Hoja yako ni ya msingi lakini ukumbuke nchi yetu imeridhia sera za soko huria ambazo huongozwa na ushindani katika bidhaa na huduma .kwa hiyo kila mtu anajikuna pale mkono wake unapofika.Cha msingi ni kupigania mazingira bora ya shule za serikali haya ndio matunda ya kuacha ujamaa na kukumbatia ubepari.Mwenye nguvu mpishe
Hezron kaaya
On Sunday, February 8, 2015 8:51 PM, Elgin Saul <elgin.saul@gmail.com> wrote:
Kaka hiyo inalipwa mara tatu kwa mwaka ......shida iko hapa ukifikiri Elimu unayoamini ni bora ni ghali jaribu Shule za Kata....sizidharau ila ndio ukweli wenyewe.
On Feb 8, 2015 5:05 PM, "'Mashaka Makana' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
-- --Hivi kweli ni sahihi shule ya awali kulipia ada ya Tshs.1,200,000/= na zaidi kwa mwaka? Kweli hii hali ya kupandisha watoto wadogo kwenda kusomea shule za mbali itaisha? Kama shule ya karibu ada hiyo hiyo. Hivi hizi shule binafsi nani anadhibiti ada ada zake? Kila shule na ada yake kweli tutafikia BRN? Ni wakati umefika sasa pawepo na chombo cha kupanga ada za shule za binafsi kulingana na huduma inayotolewa. Hebu wanaohusika walivalie njuga swala hili! Au hili nalo linasubiri Rais Ajaye? Aaah hebu wanaohusika wawajibike!
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment