Thursday, 1 November 2012

Re: [wanabidii] POLISI WAFANYA UNYAMA MKUBWA SANA ZANZIBAR!

Tony,
Shukrani, hakuna la kuchimbua zaidi hapo, kinachoendelea ni visasi
kati ya raia na polisi. Mwisho wa siku kila mvuta kamba huvutia kwake,
hicho ndicho wanachokifanya! mnaona wananchi wakiuwawa ila ya polisi
mmegeuka vipofu??

Suluhisho ni kuondoa tofauti kati ya pande zote mbili na si kuendelea
kuwatetea raia huku mkikandamiza askari (wote wana makosa). Makanisa
kuchomwa na fujo nyingine hamzionei huruma ila ya wananchi tu! huu
muungano mnataka kuuvunja kwa nguvu nyingi akili kidogo, kaeni chini,
orodhesheni malalamiko na myafikishe kwa wahusika. hivyo visasi na
fujo kamwe havitawafikisha popote. Fujo zitafunika madai ya msingi
badala yake matukio yatakuwa ndio vichwa vya habari.

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment