Naomba niseme ukweli. Naanza kuona mabadiliko ndani ya Ngupula. Kwa mabadiliko ninayoyaona unaweza sasa kulinganisha candidates. Kama ukilinganisha halafu Edward akapita sawa kabisa. na mimi 'naweza' kumpitisha kulingana na nani ameletwa. Lakini humu kuna watu hawako tayari kusikia zaidi ya Edward. Mwe!?
--------------------------------------------
On Tue, 2/10/15, 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Lowassa anadanganywa na wabunge wanaonyemelea mamilioni aliyonayo
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, February 10, 2015, 3:51 PM
Kusema Lowassa hakubaliki kwa watu
ni kujidanganya...the only way ya kumpiku Lowassa ni kuweka
candidate mzuri atayejiuza zaidi yake lkn sio maneno.......
'lesian mollel' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
mzeeemhigo mlete
mnaedhan kuingia ikulu badala ya lowasa tujue give us
altenative president to be ambaye ni msafi msiwe mnaongea
utopianism jamani.........mleteni, mtajeni mwenye sifa zenu,
clean and smart ambaye watanzania watamkubalia
kuongoza nchi kwa kura nyingi au lipumba, sema kama unamtaka
dk slaaa, ama kaka yetu Mbatia....semeni
From: 'ELISA
MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
To:
wanabidii@googlegroups.com
Sent:
Tuesday, February 10, 2015 2:57 PM
Subject: Re:
[wanabidii] Lowassa anadanganywa na wabunge wanaonyemelea
mamilioni aliyonayo
Huu ndio ubovu wa kutumia mitandao kuusaka urais. Mtandao
huu sasa uunakosa watu makini kama waliokuwemo ndani ya
mtandao wa 2005.
Mambo kama haya yalikuwepo 2005 lakini umakini wa
waliotumiwa sasa haupo.
najua sasa kuwa huenda taifa hili lisipokuwa makini
tutampata mhuni kuingia ikulu.
Mungu apishe mbali
--------------------------------------------
On Tue, 2/10/15, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
wrote:
Subject: [wanabidii] Lowassa anadanganywa na wabunge
wanaonyemelea mamilioni aliyonayo
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, February 10, 2015, 1:10 PM
Lowassa
anadanganywa na wabunge wanaonyemelea mamilioni
aliyonayoNa
Mwandishi MaalumMAGAZETI
kadhaa yatolewayo kila siku nchini, Jumatatu Februari 9,
2015, yaliongozwa na habari kuu kuhusu
Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa kwamba 'anang'ara
katika mbio za urais'.Katika habari hiyo, magazeti hayo
yote yalinukuu kauli za wabunge saba wa CCM wanazodaiwa
kuwa
walizitoa katika hafla iliyotajwa kuwa "ya aina yake"
ya
chakula cha jioni, Jumamosi iliyopita.Lakini katika hali
isiyokuwa ya
kawaida, hafla hiyo kamwe haikutaja ilikofanyika zaidi ya
kuelezwa tu kuwa "nyumbani kwa kigogo mmoja wa CCM",
Kilimani mjini Dodoma.Kwa
nini kigogo huyo alifichwa utadhani hafla hiyo ilikuwa
haramu au kwamba iliambatana na vitendo vya
kihalifu?Wabunge waliotajwa na kunukuliwa
wakizungumza ni Deogratius Ntukamazina (Ngara), Diana
Chilolo (Viti Maalum – Singida), Stephen Ngonyani au
'Profesa Maji Marefu' (Korogwe Vijijini) na Mary
Chatanda ambaye pia wa Viti Maalum (Tanga) na Katibu wa
CCM
wa Mkoa wa Singida.Wengine ni
Kapteni John Komba (Mbinga Magharibi), Mussa Azzan Zungu
(Ilala) na Yahya Kassim Issa ambaye ni mbunge wa Chwaka,
Zanzibar.Wote walinukuliwa
wakimwelezea Lowassa ambaye pia ni Waziri Mkuu wa zamani
kwamba "ni kiongozi bora, kiongozi makini, chaguo la
Watanzania" na kadhalika.Ntukamazina kwa mfano alisema:
"Kule kwangu Ngara wananiuliza yule waziri mkuu
aliyeleta
hizi shule za kata yuko wapi? Mimi nawajibu atarudi na
kila
mtu mitaani anataja jina lako, kwa hiyo sauti ya wengi ni
sauti ya Mungu".Wasiwasi
kuhusu habari hiyo
Kila gazeti, licha ya habari hiyo kuandikiwa ukumbini na
isiyokuwa ya uchunguzi, yote hayakutaja jina la mwandishi
kwa kusema ni "Mwandishi Wetu, Dodoma", halafu zote
zinafanana kwa kila kitu katika mambo yafuatayo:
(i) Kutotaja jina la kigogo wa CCM aliyeandaa hafla hiyo
kuwa ni nani;(ii) Idadi ya
wabunge waliohudhuria hafla hiyo imetajwa na kila gazeti
kuwa 150 utadhani kila mwandishi aliwahesabu au
walihesabiwa
mlangoni, kisha hesabu yao ikatangazwa hadharani;(iii)
Wabunge waliotajwa kwenye
magazeti hayo kuwa waliongea ni walewale; na(iv) Wabunge
hao pia wametajwa kwa
mtiririko uleule, nukuu zilezile, namna ileile huku kila
ki
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment