Tuesday 3 February 2015

Re: [wanabidii] NI PROFESSA LIPUMBA AU NI PROFESA LIPUMBAFU?

Mwemezi umetoa somo zuri

Big up
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

From: "'mwemezi makumba' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 4 Feb 2015 06:01:18 +0000 (UTC)
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] NI PROFESSA LIPUMBA AU NI PROFESA LIPUMBAFU?

Salaam;
Wote tunajua kuwa Katabazi yupo kazini, matusi, kejeli na chochote anachokisema hakinisikitishi sana...kinachoniumiza ni tafakuri kuwa kesho, "Ikiwa kundi analolifanyia kazi" litaingia madarakani...huyu ndiye utamkuta msemaji wa "Ikulu" Wizara, Idara ya umma...nini tunategemea? na hauyuko peke yake tukumbuke! fikilia akina Katabazi 1000 ndani ya ofisi mbalimbali za umma, wengine ndo watakuwa wakuu wa wilaya, mikoa na mabalozi kwa kuzawadiwa .....fikilia ni taifa la namna gani tunatengeneza kwa miaka 5 au 10 ijayo? miaka 10 iliyopita tulichokishuhudia hakisimuliki...tutawezaje kutazama hata mitano tu ijayo ikiwa na akina Katabazi kama washauri wa Rais, Waziri nk....
 
Hatahivyo najifunza kitu kutoka kwake, wakati akiwa peke yake katika kutetea hoja zake katika jukuwaa hili hajawahi kukata tamaa hata kwa kukosolewa vipi. najua wengi wetu tunajitahidi kutumia busara na kuamua kuachana nae, lakini nadhani pia tusikate tamaa, tuendelee kumkosoa lakini pia tuzitumie makala zake kuwatahadharisha watu, umma aina ya watu wanaojiandaa kuingia madarakani. tuyaweke uchi mawazo na mitazamo yake na kuwaeleza wengine waweze kuona aina ya watu ambayo CCM imetengeneza, aina ya watu ambao mfumo wetu wa elimu umezalisha na aina ya watu ambao hali ya uchumi na umasikini wa nchi umezalisha. watu ambao njaa zinatawala fikra zao, na shida zimeondoa busara na utu wao.
 
tusimtake abadirike, tumtumie kama case study ya serikali na mfumo ulishindwa! tumfanye kinyago kichwangwacho kama zana za kufundishia, hapa watu watatuelewa zaidi.
 
MMk

From: 'Weja Luto' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com; wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, February 4, 2015 8:19 AM
Subject: Re: [wanabidii] NI PROFESSA LIPUMBA AU NI PROFESA LIPUMBAFU?

This is very unprofessional

Sent from my BlackBerry 10 smartphone.

From: 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii
Sent: Wednesday, February 4, 2015 8:17 AM
To: wanabidii@googlegroups.com
Reply To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] NI PROFESSA LIPUMBA AU NI PROFESA LIPUMBAFU?

Ambokege;
Yona ndio moderator hapa na yeye anatetea uhuni huu kwamba ni uhuru wa kuwasilisha mawazo.
Hivyo sidhani kama anaweza kumuweka pembeni huyu mdada.
 
Reuben

On Tuesday, February 3, 2015 8:55 PM, fatma_elia via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ambokege

Huyo Moderator anamsapoti akidai ametoa maoni yake. Tena iko siku alikuwa anampongeza na kumpa moyo aendelee tu wala asijali maneno ya watu. Mimi nadhani lao moja

Fatma
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

From: "'Ambokege Benard M' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 4 Feb 2015 07:32:50 +0300
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] NI PROFESSA LIPUMBA AU NI PROFESA LIPUMBAFU?

Hakika makala za huyu mwanamke zinakera sana. Kwa nini asifungiwe ili atafute mahali pengine pa kuandika narudi yake kwa viongozi wetu?
Moderator, hebu lione hili na uchukue uamuzi mgumu juu ya huyu mtu anaitwa Happiness K.
Tumechoka!

ABM

From: 'ananilea nkya' via Wanabidii
Sent: ‎2/‎3/‎2015 18:10
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] NI PROFESSA LIPUMBA AU NI PROFESA LIPUMBAFU?

Dada Fatma,
Matusi ni ugonjwa wanaoumwa Watz wengi lakini viwango vinatofautiana kulingana na mtu anasukumwa na nini na nguvu gani(the hegemony behind).Maana si rahisi mtu aibuke ghafla na kupata nguvu ya ajabu ya kutukana watu wengine kama hasumbuliwi na mgonjwa wa akili au yuko 'kazini'. Tiba anayo mwenyewe ajitibu sasa au abubiri kukamilisha 'mradi' wake-- But, all in all, time will tell maana hakuna marefu yasiyo na mkia na maisha ni mzunguko--ukipanda heshima utavuna heshima--ukipanda matusi utayavuna hayo hayo tena ukiwa hai, hapa Tanzania- mama na baba yetu sote.

Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Tue, 2/3/15, fatma_elia via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] NI PROFESSA LIPUMBA AU NI PROFESA LIPUMBAFU?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, February 3, 2015, 2:45 PM

Dada Ananilea

Mwenzetu Hapiness
anatutukanisha. Mwanamke gani usiyeambiwa jambo
ukajirekebisha?
Kisha anapewa kichwa na
Moderator kudai eti ni maoni yake. Hatukatai mtu kutoa maoni
lakini siku hizi matusi yamekuwa maoni?
Ukifuatilia sana makala zake anatukana halafu
anadai wapinzani ndio wanatukana. Sasa mimi nashindwa
kuelewa kama maoni yake ndio hayo ya kuwatukana watu ana
tofauti gani na hao wapinzani? Kwa maoni yangu Wapinzani ni
wastarabu sana kwa huyu dada yetu. Kama ulivyosema mwenyewe
mdomo uliponza kichwa na mimi nataka nikuongezee na hili.
Yaliyomkuta kibeku na ungo yatamfika

Fatma
 
Sent
from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel
Tanzania.

-----Original
Message-----
From: "'ananilea
nkya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tue, 3 Feb 2015 06:23:25
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] NI PROFESSA LIPUMBA AU
NI PROFESA LIPUMBAFU?

Pufuuuuuuuuuuuuuuuu.
Ananilea
Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Tue, 2/3/15, 'Happiness Katabazi'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

  Subject:
[wanabidii] NI PROFESSA LIPUMBA AU NI PROFESA LIPUMBAFU?
  To: "WANABIDII" <wanabidii@googlegroups.com>
  Date: Tuesday, February 3, 2015, 8:19 AM
 
  NI PROFESSA LIPUMBA AU NI
PROFESA
  LIPUMBAFU?
  Na
Happiness Katabazi
 
JUMAPILI iliyopita Mwenyekiti wa Taifa wa Chama ya
Wananchi
  (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba
akizungumza  na
  waandishi wa Habari
mambo  mengi likiwemo tukio la
  Polisi
Kuzuia maandamano ya CUF Januari 27 na kuwapiga bila
  Sababu na kuwaibia baadhi ya vitu vyao.
 
  Profesa Lipumba alisema pia
anafanya jitihada ya
  kuonana  na Rais
Jakaya Kikwete kumweleza tukio hilo na

kwamba Serikali na CCM inakata kuvuruga amani na
  haihehimu  maridhiano yaliyofanyika  mwaka
2001,
  vinginevyo hali itakuwa  katika
uchaguzi mkuu 
  mwaka huu.

  Itakumbukwa Kuwa Januari 29 Mwaka huu,
Waziri wa Mambo ya
  Ndani, Mathias Chikawe
alitoa tamko la serikali kuhusu tukio
  la
Januaria 27 Mwaka huu,ambapo pamoja na mambo mengine
  alimtaka mtu yoyote mwenye malalamiko kuhusu
ukiukwaji wa
  Sheria za nchi, Nguvu nyingi
na Polisi awasilishe malalamiko
  hayo Kwenye
Dawati la uchunguzi na kwamba Dawati Hilo

itayapokea na kuyafanyia kazi na kwamba Taasisi husika
  zitafanya uchunguzi Kama uenda Nguvu zaidi
zilitumiwa na
  Polisi bila Sababu za
Msingi.
 
  Cha ajabu watu
Wengi Wanaolaani tukio lile wameshindwa

kufika Katika Dawati la uchunguzi kutoa malalamiko Yao
  likiwemo dai la jeshi la polosi limejivika 
ukada wa
  CCM wameishia kutumia vyombo Vya
Habari, katika mitandao ya
  kijamii
Kulalamika na kutukana kitendo ambacho haisaidii
  kukomesha matukio Kama hayo wanayo dai Jeshi
la Polisi
  linatumia Nguvu nyingi bila
Sababu za Msingi.
 
Februali Mosi Mwaka huu, Professa Lipumba alipokuwa
  Akizungumza na waandishi    alisema
anafanya
  jitihada za kumuona Rais Kikwete
ili imfikishie kilio chao.
 
  Kwa Madai hayo ya Lipumba ,Nimuulize Lipumba
amesahau kuwa
  Kikwete Kuwa ni Mwenyekiti wa
CCM Taifa na pia ni Amiri
  Jeshi Mkuu wa
Majeshi ya Ulinzi na Usalama na aliwahi Kuwa
  Ofisa wa Jeshi la Wananchi(JWTZ)?
 
  Lipumba kadai Polisi
imejivika  Joho la Ukada wa
  CCM.Sasa
Lipumba yeye ni CUF haoni Kama akienda kumweleza
  Hilo Rais Kikwete ni sawa anafanyakazi ya
'kumvalisha Mbu
  miwani' au Kesi ya
Nyani anampelekea Ngedere?
 
  Halafu Lipumba anaenda kumweleza nini Rais
Kikwete Kuwa yeye
  na wafuasi wake
walijeruhiwa na Polisi ili iweje? Kwani

Kikwete ni Daktari au nesi wa kuwatibia majeraha
  waliyoyapata kutokana na vipigo' Mpini
' wa Askari Polosi?
 
Tufanye Lipumba Hana Imani na Jeshi la Polisi kwa hiyo
hata
  akienda kutoa malalamiko yake Katika
Dawati la uchunguzi
  dhidi ya Polisi wale
hayatafanyiwa  kazi.
 
  Kwa
nini Lipumba anashindwa Kufungua Kesi ya Madai ya fidia
  dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi, Mwanasheria
Mkuu wa
  Serikali ya kuomba Mahakama itoe
amri kwa wadaiwa Hao ili
  iwalipe fidia
iliyotokana na madhara ya vipigo Vya Polisi?
 
  Ibara 107 A(1) ya Katiba ya
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  ya Mwaka
1977, inasema Mahakama ni Chombo pekee cha kutoa
  haki na Ndio maana Mkurugenzi wa Mashitaka
(DPP), Biswalo
  Mganga, Januari 28 Mwaka
huu, amemfungulia Lipumba Kesi ya
  jinai
Na.25 / 2015, Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
  Dar es Salaam.
 
  Kwa nini Lipumba anashindwa kutumia haki hiyo
ya Kikatiba
  kupata haki yake anayodhani
anastahili kuipata? Vyombo Vya
  Habari,
mikutano ya adhara ,kukutana na Kikwete

haitakusaidia kupata hiyo haki yako ya Kikatiba ya
  kuandamana, kupewa fidia ya kujeruhiwa na
Hasara iliyoupata
  CUF kwaajili ya kuandaa
maandamano na mkutano wa adhara wa
  Januari
27 Mwaka huu.
 
  Zaidi zaidi
Mbele ya Jamii ya watu wenye akili timamu na
  waliotazama video ya Januari 27 Mwaka huu,
ambao Katika
  video hiyo Ulipokuwa
ukihojiwa  na polisi  wewe
  Mwenyewe
(Lipumba) kwa Mdomo wako ulikiri Mbele ya Polisi
  wale na ulisema yafutatayo ;

  ' Barua   ya Jeshi la Polisi ya
Kuzuia
  maandamano ya CUF mliipata  saa 12
Kabla  ya CUF
  kuanza maandamano na kwamba
wewe na wafuasi wako siku hiyo
  ya Januari
27 mwaka huu, mlikuwa mkitembea kwa miguu huku
  mkiwa Wengi toka Ofisi za CUF- Temeke kwenda
eneo la Mkutano
  ili Muende kuahirisha 
mkutano ule.
 
  Kwa maelezo
hayo uliyoyatoa Lipumba wakati umezingirwa na
  Polisi na wafuasi wako wakichezea  'mpini
wa Polisi'
  yaani kipigo huku ukionekana
ni mpole sana,uliyekuwa ukitoa
  ushirikiano
wa Hali ya juu kwa Polisi tena kwa heshima

kubwa  na kujimaliza kwa maelezo yako ,niliishia
  kujiuliza msomi huyu ni Profesa Lipumba au ni
Profesa
  Lipumbafu?
 
  Yaani Lipumba Katika video ile amekiri kabisa
Kuwa ni kweli
  saa 12 ,CUF ilipokea barua ya
Jeshi la Polisi ya Kuzuia
  maandamano Yao
lakini bado Lipumba siku hiyo ya Januari 27,
  akatoka nyumbani kwake akaenda hadi Ofisi ya
CUF- Temeke,
  akiwaambia wafuasi wake watoke
Katika Ofisi hiyo na waende
  kwa Wingi wao
kwenda eneo la mkutano kwenda kuairisha

mkutano ule wakati Tayari alikuwa anafahamu Kuwa Tayari
  Polisi ilishawakabidhi mapema barua ya Kuzuia
maandamano
  hayo.
 
  Kwa kitendo hiki cha msomi wa aina ya Lipumba
kwa mdomo wake
  kupitia video ya tukio la
Januari 27 Mwaka huu, ameonekana
  akikiri
Mbele ya Polisi Kuwa Kabla ya kuanza maandamano
  Tayari CUF ilikuwa imeishapokea barua ya
Polisi ya kukataza
  maandamano lakini yeye
akawaongoza wafuasi wake kutembea kwa
  umoja
wao kwenda kuarisha mkutano kinastahili kufanywa na
  msomi huyu?
 
  Mzee wangu Lipumba naomba kukushauri jambo
moja kwamba,
  kubali kuwa hadi sasa wewe ni
mshitakiwa wa kesi ya jinai
  ambao polisi
unaowakebehi ndiyo wachunguzi na mashahidi wa
  kesi yako.
 
Mwendesha Mashitaka ili ashinde Kesi yoyote ili  ya
  jinai , anategemea sana kazi iliyofanywa na
wapelelezi wawe
  wa Takukuru au Jeshi la
Polisi.
 
  Hivyo nakushauri
mzee wangu Lipumba kuanzia sasa acha

kuendeleza  'ligi'  ya maneno na polisi,
unaweza
  ukajikuta unaumia. Kumbuka msemo
usemao mdomo uliponza
  kichwa.
 
  Mahakama ipo kwaajili kutoa
haki lakini siku zote Mahakama
  inatoa haki
kutokana  na aina ya ushahidi ,hoja

zilizowasilishwa Mbele yake na pande mbili zenye mgogoro.
 
  Kumbuka katika Kesi yako
mshitakiwa ni wewe peke yako na
  wala siyo
viongozi wenzio wa UKAWA na baadhi ya wafuasi
  wako,vyombo vya habari ambavyo wewe unafikiri
vinakusaidia
  kumbe vinazidi kukupalia makaa
ya moto.
 
  Walikuwepo watu
wenye ushawishi mkubwa na wafuasi wengi

kuliko wewe hapa nchini na waliokuwa mahiri sana
Kubwabwaja
  kupitia vyombo Vya Habari
kushinda wewe Lipumba , lakini Leo
  hii
wamefyata Mkia huko Magerezani wa naangaika na Kesi
  zao.
 
  Mfano
Mzuri , Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustine Mrema,
  Sheikh Ponda Issa Ponda , Kiongozi wa Jumuiya
ya Uamsho na
  Mihadhara  ya Kiislamu
Zanzibar (JUMIKI) Sheik Farid
  Hadi Ahmed
(48) na wenzake, wanaoshitakiwa kwa kesi ya

ugaidi Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es
  Salaam,na kuna siku Moja baadhi ya washitakiwa
wenzake
  walilalamika mahakamani hapo Kuwa
wamefanyiwa vitendo Vya
  kikatiri
Magerezani  na Polisi ikiwemo kulawitiwa na
  Polisi Hali iliyosababisha waaribike vibaya
sehemu za Siri.
 
  Na kwa
taarifa Yako, baadhi ya Wanajeshi nilioapata fursa ya
  kukutana nao Ana kwa Ana wamenieleza
wamefurahishwa na kazi
  nzuri iliyofanywa na
Jeshi la Polisi ya kuwashushua

mkong'oto.
 
  Na siku
zote Askari wana umoja sana nawafahamu ni Baba 
  zangu wamenizaa na kunilea  na ukumbuke  pia
Huyo
  Rais Kikwete aliwai Kuwa
Mwanajeshi.
 
  Kwa hiyo ukae
ukijua ni wale wale, hawaangushanagi Hao na

ukute akitazama ile video ya Januari 27 Mwaka huu, jinsi
  Lipumba ulivyokuwa  unatetemeka   Mbele
  ya Polisi Atakuwa anakucheka  sana na
  kukuona   Kumbe huna   ujanja
  Mbele ya Polisi wake ,ujanja wako upo Mbele ya
Vyambo Vya
  Habari.
 
  Nakushauri  usijiangaishe kwenda kwa Kikwete
kumuona
  kumuelezea jinsi wewe na wafuasi
wako mlivyotendwa na
  Polisi, Kwani naamini
ukimpa Kisogo tu lazima ataangua
  kicheko na
hata hivyo Kikwete Hana mamlaka ya kukusaidia
  ufutiwe Kesi yako Sasa unamfuata akusaidie
nini?
 
  Kweli Kuwa Profesa
siyo kufahamu kila kitu na Lipumba

amethibitisha Hilokupitia matamko yake mbalimbali .Mimtu
  mwenye huruma sana hivyo nakupa mbinu haramu
ya ushindi wa
  Kesi ni hivi ;
 
  Kamfuate DPP- Mganga au
vijana wake kiaina muombe akufutie
  Kesi
Kama unaweza maana DPP kwa mujibu wa Kifungu cha 91(1)
  cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai ya
Mwaka 2002
  ,ndiyo hasa mwenye mamlaka ya
Kufuta Kesi ya jinai, kamlilie
  Shida hiyo
au nenda  kaliangukie Jeshi la Polisi kimya
  kimya  baadhi ya wapelelezi wa Kesi yako
ili
  wakaaribu  mapema ushahidi  ili hata
DPP akikataa
  kukufutia Kesi basi ushahidi
kuishaaribiwa na Polisi na
  mashahidi mwisho
wa siku Mahakama itatoa hukumu ya

kukuachiria huru kwasababu ushahidi wa upande wa jamhuri
  utaonekana ni dhahifu.
 
  Mbinu  hii inatumiwa  na watoto wa
'mujini'
  wanaokabiliwa na Kesi za
jinai na wanafanikiwa kuchomoka
  ,wewe akili
ya kutumia mbinu hii huna, Matokeo yake Kutwa
  unabwatabwata majukwaani na Kwenye vyombo Vya
Habari. 
  Shauri yako 'watu watakula
kichwa hicho' na huo Ubunge wa
  Temeke
utausikia Redioni.
 
  Kwa
mujibu wa Gazeti la Habari Leo la Februali 2 Mwaka huu,
  lilihapisha Habari iliyomnukuu , Mbunge wa
Moshi Mjini,
  Philemon Ndesamburo (Chadema)
amefanya mkutano wake na
  waandishi wa
Habarin,Februali Mosi Mwaka huu ambapo

Ndesamburo   aliwataka viongozi wanaounda
  Umoja wa Katiba wa Wananchi (UKAWA), kuacha
kulilalamikia
  Jeshi la Polisi kutokana na
kazi wanazozifanya ikiwa ni
  kulinda Amani
na Usalama wa nchi.
 
  Aidha
Ndesamburo alisema Haoni tatizo Kwa Jeshi la Polisi
  kutekeleza majukumu yake na wala Haoni sababu
ya viongozi wa
  UKAWA Kulilalamikia Jeshi la
Polisi kuhusu tukio lililotokea
  hivi
karibuni na  anachoona Polisi inasaidia Vyama Vya
  upinzani ili wananchi  wavichague.
 
  Ndesamburo pia ni UKAWA
kama  alivyo Mwenyekiti wa
  Chama cha NCCR-
Mageuzi, James Mbatia, Mwenyekiti wa

Chadema, Freeman Mbowe ambao Nyie wote wiki iliyopita
  msijitokeza ndani  na nje ya Bunge
kulilalamikia Jeshi
  la Polisi Kuwa ni Jeshi
linalotumika vibaya na limejivisha
  UKADA wa
CCM na linawaonea wapinzani.
 
  Itakumbukwa Kuwa Katika Mauji ya mkutano
haramu wa Arusha
  mjini uliokuwa umeandaliwa
na Chadema ,Ndesamburo,

Mbowe,Dk,Slaa,Samson Mwigamba walipata Shuruba kutoka kwa
  Jeshi la Polisi Kwasababu waliokaidi amri ya
Jeshi Hilo
  iliyokataza mkutano huo na
wengine wakaambulia kufunguliwa
  Kesi
mahakamani.
 
  Kwa tamko
Hilo la Ndesamburo ,Juzi ni wazi amekoma kukaidi
  amri za Jeshi la Polisi.Hongera sana Mzee
Ndesamburo kwa
  kuliona hilo.Na wengine
igeni mfano huo ukiwemo Lipumba
  ambaye hata
kukimbia mbio huwezi na Tayari una Maradhi ya
  Shinikizo la Damu.
 
  Mzee wangu Lipumba ni msomi wa ngazi wa
Kimataifa,nakushauri
  Tenda matendo ya
kisiasa yanayoendana na wasomi na umri wako

wa kiutu uzima , utaheshimika.Kwani kwa baadhi  ya
  matukio unayoyafanya ikiwemo kuamasisha
wafuasi wa CUF
  wasipige kura za maoni
Katiba Pendekezwa na mambo mengi watu

tumefika uamuzi wa kujiuliza huyu ni Profesa Lipumbafu?
 
  Chanzo: Facebook: Happy
Katabazi
  Blogg:
katabazihappy.blogspot.com
  0716 774494
  Februali 3 Mwaka 2015.
 
  Sent from my iPad
 
  --
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
  Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
  for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you agree
to this
  disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
  ---
  You received this message because you are
subscribed to the
  Google Groups
"Wanabidii" group.
  To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  For more options, visit

https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment