Thursday, 1 November 2012

Re: [wanabidii] MWISILAMU KAKOJOLEA KORAN NA KUMVISHA MBWA TASIBILI HUKO PEMBA

Inapohusu watu wa dini moja kufanya kosa hasa wenzetu-hawapati kizingizio cha jazba. inakukuwa dini ingine hasa wakristu kuwakosea-hapo kifua kimepata mkohoaji. litakuzwa, litapata vurugu isiyokuwa na kifani. Waandishi wale wale husikia na kuona yote. nao wanaogopa kufanyiziwa watakapokuza jambo la wenzetu hao ktk media. Visasi vinaweza kuwamaliza hivyo hukaa kimya na kuandika kwa uangalifu.
 
Wakati mwingine masuala ya negative ya system ya utawala hupewa nafasi kubwa kutangazwa kuliko upande wa positive. Au, udaku, hupewa matazamo na mkazo mkubwa hata Kichwa cha habari huwa cha msisimko wa Udaku ili gazeti linunulike lakini unaposoma ndani kichwa cha habari hakifanani na nyaliyoandikwa. hii hulipeleka taifa katika mtazamo sio mzuri-mipasho mipasho. kama uandishi ungukazia kuandika tatizo na kuweka mchanganuo matiki wa uwezekano ya chanzo cha tatizo na jinsi ya kulitatua bila kulalia upande mmoja ingesaidia sana. Hata wanapotoa matanzazo mfano KTK TV ya Haki Elimu, ni vema kuonyesha pande zote mbili, moja ya watoto kukaa chini na chaki kipisi kumdongoka mwalimu kuonyesha utata wa madeski na vifaa kama chaki; pili wazazi na mtaalamu huyo wa Haki Elimu wakijadili jinsi ya kupata madeski na watumie hizo picha tuzionazo ktk TV ya magogo yaliyokatwa kiuhalifu na kutengenezwa mbao msituni zikiuzwa kimagendo, msitu mnene umechakachuliwa na wazazi hao hao watoto wao wakaao chini darasani. wawekke debate ya 'mbona misitu tunakata wenyewe tunamaliza miti?' Hivi tukichanga  500/=kila mtu mzima tumlipe fundi na kulipia 3,000/= idara ya misitu naye fundi na vijana wake wajitolee kwa ujira mdogo si tutapata madeski wasikae chini. Na kutengeneza chaki kuwa mradi wa shule life skills NGO ije iwafundishe ktk somo la maarifa. Sio lawama tu wakati solution rahisi zipo. Hii ndio inayoliumiza Taifa letu na watu kupenda lawama upande mmoja daima hata kama majibu ya matatizo wanayo wenyewe, sababu za matatizo ni zao wenyewe au sehemu kubwa huzisababisha wanapokuwa hawaweki kipaumbele ktk elimu, life skills, chuchangia maendeleo yao wenyewe kupitia taasisi za dini YAO WENYEWE kama wafanyavyo Baniani, Bohora, KKKT, Upako, Ufufuo, Efatha, RC, Anglican etc.
 
Unaweza katumia nguvu kwa mfano kumfanya Mhazabe aondoke ktk kibanda cha nyasi karne hii ya 21 yenye climate change mbaya na kuisha wanyama kwa kumjengea nyumba za kijijini kwa kupitia NHC ukamsaidia aanze kilimo cha umwagiliaji na ufugaji ng'ombe kisasa, asomeshe watoto kwa kuwapeleka boarding school (Mila na mazingira). Lakini ukiingilia hivi kumbadili mtu wa dini fulani hasa hizi za jazba na ubadili hata umri wa ndoa uwe mkubwa na ukataze mitala ili upunguze HIV, na kutawisha wamama ndani kuishe ili wawe wajasilia mali- utaanzisha vita isiyoisha kwa visingizio tena vya uonevu wa kidini. 
Upofu kwa wenye macho ni mkali sana Africa na Tanzania. Ukitoa mifano namna, mwingine atakuambia-unachanganya mambo hueleweki maana upofu wetu mkumbwa kuona mbali na kulinganisha vitu. Woga umetutawala hasa pale penye ukweli kuuweka wazi.

--- On Thu, 1/11/12, Peter Lwegasira <petermakatu@yahoo.com> wrote:

From: Peter Lwegasira <petermakatu@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] MWISILAMU KAKOJOLEA KORAN NA KUMVISHA MBWA TASIBILI HUKO PEMBA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, 1 November, 2012, 6:12

Mngonge,

Tukio la Mbagala liliandikwa baada ya vurugu za wahuni kuchoma makanisa na kuiba vitu.  Haya yalitokea kama baada ya siku tano toka mtoto akojolee kurani. Tukio la kukojolea kurani halikuandikwa kwa sababu halikuwa habari au halikufahamika kwa wanahabari. Nadhani hivi ndivyo ilikuwa kwa tukio la Pemba. Lingefuatiwa na vurugu lingepata nafasi kubwa kwenye vyombo vya habari.

From: mngonge <mngonge@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, October 28, 2012 11:23 AM
Subject: Re: [wanabidii] MWISILAMU KAKOJOLEA KORAN NA KUMVISHA MBWA TASIBILI HUKO PEMBA

Kama uamini na una simu ya mtu anayekaa Chake chake Pemba wasiliana naye au wasiliana na polisi ya Zanzibar maana swala lenyewe liko mikononi mwa vyombo vya sheria. Yapo mambo ambayo mtu mwenye akili timamu anaweza kuzusha lakini siyo kama hili.

Binafsi nashangaa vyombo vya habari kutoliandika hili kwa mapana yake, kimsingi ni jambo la aibu na lenye kuudhalilisha uislam zaidi ya lile la yule mtoto wa Mbagala pengine ndiyo maana halijatangazwa sana.

Kama ingekuwa aliyefanya hivyo ni mkiristu lingeibua hisia kali na pengine kuliko la Mbagala lakini kwa vile aliyefanya hivyo ni muislamu imechukuliwa kama ni tukio la kivuta bangi na kwamba aliyefanya hivyo hana akili timamu

2012/10/27 Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
 
Ina maana akikojolea msahafu mtoto mkristu ni tatizo, wachome makanisa, waharibu vituo vya polisi na kuharibu mali za watu. Ila, akikojole mwislamu hata akiwa mtu mzima au kijana mlevi hii ni Kheri haina tatizo na kumpiga, kuchomea nyumba yao wala kumchinja ni poa tu. Basi hapa kuna namna.
 
Baadhi ya makanisa nchini (Mojawapo ni la Bagamoyo RC-kaaulize wazee na mapadri kama ninaongopa) yameshuhudia vurugu za waislamu toka kabla na baada ya Uhuru. Wakati wa sikukuu mfano pasaka au kristmas lazima waombe ulinzi wa polisi na sikuhizi ni kuajiri makampuni ya ulinzi. Waislamu huingia kanisani wakati wa misa na kupiga kelele "Yesu si Mungu". wengine huenda kupokea ekaristi wanaowafahamu huwakamata na kuwatoa. Hakuna aliyepigwa wala kushitakiwa, wakristu huvumilia. Wengine wamediriki kuitoa sanamu ya Bikira maria ampapo ipo ktk pango toka kanisa lijengwe 1868 na kuinyea mavi, kuikojolea ikiwa imetupwa nje na ipo katika ardhi ya kanisa karibu na makaburi na marian secondary school. Hii imechafuliwa si pungufu ya mara tatu. Wakristu hawajathubutu kuingia msikitini kufanya fujo kwani dini inafundisha upendo na hata nyumba za wazee na watoto yatima za wakristu walelewao na waislamu wapo.
 
Ipo wakati wakristu walisali Misa ya mazishi ya kilatini bagamoyo kwa sanamu ya mama wa Mtume Issa kunyewa kinyesi na yaliyowapata wahusika talikuwa makubwa kaulize utaambiwa.  Ilipotokea mara nyingine likapigwa tangazo kuwa misa hiyo itasomwa tena wakaenda kuomba msamaha. lakini wachafunzi hao pia waliiba vikombe vya kanisani vya vya dhahabu vile vya kuweka ekaristi ambavyo baadhi ya mapadri walipewa makwao kama zawadi ya upadirisho wao. Vikombe ambavyo vimekoshwa kwa dhahabu ndio mfumo wa zamani wa kubekea ekaristi, makanisa ya Urusi yana mpaka minara ya dhahamu, mavazi ya mapadri yenye marembo hayo na vikombe vya namna hiyo. Sasa tunatumia vya kuchonga kwa mpingo na vya chuma cha fedha.
 
Endapo mtu ataanzisha vurugu na kuandamana kwenda kuunguza kanisa-naitokee basi Mungu auzime moto kwa uwezo wake lakini 'Ashushe Radi na umeme' iwapige/iwatandike  hao Kafir waendao kuchoma makanisa kwa visingizio vyao binafsi na mapungufu yao waliyoyajenga wenyewe 'wagauke mawe' na mtu akiwaona ajue huyu ni furani na yule pale ni fulani. Ikitokea hivi kama ilivyotokea kwa mke wa  mtume mmojawapo kugeuka jiwe alipoambiwa asigeuke nyuma (wakati Sodoma na Gomora zinateketezwa), hii itakuwa fundisho na faida kwa wao kufahamu kuwa 'Bwana Yesu Yupo na yu hai na haya yote aliyatabiri kuwa ndio ujio wake wa kurudi tena duniani na wote watampigia goti yanaanza kuonekana' Na ndio maana walichukua vifaa vya yesu kanisani wakapeleka nyumbani wakafumwa navyo. Wakivamia bar kuvunja maduka ya pombe wasiyoyataka-chupa za pombe hawavuji bali crate za chupa za vileo zinahamia home!! Hapa hakuna udini bali njaa na ushabiki wakijinga.
 
Maandamano ya dini yanahusianaje na wewe kukimbilia unga na bidhaa nyingine madukani? Kuchomoa kioo cha gari ipitayo!! Mnaharibu maendeleo haya ya watoto wenu watanzania ndugu zangu waislamu.
 
Kama ni udini kweli-ukristu unaonea watu na kuwakandamiza kuwa hautakiwi, wale wazazi wa binti aliyepigwa risasi Pakistan wangekataa asiende kutibiwa England bali Misri au Saudia.
Jiulizea pia, kwa nini wahamiaji wa kutoka nchi zinazopigana udini huko mashariki ya mbali na ya kati na Africa kimbilio ni-england, Canada, australia, Germany, France, USA hata kuvamia magari channel tunnel ili wafike UK? Na ukiwakuta huko wameshikana mikono na wapenzi wao, wapo shopping, vijana wamevaa kisasa hata debweza. Hakuna anayependa kurudi nyuma, maendeleo ni haja ya kila mtu. Kama ni madawa ya kulevya-yanalimwa huko na kulindwa na mtutu na walinzi wanaonekana wakisali sala kila muda unapowadia. Kama ni pombe-zipo kila kona toka mnazi, tende (gongo), beer, wine wengine kunywa kwa kificho. kama dhambi ya ubakaji na ushoga-hii ndio chai kwa wanaoingiza udini sana Tanzania lakini waliowengi vitendo vyao vichafu. Tunataka nini sasa. rais mwislamu na mawazili wa dini yake kibao. unguja viongozi wote karibu ni waislam. Wamezuia maendeleo ya kusoma vipi. Muungano unamsuia mtu asisome bali abwie unga vipi?
Hatuna institutional memory ya head memory jinsi mwarabu na wazungu walivyotufanyia mpaka leo hii tuwakubalie watutumayo kufanya ili tuharibu umoja na udugu wetu? Kuchanganya damu ni hoja?  Mbona wabhughu, Mbulu-Iraq ni weupe zaidi na nywele za kisomali nao ni watanzania? Lack of identify na kujijua, kujithamini na kuwa na uthubutu wa kujituma kimaendeleo na kutokuwa na malengo ndiko kunakoleta haya machafuko yanayoyewa bendera la 'Udini' hakuna lolote.
 
Ua, nyonga lakini hautaingia mbinguni kwa bendera ya dini yako kwa kuua Kafir bali utaingia kwa shetani. Soma, somesha watoto, shule za dini yako saidia kutumia fedha za dhehebu lako kuajiri walimu wazuri wafundishe wanafunzi wenu wafaulu wajue kujiajiri na kutafuta kazi ashinde interview aajiriwe. Isiwe hayo ya 'my daily bread' halafu useme unaonewa hupati ajira au kuchaguliwa uwakilishi sababu ya rushwa when your daily bread is 'udini na kukaa jobless corner kuuza utaranta kutwa. Inachefua!!. Tuongeze umasikini sasa na bado tu masikini. kama laan hivi Afrika. ujue ukigombana na mkeo chumbani kwa makelele jirani mbaya wako atasikia na kuweka mkono wake muovu ili mfarakane na mtatesa watoto na wazazi wenu. Mwarabu, Boko Haram, Alkaida wataingia TZ tujimalize. Wao kwao wanakata walimu mikono wakiwakuta darasani, wanakata mikono wanaowakuta wanasoma elimu dunia, wasichana wasisome zaidi ya quran. Jee, tunayataka haya? Si wakristu ndio watapeta kusoma zaidi na kushika madaraka? Tufunguke akili na upeo wa kufikini.

--- On Fri, 26/10/12, Said Issa <saidissa100@yahoo.com> wrote:

From: Said Issa <saidissa100@yahoo.com>

Subject: Re: [wanabidii] MWISILAMU KAKOJOLEA KORAN NA KUMVISHA MBWA TASIBILI HUKO PEMBA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, 26 October, 2012, 16:00

Dear Bw. Mbuba,

>Habari hii haiwezi kuwa ya Kweli!

Kaka ni kweli. Jamaa alikuwa kalewa chakari!
Soma msg ya hapa chini niliyoipokea sasa hivi.

...bin Issa. 

----- Forwarded Message -----
To: "saidissa100@yahoo.com" <saidissa100@yahoo.com
Sent: Friday, October 26, 2012 10:50:53 AM
Subject: Fw: [wanabidii] MWISILAMU KAKOJOLEA KORAN NA KUMVISHA MBWA TASIBILI HUKO PEMBA

Wlkm Slm.

Ni kweli hili tukio la mlevi kukojolea mas'hafu. Baada yakupokea hii email yako nimewapigia simu Pemba kuthibitisha. Kweli amepandishwa mahakamani lakini hapakua nafujo kwani suala hilo lilikua halihusiani naupinzani wakidini bali lilikua nimlevi na hapakua nauharibifu wowote wamali wala uvunjifu wa amani.

Asante, nakutakieni nyote Eid Mubarak!

Sent from my BlackBerry® smartphone powered by Mobilicity

From: weston mbuba <matutetz@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, October 26, 2012 11:30:11 AM
Subject: Re: [wanabidii] MWISILAMU KAKOJOLEA KORAN NA KUMVISHA MBWA TASIBILI HUKO PEMBA

Habari hii haiwezi kuwa ya Kweli!

--- On Thu, 10/25/12, nevilletz@gmail.com <nevilletz@gmail.com> wrote:

From: nevilletz@gmail.com <nevilletz@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] MWISILAMU KAKOJOLEA KORAN NA KUMVISHA MBWA TASIBILI HUKO PEMBA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, October 25, 2012, 11:48 PM

Makubwa, ngoja tusubiri pengine wanasubiri ipite siku kuu ya Iddi el Haji!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

-----Original Message-----
From: Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Fri, 26 Oct 2012 02:40:45
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] MWISILAMU KAKOJOLEA KORAN NA KUMVISHA MBWA TASIBILI
HUKO PEMBA

Mtume !!! Vya kushangaza !!

Courage

On 10/26/12, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:
> wakati sakata la kijana wa Mbagala kukojolea kitabu kitakatifu likiwa
> bado bichi mahakamani.
> Huko Pemba maeneo ya Chakechake kijiji cha Wawi mwislamu amekashifu kitabu
> hicho kwa kukikojolea  kumvisha mbwa tasibii na kumlazimisha mama yake
> kumpakata mbwa huyo.
>
> Mtu huyo mwanamme baada ya kutenda tukio hilo kajipeleka mwenyewe kwa
> shehe na kumtaarifu kuhusu hilo
> Tayari kijana huyo amekwishafikishwa kwenye vyombo vya sheria ili
> sheria ichukue mkondo.
> Tofauti na mbagala hapakuwepo na maandamano wala uharibifu wa mali za
> kanisa au msikiti wowote.
>
> Jamani sasa dunia sijui inakoelekea ni wapi, inabidi tuiombee nchi
> yetu na kuiepusha na mabalaa haya.
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment