Tuesday, 3 February 2015

Re: [wanabidii] NI PROFESSA LIPUMBA AU NI PROFESA LIPUMBAFU?

Basi naona Katabazi anahitajki phenobabitone.
em

2015-02-03 5:04 GMT-05:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Ukita usemikama huanajisi fahari saba. Hujawahi kukaa na idiots nini?
Lakini tunaweza kuwa tunacheza na mgonjwa bila kujua. Nakumbuka kwa mbali condidion fulani iliwahi kutupata mahali fulani akatusumbua. Kumbe alikuwa na jacsonian seisures zikimpata anafanya na kusema mambo ya ajabu wenye uwezo wanakasirika.
Mtu mmoja akasema mkamateni mmpe dose za Epanutin Na phenobabitone baada ya mwezi hatarudia. ndiyo ilivyokuwa bwana. Alipona kabisa.
--------------------------------------------
On Tue, 2/3/15, 'godfred mbanyi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] NI PROFESSA LIPUMBA AU NI PROFESA LIPUMBAFU?
 To: wanabidii@googlegroups.com
 Date: Tuesday, February 3, 2015, 12:53 PM


 Hili ni tatizo la malezi na makuzi! Huna adabu hata chembe!


 --------------------------------------------
 On Tue, 2/3/15, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
 wrote:

  Subject: Re: [wanabidii] NI PROFESSA LIPUMBA AU NI PROFESA
 LIPUMBAFU?
  To: "wanabidii@googlegroups.com"
 <wanabidii@googlegroups.com>
  Date: Tuesday, February 3, 2015, 11:22 AM

  I'm
  sick after reading this rubbish!

  2015-02-03 11:19 GMT+03:00
  'Happiness Katabazi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
  NI
  PROFESSA LIPUMBA AU NI PROFESA LIPUMBAFU?

  Na Happiness Katabazi



  JUMAPILI iliyopita Mwenyekiti wa Taifa wa Chama ya
 Wananchi
  (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba akizungumza  na waandishi
 wa
  Habari mambo  mengi likiwemo tukio la Polisi Kuzuia
  maandamano ya CUF Januari 27 na kuwapiga bila Sababu na
  kuwaibia baadhi ya vitu vyao.



  Profesa Lipumba alisema pia anafanya jitihada ya kuonana 
  na Rais Jakaya Kikwete kumweleza tukio hilo na kwamba
  Serikali na CCM inakata kuvuruga amani na haihehimu 
  maridhiano yaliyofanyika  mwaka 2001, vinginevyo hali
  itakuwa  katika uchaguzi mkuu  mwaka huu.



  Itakumbukwa Kuwa Januari 29 Mwaka huu, Waziri wa Mambo ya
  Ndani, Mathias Chikawe alitoa tamko la serikali kuhusu
 tukio
  la Januaria 27 Mwaka huu,ambapo pamoja na mambo mengine
  alimtaka mtu yoyote mwenye malalamiko kuhusu ukiukwaji wa
  Sheria za nchi, Nguvu nyingi na Polisi awasilishe
 malalamiko
  hayo Kwenye Dawati la uchunguzi na kwamba Dawati Hilo
  itayapokea na kuyafanyia kazi na kwamba Taasisi husika
  zitafanya uchunguzi Kama uenda Nguvu zaidi zilitumiwa na
  Polisi bila Sababu za Msingi.



  Cha ajabu watu Wengi Wanaolaani tukio lile wameshindwa
  kufika Katika Dawati la uchunguzi kutoa malalamiko Yao
  likiwemo dai la jeshi la polosi limejivika  ukada wa CCM
  wameishia kutumia vyombo Vya Habari, katika mitandao ya
  kijamii Kulalamika na kutukana kitendo ambacho haisaidii
  kukomesha matukio Kama hayo wanayo dai Jeshi la Polisi
  linatumia Nguvu nyingi bila Sababu za Msingi.



  Februali Mosi Mwaka huu, Professa Lipumba alipokuwa
  Akizungumza na waandishi    alisema anafanya jitihada za
  kumuona Rais Kikwete ili imfikishie kilio chao.



  Kwa Madai hayo ya Lipumba ,Nimuulize Lipumba amesahau kuwa
  Kikwete Kuwa ni Mwenyekiti wa CCM Taifa na pia ni Amiri
  Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama na aliwahi Kuwa
  Ofisa wa Jeshi la Wananchi(JWTZ)?



  Lipumba kadai Polisi imejivika  Joho la Ukada wa CCM.Sasa
  Lipumba yeye ni CUF haoni Kama akienda kumweleza Hilo Rais
  Kikwete ni sawa anafanyakazi ya 'kumvalisha Mbu
  miwani' au Kesi ya Nyani anampelekea Ngedere?



  Halafu Lipumba anaenda kumweleza nini Rais Kikwete Kuwa
 yeye
  na wafuasi wake walijeruhiwa na Polisi ili iweje? Kwani
  Kikwete ni Daktari au nesi wa kuwatibia majeraha
  waliyoyapata kutokana na vipigo' Mpini ' wa Askari
  Polosi?



  Tufanye Lipumba Hana Imani na Jeshi la Polisi kwa hiyo
 hata
  akienda kutoa malalamiko yake Katika Dawati la uchunguzi
  dhidi ya Polisi wale hayatafanyiwa  kazi.



  Kwa nini Lipumba anashindwa Kufungua Kesi ya Madai ya
 fidia
  dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi, Mwanasheria Mkuu wa
  Serikali ya kuomba Mahakama itoe amri kwa wadaiwa Hao ili
  iwalipe fidia iliyotokana na madhara ya vipigo Vya
  Polisi?



  Ibara 107 A(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa
 Tanzania
  ya Mwaka 1977, inasema Mahakama ni Chombo pekee cha kutoa
  haki na Ndio maana Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), Biswalo
  Mganga, Januari 28 Mwaka huu, amemfungulia Lipumba Kesi ya
  jinai Na.25 / 2015, Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
  Dar es Salaam.



  Kwa nini Lipumba anashindwa kutumia haki hiyo ya Kikatiba
  kupata haki yake anayodhani anastahili kuipata? Vyombo Vya
  Habari, mikutano ya adhara ,kukutana na Kikwete
  haitakusaidia kupata hiyo haki yako ya Kikatiba ya
  kuandamana, kupewa fidia ya kujeruhiwa na Hasara
 iliyoupata
  CUF kwaajili ya kuandaa maandamano na mkutano wa adhara wa
  Januari 27 Mwaka huu.



  Zaidi zaidi Mbele ya Jamii ya watu wenye akili timamu na
  waliotazama video ya Januari 27 Mwaka huu, ambao Katika
  video hiyo Ulipokuwa ukihojiwa  na polisi  wewe Mwenyewe
  (Lipumba) kwa Mdomo wako ulikiri Mbele ya Polisi wale na
  ulisema yafutatayo ;



  ' Barua   ya Jeshi la Polisi ya Kuzuia maandamano ya
  CUF mliipata  saa 12 Kabla  ya CUF kuanza maandamano na
  kwamba wewe na wafuasi wako siku hiyo ya Januari 27 mwaka
  huu, mlikuwa mkitembea kwa miguu huku mkiwa Wengi toka
 Ofisi
  za CUF- Temeke kwenda eneo la Mkutano ili Muende
  kuahirisha  mkutano ule.



  Kwa maelezo hayo uliyoyatoa Lipumba wakati umezingirwa na
  Polisi na wafuasi wako wakichezea  'mpini wa
  Polisi' yaani kipigo huku ukionekana ni mpole
  sana,uliyekuwa ukitoa ushirikiano wa Hali ya juu kwa
 Polisi
  tena kwa heshima kubwa  na kujimaliza kwa maelezo yako
  ,niliishia kujiuliza msomi huyu ni Profesa Lipumba au ni
  Profesa Lipumbafu?



  Yaani Lipumba Katika video ile amekiri kabisa Kuwa ni
 kweli
  saa 12 ,CUF ilipokea barua ya Jeshi la Polisi ya Kuzuia
  maandamano Yao lakini bado Lipumba siku hiyo ya Januari
 27,
  akatoka nyumbani kwake akaenda hadi Ofisi ya CUF- Temeke,
  akiwaambia wafuasi wake watoke Katika Ofisi hiyo na waende
  kwa Wingi wao kwenda eneo la mkutano kwenda kuairisha
  mkutano ule wakati Tayari alikuwa anafahamu Kuwa Tayari
  Polisi ilishawakabidhi mapema barua ya Kuzuia maandamano
  hayo.



  Kwa kitendo hiki cha msomi wa aina ya Lipumba kwa mdomo
 wake
  kupitia video ya tukio la Januari 27 Mwaka huu, ameonekana
  akikiri Mbele ya Polisi Kuwa Kabla ya kuanza maandamano
  Tayari CUF ilikuwa imeishapokea barua ya Polisi ya
 kukataza
  maandamano lakini yeye akawaongoza wafuasi wake kutembea
 kwa
  umoja wao kwenda kuarisha mkutano kinastahili kufanywa na
  msomi huyu?



  Mzee wangu Lipumba naomba kukushauri jambo moja kwamba,
  kubali kuwa hadi sasa wewe ni mshitakiwa wa kesi ya jinai
  ambao polisi unaowakebehi ndiyo wachunguzi na mashahidi wa
  kesi yako.



  Mwendesha Mashitaka ili ashinde Kesi yoyote ili  ya jinai
 ,
  anategemea sana kazi iliyofanywa na wapelelezi wawe wa
  Takukuru au Jeshi la Polisi.



  Hivyo nakushauri mzee wangu Lipumba kuanzia sasa acha
  kuendeleza  'ligi'  ya maneno na polisi, unaweza
  ukajikuta unaumia. Kumbuka msemo usemao mdomo uliponza
  kichwa.



  Mahakama ipo kwaajili kutoa haki lakini siku zote Mahakama
  inatoa haki kutokana  na aina ya ushahidi ,hoja
  zilizowasilishwa Mbele yake na pande mbili zenye mgogoro.



  Kumbuka katika Kesi yako mshitakiwa ni wewe peke yako na
  wala siyo viongozi wenzio wa UKAWA na baadhi ya wafuasi
  wako,vyombo vya habari ambavyo wewe unafikiri vinakusaidia
  kumbe vinazidi kukupalia makaa ya moto.



  Walikuwepo watu wenye ushawishi mkubwa na wafuasi wengi
  kuliko wewe hapa nchini na waliokuwa mahiri sana
 Kubwabwaja
  kupitia vyombo Vya Habari kushinda wewe Lipumba , lakini
 Leo
  hii wamefyata Mkia huko Magerezani wa naangaika na Kesi
  zao.



  Mfano Mzuri , Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustine
 Mrema,
  Sheikh Ponda Issa Ponda , Kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na
  Mihadhara  ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) Sheik Farid Hadi
  Ahmed (48) na wenzake, wanaoshitakiwa kwa kesi ya ugaidi
  Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam,na
 kuna
  siku Moja baadhi ya washitakiwa wenzake walilalamika
  mahakamani hapo Kuwa wamefanyiwa vitendo Vya kikatiri
  Magerezani  na Polisi ikiwemo kulawitiwa na Polisi Hali
  iliyosababisha waaribike vibaya sehemu za Siri.



  Na kwa taarifa Yako, baadhi ya Wanajeshi nilioapata fursa
 ya
  kukutana nao Ana kwa Ana wamenieleza wamefurahishwa na
 kazi
  nzuri iliyofanywa na Jeshi la Polisi ya kuwashushua
  mkong'oto.



  Na siku zote Askari wana umoja sana nawafahamu ni Baba 
  zangu wamenizaa na kunilea  na ukumbuke  pia Huyo Rais
  Kikwete aliwai Kuwa Mwanajeshi.



  Kwa hiyo ukae ukijua ni wale wale, hawaangushanagi Hao na
  ukute akitazama ile video ya Januari 27 Mwaka huu, jinsi
  Lipumba ulivyokuwa  unatetemeka   Mbele ya Polisi
 Atakuwa
  anakucheka  sana na kukuona   Kumbe huna   ujanja
 Mbele
  ya Polisi wake ,ujanja wako upo Mbele ya Vyambo Vya
  Habari.



  Nakushauri  usijiangaishe kwenda kwa Kikwete kumuona
  kumuelezea jinsi wewe na wafuasi wako mlivyotendwa na
  Polisi, Kwani naamini ukimpa Kisogo tu lazima ataangua
  kicheko na hata hivyo Kikwete Hana mamlaka ya kukusaidia
  ufutiwe Kesi yako Sasa unamfuata akusaidie nini?



  Kweli Kuwa Profesa siyo kufahamu kila kitu na Lipumba
  amethibitisha Hilokupitia matamko yake mbalimbali .Mimtu
  mwenye huruma sana hivyo nakupa mbinu haramu ya ushindi wa
  Kesi ni hivi ;



  Kamfuate DPP- Mganga au vijana wake kiaina muombe akufutie
  Kesi Kama unaweza maana DPP kwa mujibu wa Kifungu cha
 91(1)
  cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai ya Mwaka 2002
  ,ndiyo hasa mwenye mamlaka ya Kufuta Kesi ya jinai,
 kamlilie
  Shida hiyo au nenda  kaliangukie Jeshi la Polisi kimya
  kimya  baadhi ya wapelelezi wa Kesi yako ili wakaaribu 
  mapema ushahidi  ili hata DPP akikataa kukufutia Kesi
 basi
  ushahidi kuishaaribiwa na Polisi na mashahidi mwisho wa
 siku
  Mahakama itatoa hukumu ya kukuachiria huru kwasababu
  ushahidi wa upande wa jamhuri utaonekana ni dhahifu.



  Mbinu  hii inatumiwa  na watoto wa 'mujini'
  wanaokabiliwa na Kesi za jinai na wanafanikiwa kuchomoka
  ,wewe akili ya kutumia mbinu hii huna, Matokeo yake Kutwa
  unabwatabwata majukwaani na Kwenye vyombo Vya Habari. 
  Shauri yako 'watu watakula kichwa hicho' na huo
  Ubunge wa Temeke utausikia Redioni.



  Kwa mujibu wa Gazeti la Habari Leo la Februali 2 Mwaka
 huu,
  lilihapisha Habari iliyomnukuu , Mbunge wa Moshi Mjini,
  Philemon Ndesamburo (Chadema) amefanya mkutano wake na
  waandishi wa Habarin,Februali Mosi Mwaka huu ambapo
  Ndesamburo   aliwataka viongozi wanaounda Umoja wa
 Katiba
  wa Wananchi (UKAWA), kuacha kulilalamikia Jeshi la Polisi
  kutokana na kazi wanazozifanya ikiwa ni kulinda Amani na
  Usalama wa nchi.



  Aidha Ndesamburo alisema Haoni tatizo Kwa Jeshi la Polisi
  kutekeleza majukumu yake na wala Haoni sababu ya viongozi
 wa
  UKAWA Kulilalamikia Jeshi la Polisi kuhusu tukio
 lililotokea
  hivi karibuni na  anachoona Polisi inasaidia Vyama Vya
  upinzani ili wananchi  wavichague.



  Ndesamburo pia ni UKAWA kama  alivyo Mwenyekiti wa Chama
  cha NCCR- Mageuzi, James Mbatia, Mwenyekiti wa Chadema,
  Freeman Mbowe ambao Nyie wote wiki iliyopita msijitokeza
  ndani  na nje ya Bunge kulilalamikia Jeshi la Polisi Kuwa
  ni Jeshi linalotumika vibaya na limejivisha UKADA wa CCM
 na
  linawaonea wapinzani.



  Itakumbukwa Kuwa Katika Mauji ya mkutano haramu wa Arusha
  mjini uliokuwa umeandaliwa na Chadema ,Ndesamburo,
  Mbowe,Dk,Slaa,Samson Mwigamba walipata Shuruba kutoka kwa
  Jeshi la Polisi Kwasababu waliokaidi amri ya Jeshi Hilo
  iliyokataza mkutano huo na wengine wakaambulia kufunguliwa
  Kesi mahakamani.



  Kwa tamko Hilo la Ndesamburo ,Juzi ni wazi amekoma kukaidi
  amri za Jeshi la Polisi.Hongera sana Mzee Ndesamburo kwa
  kuliona hilo.Na wengine igeni mfano huo ukiwemo Lipumba
  ambaye hata kukimbia mbio huwezi na Tayari una Maradhi ya
  Shinikizo la Damu.



  Mzee wangu Lipumba ni msomi wa ngazi wa
 Kimataifa,nakushauri
  Tenda matendo ya kisiasa yanayoendana na wasomi na umri
 wako
  wa kiutu uzima , utaheshimika.Kwani kwa baadhi  ya
 matukio
  unayoyafanya ikiwemo kuamasisha wafuasi wa CUF wasipige
 kura
  za maoni Katiba Pendekezwa na mambo mengi watu tumefika
  uamuzi wa kujiuliza huyu ni Profesa Lipumbafu?



  Chanzo: Facebook: Happy Katabazi

  Blogg: katabazihappy.blogspot.com

  0716 774494

  Februali 3 Mwaka 2015.















  Sent from my iPad



  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



  Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility
  for any legal consequences of his or her postings, and
 hence
  statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you agree to this
  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
  Guidelines.

  ---

  You received this message because you are subscribed to
 the
  Google Groups "Wanabidii" group.

  To unsubscribe from this group and stop receiving emails
  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.






  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

   

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya
  kudhibitisha ukishatuma

   

  Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility
  for any legal consequences of his or her postings, and
 hence
  statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you agree to this
  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
  Guidelines.

  ---

  You received this message because you are subscribed to
 the
  Google Groups "Wanabidii" group.

  To unsubscribe from this group and stop receiving emails
  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.


 --
 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:
 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 ---
 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.
 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment