PURELY MENTAL CASE
--------------------------------------------
On Tue, 2/3/15, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] NI PROFESSA LIPUMBA AU NI PROFESA LIPUMBAFU?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, February 3, 2015, 1:04 PM
Ukita usemikama huanajisi fahari
saba. Hujawahi kukaa na idiots nini?
Lakini tunaweza kuwa tunacheza na mgonjwa bila kujua.
Nakumbuka kwa mbali condidion fulani iliwahi kutupata mahali
fulani akatusumbua. Kumbe alikuwa na jacsonian seisures
zikimpata anafanya na kusema mambo ya ajabu wenye uwezo
wanakasirika.
Mtu mmoja akasema mkamateni mmpe dose za Epanutin Na
phenobabitone baada ya mwezi hatarudia. ndiyo ilivyokuwa
bwana. Alipona kabisa.
--------------------------------------------
On Tue, 2/3/15, 'godfred mbanyi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] NI PROFESSA LIPUMBA AU NI PROFESA
LIPUMBAFU?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, February 3, 2015, 12:53 PM
Hili ni tatizo la malezi na makuzi! Huna adabu hata
chembe!
--------------------------------------------
On Tue, 2/3/15, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] NI PROFESSA LIPUMBA AU NI
PROFESA
LIPUMBAFU?
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, February 3, 2015, 11:22 AM
I'm
sick after reading this rubbish!
2015-02-03 11:19 GMT+03:00
'Happiness Katabazi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
NI
PROFESSA LIPUMBA AU NI PROFESA LIPUMBAFU?
Na Happiness Katabazi
JUMAPILI iliyopita Mwenyekiti wa Taifa wa Chama ya
Wananchi
(CUF), Profesa Ibrahim Lipumba akizungumza na
waandishi
wa
Habari mambo mengi likiwemo tukio la Polisi Kuzuia
maandamano ya CUF Januari 27 na kuwapiga bila Sababu
na
kuwaibia baadhi ya vitu vyao.
Profesa Lipumba alisema pia anafanya jitihada ya
kuonana
na Rais Jakaya Kikwete kumweleza tukio hilo na
kwamba
Serikali na CCM inakata kuvuruga amani na
haihehimu
maridhiano yaliyofanyika mwaka 2001, vinginevyo
hali
itakuwa katika uchaguzi mkuu mwaka huu.
Itakumbukwa Kuwa Januari 29 Mwaka huu, Waziri wa
Mambo ya
Ndani, Mathias Chikawe alitoa tamko la serikali
kuhusu
tukio
la Januaria 27 Mwaka huu,ambapo pamoja na mambo
mengine
alimtaka mtu yoyote mwenye malalamiko kuhusu
ukiukwaji wa
Sheria za nchi, Nguvu nyingi na Polisi awasilishe
malalamiko
hayo Kwenye Dawati la uchunguzi na kwamba Dawati
Hilo
itayapokea na kuyafanyia kazi na kwamba Taasisi
husika
zitafanya uchunguzi Kama uenda Nguvu zaidi zilitumiwa
na
Polisi bila Sababu za Msingi.
Cha ajabu watu Wengi Wanaolaani tukio lile
wameshindwa
kufika Katika Dawati la uchunguzi kutoa malalamiko
Yao
likiwemo dai la jeshi la polosi limejivika ukada wa
CCM
wameishia kutumia vyombo Vya Habari, katika mitandao
ya
kijamii Kulalamika na kutukana kitendo ambacho
haisaidii
kukomesha matukio Kama hayo wanayo dai Jeshi la
Polisi
linatumia Nguvu nyingi bila Sababu za Msingi.
Februali Mosi Mwaka huu, Professa Lipumba alipokuwa
Akizungumza na waandishi alisema anafanya
jitihada za
kumuona Rais Kikwete ili imfikishie kilio chao.
Kwa Madai hayo ya Lipumba ,Nimuulize Lipumba amesahau
kuwa
Kikwete Kuwa ni Mwenyekiti wa CCM Taifa na pia ni
Amiri
Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama na aliwahi
Kuwa
Ofisa wa Jeshi la Wananchi(JWTZ)?
Lipumba kadai Polisi imejivika Joho la Ukada wa
CCM.Sasa
Lipumba yeye ni CUF haoni Kama akienda kumweleza Hilo
Rais
Kikwete ni sawa anafanyakazi ya 'kumvalisha Mbu
miwani' au Kesi ya Nyani anampelekea Ngedere?
Halafu Lipumba anaenda kumweleza nini Rais Kikwete
Kuwa
yeye
na wafuasi wake walijeruhiwa na Polisi ili iweje?
Kwani
Kikwete ni Daktari au nesi wa kuwatibia majeraha
waliyoyapata kutokana na vipigo' Mpini ' wa Askari
Polosi?
Tufanye Lipumba Hana Imani na Jeshi la Polisi kwa
hiyo
hata
akienda kutoa malalamiko yake Katika Dawati la
uchunguzi
dhidi ya Polisi wale hayatafanyiwa kazi.
Kwa nini Lipumba anashindwa Kufungua Kesi ya Madai
ya
fidia
dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi, Mwanasheria Mkuu
wa
Serikali ya kuomba Mahakama itoe amri kwa wadaiwa Hao
ili
iwalipe fidia iliyotokana na madhara ya vipigo Vya
Polisi?
Ibara 107 A(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania
ya Mwaka 1977, inasema Mahakama ni Chombo pekee cha
kutoa
haki na Ndio maana Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP),
Biswalo
Mganga, Januari 28 Mwaka huu, amemfungulia Lipumba
Kesi ya
jinai Na.25 / 2015, Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu
Dar es Salaam.
Kwa nini Lipumba anashindwa kutumia haki hiyo ya
Kikatiba
kupata haki yake anayodhani anastahili kuipata?
Vyombo Vya
Habari, mikutano ya adhara ,kukutana na Kikwete
haitakusaidia kupata hiyo haki yako ya Kikatiba ya
kuandamana, kupewa fidia ya kujeruhiwa na Hasara
iliyoupata
CUF kwaajili ya kuandaa maandamano na mkutano wa
adhara wa
Januari 27 Mwaka huu.
Zaidi zaidi Mbele ya Jamii ya watu wenye akili timamu
na
waliotazama video ya Januari 27 Mwaka huu, ambao
Katika
video hiyo Ulipokuwa ukihojiwa na polisi wewe
Mwenyewe
(Lipumba) kwa Mdomo wako ulikiri Mbele ya Polisi wale
na
ulisema yafutatayo ;
' Barua ya Jeshi la Polisi ya Kuzuia maandamano
ya
CUF mliipata saa 12 Kabla ya CUF kuanza
maandamano na
kwamba wewe na wafuasi wako siku hiyo ya Januari 27
mwaka
huu, mlikuwa mkitembea kwa miguu huku mkiwa Wengi
toka
Ofisi
za CUF- Temeke kwenda eneo la Mkutano ili Muende
kuahirisha mkutano ule.
Kwa maelezo hayo uliyoyatoa Lipumba wakati
umezingirwa na
Polisi na wafuasi wako wakichezea 'mpini wa
Polisi' yaani kipigo huku ukionekana ni mpole
sana,uliyekuwa ukitoa ushirikiano wa Hali ya juu kwa
Polisi
tena kwa heshima kubwa na kujimaliza kwa maelezo
yako
,niliishia kujiuliza msomi huyu ni Profesa Lipumba au
ni
Profesa Lipumbafu?
Yaani Lipumba Katika video ile amekiri kabisa Kuwa
ni
kweli
saa 12 ,CUF ilipokea barua ya Jeshi la Polisi ya
Kuzuia
maandamano Yao lakini bado Lipumba siku hiyo ya
Januari
27,
akatoka nyumbani kwake akaenda hadi Ofisi ya CUF-
Temeke,
akiwaambia wafuasi wake watoke Katika Ofisi hiyo na
waende
kwa Wingi wao kwenda eneo la mkutano kwenda
kuairisha
mkutano ule wakati Tayari alikuwa anafahamu Kuwa
Tayari
Polisi ilishawakabidhi mapema barua ya Kuzuia
maandamano
hayo.
Kwa kitendo hiki cha msomi wa aina ya Lipumba kwa
mdomo
wake
kupitia video ya tukio la Januari 27 Mwaka huu,
ameonekana
akikiri Mbele ya Polisi Kuwa Kabla ya kuanza
maandamano
Tayari CUF ilikuwa imeishapokea barua ya Polisi ya
kukataza
maandamano lakini yeye akawaongoza wafuasi wake
kutembea
kwa
umoja wao kwenda kuarisha mkutano kinastahili
kufanywa na
msomi huyu?
Mzee wangu Lipumba naomba kukushauri jambo moja
kwamba,
kubali kuwa hadi sasa wewe ni mshitakiwa wa kesi ya
jinai
ambao polisi unaowakebehi ndiyo wachunguzi na
mashahidi wa
kesi yako.
Mwendesha Mashitaka ili ashinde Kesi yoyote ili ya
jinai
,
anategemea sana kazi iliyofanywa na wapelelezi wawe
wa
Takukuru au Jeshi la Polisi.
Hivyo nakushauri mzee wangu Lipumba kuanzia sasa
acha
kuendeleza 'ligi' ya maneno na polisi, unaweza
ukajikuta unaumia. Kumbuka msemo usemao mdomo
uliponza
kichwa.
Mahakama ipo kwaajili kutoa haki lakini siku zote
Mahakama
inatoa haki kutokana na aina ya ushahidi ,hoja
zilizowasilishwa Mbele yake na pande mbili zenye
mgogoro.
Kumbuka katika Kesi yako mshitakiwa ni wewe peke yako
na
wala siyo viongozi wenzio wa UKAWA na baadhi ya
wafuasi
wako,vyombo vya habari ambavyo wewe unafikiri
vinakusaidia
kumbe vinazidi kukupalia makaa ya moto.
Walikuwepo watu wenye ushawishi mkubwa na wafuasi
wengi
kuliko wewe hapa nchini na waliokuwa mahiri sana
Kubwabwaja
kupitia vyombo Vya Habari kushinda wewe Lipumba ,
lakini
Leo
hii wamefyata Mkia huko Magerezani wa naangaika na
Kesi
zao.
Mfano Mzuri , Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustine
Mrema,
Sheikh Ponda Issa Ponda , Kiongozi wa Jumuiya ya
Uamsho na
Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) Sheik Farid
Hadi
Ahmed (48) na wenzake, wanaoshitakiwa kwa kesi ya
ugaidi
Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es
Salaam,na
kuna
siku Moja baadhi ya washitakiwa wenzake walilalamika
mahakamani hapo Kuwa wamefanyiwa vitendo Vya
kikatiri
Magerezani na Polisi ikiwemo kulawitiwa na Polisi
Hali
iliyosababisha waaribike vibaya sehemu za Siri.
Na kwa taarifa Yako, baadhi ya Wanajeshi nilioapata
fursa
ya
kukutana nao Ana kwa Ana wamenieleza wamefurahishwa
na
kazi
nzuri iliyofanywa na Jeshi la Polisi ya kuwashushua
mkong'oto.
Na siku zote Askari wana umoja sana nawafahamu ni
Baba
zangu wamenizaa na kunilea na ukumbuke pia Huyo
Rais
Kikwete aliwai Kuwa Mwanajeshi.
Kwa hiyo ukae ukijua ni wale wale, hawaangushanagi
Hao na
ukute akitazama ile video ya Januari 27 Mwaka huu,
jinsi
Lipumba ulivyokuwa unatetemeka Mbele ya Polisi
Atakuwa
anakucheka sana na kukuona Kumbe huna
ujanja
Mbele
ya Polisi wake ,ujanja wako upo Mbele ya Vyambo Vya
Habari.
Nakushauri usijiangaishe kwenda kwa Kikwete
kumuona
kumuelezea jinsi wewe na wafuasi wako mlivyotendwa
na
Polisi, Kwani naamini ukimpa Kisogo tu lazima
ataangua
kicheko na hata hivyo Kikwete Hana mamlaka ya
kukusaidia
ufutiwe Kesi yako Sasa unamfuata akusaidie nini?
Kweli Kuwa Profesa siyo kufahamu kila kitu na
Lipumba
amethibitisha Hilokupitia matamko yake mbalimbali
.Mimtu
mwenye huruma sana hivyo nakupa mbinu haramu ya
ushindi wa
Kesi ni hivi ;
Kamfuate DPP- Mganga au vijana wake kiaina muombe
akufutie
Kesi Kama unaweza maana DPP kwa mujibu wa Kifungu
cha
91(1)
cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai ya Mwaka
2002
,ndiyo hasa mwenye mamlaka ya Kufuta Kesi ya jinai,
kamlilie
Shida hiyo au nenda kaliangukie Jeshi la Polisi
kimya
kimya baadhi ya wapelelezi wa Kesi yako ili
wakaaribu
mapema ushahidi ili hata DPP akikataa kukufutia
Kesi
basi
ushahidi kuishaaribiwa na Polisi na mashahidi mwisho
wa
siku
Mahakama itatoa hukumu ya kukuachiria huru kwasababu
ushahidi wa upande wa jamhuri utaonekana ni dhahifu.
Mbinu hii inatumiwa na watoto wa 'mujini'
wanaokabiliwa na Kesi za jinai na wanafanikiwa
kuchomoka
,wewe akili ya kutumia mbinu hii huna, Matokeo yake
Kutwa
unabwatabwata majukwaani na Kwenye vyombo Vya
Habari.
Shauri yako 'watu watakula kichwa hicho' na huo
Ubunge wa Temeke utausikia Redioni.
Kwa mujibu wa Gazeti la Habari Leo la Februali 2
Mwaka
huu,
lilihapisha Habari iliyomnukuu , Mbunge wa Moshi
Mjini,
Philemon Ndesamburo (Chadema) amefanya mkutano wake
na
waandishi wa Habarin,Februali Mosi Mwaka huu ambapo
Ndesamburo aliwataka viongozi wanaounda Umoja wa
Katiba
wa Wananchi (UKAWA), kuacha kulilalamikia Jeshi la
Polisi
kutokana na kazi wanazozifanya ikiwa ni kulinda Amani
na
Usalama wa nchi.
Aidha Ndesamburo alisema Haoni tatizo Kwa Jeshi la
Polisi
kutekeleza majukumu yake na wala Haoni sababu ya
viongozi
wa
UKAWA Kulilalamikia Jeshi la Polisi kuhusu tukio
lililotokea
hivi karibuni na anachoona Polisi inasaidia Vyama
Vya
upinzani ili wananchi wavichague.
Ndesamburo pia ni UKAWA kama alivyo Mwenyekiti wa
Chama
cha NCCR- Mageuzi, James Mbatia, Mwenyekiti wa
Chadema,
Freeman Mbowe ambao Nyie wote wiki iliyopita
msijitokeza
ndani na nje ya Bunge kulilalamikia Jeshi la Polisi
Kuwa
ni Jeshi linalotumika vibaya na limejivisha UKADA wa
CCM
na
linawaonea wapinzani.
Itakumbukwa Kuwa Katika Mauji ya mkutano haramu wa
Arusha
mjini uliokuwa umeandaliwa na Chadema ,Ndesamburo,
Mbowe,Dk,Slaa,Samson Mwigamba walipata Shuruba kutoka
kwa
Jeshi la Polisi Kwasababu waliokaidi amri ya Jeshi
Hilo
iliyokataza mkutano huo na wengine wakaambulia
kufunguliwa
Kesi mahakamani.
Kwa tamko Hilo la Ndesamburo ,Juzi ni wazi amekoma
kukaidi
amri za Jeshi la Polisi.Hongera sana Mzee Ndesamburo
kwa
kuliona hilo.Na wengine igeni mfano huo ukiwemo
Lipumba
ambaye hata kukimbia mbio huwezi na Tayari una
Maradhi ya
Shinikizo la Damu.
Mzee wangu Lipumba ni msomi wa ngazi wa
Kimataifa,nakushauri
Tenda matendo ya kisiasa yanayoendana na wasomi na
umri
wako
wa kiutu uzima , utaheshimika.Kwani kwa baadhi ya
matukio
unayoyafanya ikiwemo kuamasisha wafuasi wa CUF
wasipige
kura
za maoni Katiba Pendekezwa na mambo mengi watu
tumefika
uamuzi wa kujiuliza huyu ni Profesa Lipumbafu?
Chanzo: Facebook: Happy Katabazi
Blogg: katabazihappy.blogspot.com
0716 774494
Februali 3 Mwaka 2015.
Sent from my iPad
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment