Wednesday, 4 February 2015

Re: [wanabidii] Askari auawa akimwokoa mtoto mchanga asiuawe

Kwa kweli hii sio sahihi hata kidogo! Hii roho ya ya ukatili, mpaka lini??


--------------------------------------------
On Thu, 2/5/15, 'amon mkoga' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Askari auawa akimwokoa mtoto mchanga asiuawe
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, February 5, 2015, 9:24 AM

Nikiwa mtetezi wa haki za watoto nimeguswa sana na
suala hili.
AMON
MKOGA
P.O BOX 78566
MOBILE 0755 638 004/0784 772628/0655 638 004
EMAIL dramontz2002@yahoo.com
DAR ES SALAAM
TANZANIA

On Wednesday,
February 4, 2015 10:39 PM, Yona Fares Maro
<oldmoshi@gmail.com> wrote:


Leo
tarehe 04.02.2015 majira ya saa 11:00 limetokea tukio baya
na la kusikitisha la kuuawa kwa askari wa Polisi Mkoa wa
Dodoma namba G.7168 PC JOSEPH ISACK SWAI.
Chanzo cha kuuawa huyu askari ni kwamba alipigiwa simu na
Mtendaji wa Mtaa wa chang'ombe juu hapa Dodoma Mjini
akimjulisha kuwa amepokea taarifa ofisini kwake kutoka kwa
OLIVER BALTAZARI, MIAKA 52, MKAZI WA CHANG'OMBE JUU kuwa
kijana wake aitwaye TISI S/O SIRILI MALYA ana mtesa motto
wake mdogo wa miezi nane aitwaye VALERIAN TISI MALYA na
anahisi labda ameshamuua kwani motto huyo halii tena.
Alichofanya mtendaji huyu ni kumpigia askari wetu huyo simu
naye akaenda hadi katika Ofisi ya huyo Mtendaji wa Mtaa.
Waliongozana wote wakiwa pamoja na kijana mmoja hadi
anakoishi huyo TISI SIRILI MALYA. Walipofika askari aligonga
mlango akijitambulisha kuwa yeye ni askari hivyo atoke
nje.
Alichofanya mtuhumiwa huyo ni kumnyanyua mtoto wake mdogo wa
miezi nane kwa mkono mmoja miguu juu kichwa chini na kutaka
kumkata kwa panga na kusema namkata shingo na sitaki kuona
mtu.
Askari aliamua kumwokoa mtoto huyo na alipomrukia mtuhumiwa
kwa bahati mbaya aliteleza na ndipo mtuhumiwa akamkata
kichwani askari wetu na akadondoka chini kutokana na jeraha
kubwa alilomsababishia. Hata hivyo mtuhumiwa huyo aliendelea
kumkatakata na Mtendaji na kijana waliyekuwa naye ambaye ni
maratibu wa watoto wanaoishi katika mazingira magumu
iliwabidi kukimbia huku wakipiga kelele kuomba
msaada.
Mtuhumiwa baada ya kufanya kitendo hicho cha kinyama
alikimbia huku nguo zake zikiwa zimetapakaa damu akiwa na
panga mkononi.
Askari huyu muda mfupi kabla ya tukio hili alikuwa ametokea
katika kituo cha Redio cha Dodoma FM kwa ajili ya kuandaa
kipindi cha kuielimisha jamii juu ya ulinzi wa watu wenye
ulemavu wa ngozi (albino) tunapoelekea kipindi cha uchaguzi,
kwani mbali na kazi anazofanya mojawapo ni kushiriki katika
vipindi vya kutoa elimu ya Polisi Jamii hapa mkoani
Dodoma.
Msako bado unaendelea ili kuweza kumtia nguvuni mtuhumiwa
huyu aliyesababisha kifo cha askari wetu wakati alipojitolea
maisha ya ili kumwokoa huyo mtoto mdogo.
Tuinazidi kuomba msaada wa wananchi popote pale
watakapomuona TISI S/O SIRILI MALYA, MIAKA 29, MCHAGA ambaye
ni maji ya kunde, mwembamba, siyo mrefu sana saizi ya kati
alikuwa amevaa suruali rangi ya blue iliyopauka na T-Shirt
rangi ya dark blue na kofia nyeupe yenye alama nyekundu ili
tuweze kumkamata na kumfikisha mahakamani.
Imetolewa na: 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma 
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi - Misime D.A
(SACP)



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment