  Kesi ni hivi ;

  Kamfuate DPP- Mganga au
 vijana wake kiaina muombe akufutie
  Kesi
 Kama unaweza maana DPP kwa mujibu wa Kifungu cha 91(1)
  cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai ya
 Mwaka 2002
  ,ndiyo hasa mwenye mamlaka ya
 Kufuta Kesi ya jinai, kamlilie
  Shida hiyo
 au nenda  kaliangukie Jeshi la Polisi kimya
  kimya  baadhi ya wapelelezi wa Kesi yako
 ili
  wakaaribu  mapema ushahidi  ili hata
 DPP akikataa
  kukufutia Kesi basi ushahidi
 kuishaaribiwa na Polisi na
  mashahidi mwisho
 wa siku Mahakama itatoa hukumu ya

 kukuachiria huru kwasababu ushahidi wa upande wa jamhuri
  utaonekana ni dhahifu.

  Mbinu  hii inatumiwa  na watoto wa
 'mujini'
  wanaokabiliwa na Kesi za
 jinai na wanafanikiwa kuchomoka
  ,wewe akili
 ya kutumia mbinu hii huna, Matokeo yake Kutwa
  unabwatabwata majukwaani na Kwenye vyombo Vya
 Habari. 
  Shauri yako 'watu watakula
 kichwa hicho' na huo Ubunge wa
  Temeke
 utausikia Redioni.

  Kwa
 mujibu wa Gazeti la Habari Leo la Februali 2 Mwaka huu,
  lilihapisha Habari iliyomnukuu , Mbunge wa
 Moshi Mjini,
  Philemon Ndesamburo (Chadema)
 amefanya mkutano wake na
  waandishi wa
 Habarin,Februali Mosi Mwaka huu ambapo

 Ndesamburo   aliwataka viongozi wanaounda
  Umoja wa Katiba wa Wananchi (UKAWA), kuacha
 kulilalamikia
  Jeshi la Polisi kutokana na
 kazi wanazozifanya ikiwa ni
  kulinda Amani
 na Usalama wa nchi.

  Aidha
 Ndesamburo alisema Haoni tatizo Kwa Jeshi la Polisi
  kutekeleza majukumu yake na wala Haoni sababu
 ya viongozi wa
  UKAWA Kulilalamikia Jeshi la
 Polisi kuhusu tukio lililotokea
  hivi
 karibuni na  anachoona Polisi inasaidia Vyama Vya
  upinzani ili wananchi  wavichague.

  Ndesamburo pia ni UKAWA
 kama  alivyo Mwenyekiti wa
  Chama cha NCCR-
 Mageuzi, James Mbatia, Mwenyekiti wa

 Chadema, Freeman Mbowe ambao Nyie wote wiki iliyopita
  msijitokeza ndani  na nje ya Bunge
 kulilalamikia Jeshi
  la Polisi Kuwa ni Jeshi
 linalotumika vibaya na limejivisha
  UKADA wa
 CCM na linawaonea wapinzani.

  Itakumbukwa Kuwa Katika Mauji ya mkutano
 haramu wa Arusha
  mjini uliokuwa umeandaliwa
 na Chadema ,Ndesamburo,

 Mbowe,Dk,Slaa,Samson Mwigamba walipata Shuruba kutoka kwa
  Jeshi la Polisi Kwasababu waliokaidi amri ya
 Jeshi Hilo
  iliyokataza mkutano huo na
 wengine wakaambulia kufunguliwa
  Kesi
 mahakamani.

  Kwa tamko
 Hilo la Ndesamburo ,Juzi ni wazi amekoma kukaidi
  amri za Jeshi la Polisi.Hongera sana Mzee
 Ndesamburo kwa
  kuliona hilo.Na wengine
 igeni mfano huo ukiwemo Lipumba
  ambaye hata
 kukimbia mbio huwezi na Tayari una Maradhi ya
  Shinikizo la Damu.

  Mzee wangu Lipumba ni msomi wa ngazi wa
 Kimataifa,nakushauri
  Tenda matendo ya
 kisiasa yanayoendana na wasomi na umri wako

 wa kiutu uzima , utaheshimika.Kwani kwa baadhi  ya
  matukio unayoyafanya ikiwemo kuamasisha
 wafuasi wa CUF
  wasipige kura za maoni
 Katiba Pendekezwa na mambo mengi watu

 tumefika uamuzi wa kujiuliza huyu ni Profesa Lipumbafu?

  Chanzo: Facebook: Happy
 Katabazi
  Blogg:
 katabazihappy.blogspot.com
  0716 774494
  Februali 3 Mwaka 2015.







  Sent from my iPad

  --
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility
  for any legal consequences
 of his or her postings, and hence

 statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you agree
 to this
  disclaimer and pledge to abide by
 our Rules and Guidelines.
  ---
  You received this message because you are
 subscribed to the
  Google Groups
 "Wanabidii" group.
  To unsubscribe
 from this group and stop receiving emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  For more options, visit

 https://groups.google.com/d/optout.

 --
 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:
 Everyone posting to
 this Forum bears the sole responsibility for any legal
 consequences of his or her postings, and hence statements
 and facts must be presented responsibly. Your continued
 membership signifies that you agree to this disclaimer and
 pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 ---
 You received this message
 because you are subscribed to the Google Groups
 "Wanabidii" group.
 To unsubscribe
 from this group and stop receiving emails from it, send an
 email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.

 --
 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:
 Everyone posting to
 this Forum bears the sole responsibility for any legal
 consequences of his or her postings, and hence statements
 and facts must be presented responsibly. Your continued
 membership signifies that you agree to this disclaimer and
 pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 ---
 You received this message
 because you are subscribed to the Google Groups
 "Wanabidii" group.
 To unsubscribe
 from this group and stop receiving emails from it, send an
 email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


0 comments:

Post a Comment