Sunday 19 February 2017

[wanabidii] Re: [Wanazuoni] Je ni kweli? Tanzanian Farmers Are Facing Heavy Prison Sentences If They Continue Their Traditional Seed Exchange

Mbona hii inatisha sana! Ni sheria ipi inayolitamka hilo? Watafiti tusaidieni.   Hivi tunahitaji mbegu zenye masharti hayo? Mchango wa vyuo vyetu vikuu vya kilimo katika hili upoje?  Waliombwa ushauri ?

Tulipata maoni ya taasisi binafsi zinazohusika na kutetea maslahi ya wakulima? Au nazo ziliwekwa mifukoni ili kufunika kombe?

 

On Sunday, 19 February 2017 12:29:53 UTC+1, Hildegarda Kiwasila wrote:
Wangechukuliwa hatua wakulima na wafugaji-ningefurahi sana sana.
Namna fulani ya kukomesha  matumizi mabaya ya ardhi, kupunguza athari za mabadiliko ya tabia nchi pamoja na njaa na maradhi  ifanyike kwa kutekeleza bylaws za sheria kuu.

Unafika unaona milima na mitelemko lakini mkulima analima milimani bila ya makinga maji. Matokeo udongo huporomoka na mto kujaa mchanga maji kukauka.

Vyanzo vya maji kwa mifugo, binadamu na wanyama pori kukosekana kutokana na kilimo hatarishi na ufugaji kiholela usiozingatia ulinzi wa mazingira yanayotegemewa na mifugo na binadamu. Kuweka SIASA mbele nauroho wa hongo/rushwa badala ya kuzingatia misingi ya maishana ya sekta husika ni tatizo kuu.  Tumetoka kwenye conventional extension services tukaingia katika community participation system ya Training and visit system katika kilimo na ufugajikuwa na mpaka volunteers katika kilimo na mifugo na sheria ndogondogo. Tukaja Shamba Darasa and big results now. Mashamba na makundi ya shamba darasa kuanzia jinsi ya kupanda, kutambua mbegu bora mpaka kuvuna. Kisha kila linalofanywa ktk shamba darasa mtu anatakiwa afanye kwake na anakaguliwa. wakiachiwa waendelee baada ya shamba darasa na ukaguzi-wanarudia kule kule walikotoka. Community forestry, Community-based natural resource management systems, WMA kwenye wanyamapori with  benefit sharing systems etc yote haya bure tu! Mijini nako mifumo shirikiki ya SUDPF na  sasa CIUP yote bure tuu! Uchafu mitaa hiyo ikishwa kuboreshwa kama kawa!

Agroforestry imefundishwa kuanzia enzi za baba wa taifa-kilimo ni kazi, kazi ni uhai, mtu ni kazi, panda mti kata mti! You name it. NGOs kama TCRS, CONCERN wamesaidia masuala hayo ya kilemi endelevu na ufugaji kisasa mbuzi, ng'ombe. Ikaanzishwa mpaka IPI- hapo UDSM kutengeneza mashine ndogondogo za kutumika kukamulia mafuta ya alizeti, matofari ya interlocking etc; Miradi donor supported ya kutunza mazingira na catchment areas Danida Iringa-Njombe -Makete na multi-donors Rukwa (RUDEP) pamoja na kusaidia kilimo kwa lishe bora kupanda soya, maharage, mahindi dwarf; TIRDEP-Tanga (GTZ) integrated projects. Iringa Catchment office ilihusika ili kulinda Kihansi Dam, Ruhudji, Wetlands za Kilombero kwa ajiri ya Rufiji River. Na sasa ni River Basin Authorities zinahusika na kwa Project yoyote EIA ni lazima. Vitaru vya miti vya kata na Katibu Tarafa alipewa alipewa pikipiki kuhamasisha kilimo endelevu na upandaji miti.
Milima ya Lushoto pamoja na huko Lushoto toka zama hizo ni muhimu kwa kulisha nyanya, kabichi Dar na misitu ilikuwepo toka ukoloni wa ujerumani kwa ajiri ya mbao-utaona kilimo milimani bila ya makinga maji. Makinga maji ni lazima milima ya Upare na wanapanga mpaka mawe na kulima endelevu kimila ni lazima. ukipanda mazao mchanganyiko wa mahindi na kunde ni must kilimo cha mabondeni. Ukilima mahindi au mpunga wa miezi sita (6) wakati wa kiangazi kilimo cha umwagiliaji-kamati ya mila itang'oa!! unatakiwa upande ya muda mfuipi usimalize maji. Ingiza mifugo shambani kwako ulipe mfugo! ina maana unaharibu mazingira. kata mti usioruhusiwa kukatwa upambuliwe kufidia uharibifu. Watachukua cha thamani kiuzwe wagharimie mazingira. Kama mila inaweza kwa nini serikali isiweze? inaachia wanalima ndani ya forest protected areas, wanahamahama na mifugo kwenda watatako na kutia gharama wengine. watu kulala nje mashambani kulinda yasiliwe na mifugo!

Pumba tumbu-kiongozi na msomi unaporuhusu maelfu ya mifugo eti hameni Mbeya nendeni Mkuranga, Kilwa, Tunduru! Wakati maeneo yao watokako-wanalima, wanauza mazao na kununua mifugo zaidi. Mmeshaharibu Mbeya hamieni mkaharibu Mkuranga, Lindi na Tunduru! Mifugo hadi Bunju kibao mashambani-Kulikoni? Anayeruhusu masuala haya atumbuliwe! Vita ya wenyewe kwa wenyewe inakuja TZ itakayosababisha na lack of land use planning vijijini na kuzuia wakulima na wafugaji kuhama na kulima kokote watakako na hasa wafugaji kuvamia na kulishia mazao ya wengine mifugo yao. Wanatakiwa walime mahindi waweke gharani ili walishie mifugo yao wakati wa ukame sio wanalima Loliondo, Monduli, Mwanza  etc wanauza mpaka nchi jirani. USA wanalima mahindi ya njano kwa mifugo wanakuja kutulisha sisi huku na wakimbizi nchi za jirani na makambini nchini kwetu walipo. Mfugaji alime mahindi ya kulishia mifugo yake na apande nyasi za lishe zipo kibao au mifugo yake ipunguzwe kwa lazima iuzwe kama vile mkulima anayelima isivyotakiwa atakavyoadhibiwa ili kuondoa food insecurity. Ifike pia kuwaambia wananchi na kuwapa muda wa kuboresha nyumba zao-kwa amri! Nyumba ya miti inaweza kuwa bora sio ile isiyo madirisha, choo na ina matundu wazi kibao nyoka anaweza kuingia. House design za makabila mbalimbali zilizoboreshwa za kienyeji zilisha kufanyiwa kazi na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Makazi zipo Building Research Agency Mwenge.

Semi-arid area ng'ombe mmoja square acre tano akiwa katika mazingira ya kienyeji. leo mtu anao elfu 5+ hata 10 na analima hapo ktk maeneo ya kuchungia. Wakipewa maeneo ya nyongeza na GVt-wanaongeza mifugo na wengine toka mikoa mingine na nchi jirani kuhamia. Nchi inakua jangwa. Mtu ana mifugo elfu 5 lakini hana nyumba bnora, hasomeshi watoto ndio kwanza anaoza vichanga apate mifugo zaidi. tupo tunawaangalia. Anaowakaribisha kinyemela-wanamlipa ng'ombe-anaongeza mzigo wa degradation. Pamoja na mifugo mingi-hawawezi kuchangia kujenga huduma za maji yao na mifugo bali kuvamia vyanzo vya maji ktk misitu ya hifadhi maji na ya wanyama pori. Kisingizio ukame wakati tunausababisha. Hivyo basi-kamata mifugo iliyoingia mtoni na misitu ya hifadhi-uza, mpe zilizobaki baada ya kukata za uharibifu. Tulazimishe sustainable farming and livestock keeping ili kuepuka climate change effects na umasikini wa kujitakia.

Zama hizo Chalinze wakilima mtama na mihogo ambayo ikichukua miezi 6 -mtama na mihogo 6+ kwa assa kuna mtama dwarf na unajaa vizuri umejaza. Vile vile uwele na ulezi ambayo Dodoma, Singida wanapanda pia na wanavuna kichizi. Unakuta eti kwa sababu hapati pumba za kutengeneza pombe na pure za kande akitwanga mahindi ya hybrid hayati hizo yanasagika yote hivyo anapanda mahindi ya miezi 6 na hapati kitu hata kutokana na ukame. Ujenzi wa nyumba mpaka mabondeni walikokuwa wanalima zamani hivyo kwa assa wanalima milimani au maeneo ya miinuko na bila uhifadhi ardhi na hapati kitu. Kwa nini asilime mahindi ya muda mfupi? Walifundishwa Singida na TCRS kilimo endelevu cha agro forestry na mazao mchanganyiko na kupewa mashine za kukamulia alizeti kupata mafuta na kuuza. makapi walishie mifugo. daima tunaanza upya kila siku yale yale tunarudi tulikotoka. Hata mihogo ya muda mfupi ipo na michungwa, minazi. wao wanataka ya kienyeji kama mnazi wageme na Tembo walewe kutwa. wakipewa mimea kama Choya kulima kuongeza damu kama chakula, juice wao wanatumia Choya kupika gongo. Pamoja na mbinu za shirikishi ktk sekta ya misitu, wanyamapori, kilimo, maji na ulinzi wa miradi na mfumo wa maji kupitia water User Associations, Uboreshaji na usimamizi wa Mitaa/Vijiji kupitia decentralized systems-bado utata unaendelea. Hata ukusanyaji na uzoaji takataka upo decentralized-hela hufisadiwa. VICOBA, SACOSS-akaunt hufungwa-ufisadi wa viongozi! Mtanzania umfanye nini? Ukienda fisheries WWF na wengineo wamefitahidi misity na bahari community participation na kuwahusisha ktk ulinzi wa misitu, mikoko, mazalia ya samaki na misaada kibao na vikundi vya ushirika vya wavuvi, ulinzi wa mazingira na alternative income generation activities mpanga fish ponds za mikokoni kando ya bahari-wanatiliana sumu kuuliana samaki au hawaangalii fish ponds zao vizuri wanavua kiharam mpaka ndani ya Marine Park. Kisha-tunaonewa! Ndani ya National Park mifugo kibao! umetoka Monduli, manyara-Terrat na Mwanza umejaza mifugo ndani ya Mashamba na National Park Mikumi. Kule hata siku moja hulishii mifugo yako shambani. bibi wa watu akifuguka mifugo isile-unamchapa, unambaka kumkomesha!

Kama unalima mazao ya muda mrefu na bila kuzingatiwa kilimo cha hifadhi-ushughulikiwe. Extesion staff muhusika asipozingatia watu wake katika kata, wilaya wanazingatia kilimo na ufugaji endelevu-watumbuliwe. Kama Maofisa ugani wakilazimishwa kwa sasa kwa sekta zote kuona kuwa sera, mikakati, sheria za sekta zote zinazingatiwa-Tanzania itaepuka athari mbaya za Mabadiliko ya Tabia Nchi na Tutapeta kiuchumi, kijamii na kimazingira. Haiwezekani tuachie watu walime na kufuga watakavyo. Hivi sasa  mapigano yanayozuka nchini kwa kuruhusu watu kuzurura na mifugo eti ukame; kukata misitu eti wanaganga njaa;  pumba za kutoa leseni za kukata miti kuuza mbao na mkaa bila ya mtu kuwa na shamba lake la miti; kuwaacha watu wanalima kando ya mito na katika ktk vyanzo vya maji-waache wapiga kura wetu; kuvamia na kulima ndani ya misitu hifadhii; kupima viwanja vya nyumba ktk wetland; kuwapa maeneo ya kulima au kuchunga wao wanajenga nyumba, lodges na vilabu vya pombe ni kosa na Kansa ya kuleta umasikini na maradhi makubwa. Kansa zinaongezeka kwa maji kuingia madawa ya kilimo na ya mifugo iingiayo vyanzo vya maji. Njaa inaongezeka na kuleta madhara kutokana na food insecurity mtu analima mazao kila msitu ambayo yanachukua muda mrefu na kuna mvua chache. ana mbolea kinyesi kinaleta trachoma-hatumii kinyesi  kurutubisha shamba bali analima hivyo hivyo na akipewa mbolea anaitumia kulima bangi. Pesa apatazo kutoka bangi-hazionyeshi mabadiliko ya maisha kijijini bali ni pombe, kuoa, zinaa-ukimwi!

Tupoje sisi-kufanya mazoezi kupunguza mwili, kisukari na vitambi-Mpaka mh Kingagwala na Ummy waseme na Mzee Mwinyi atangulie mbele kuonyesha mfano! Kufagia na kuzoa taka-mpaka Rais Aseme na aongoze kufagia na kuzoa takataka ndio wajumbe, madiwani, mbunge naye atokezee kufagia. Haya assa ni kulima mazao yanayostahimili ukame -Smart agriculture and sustainable livestock keeping iwe kwa bakora. Easy Come Easy Go itakwisha lini kutegemea tupewe ,isaada na tuifisadi pia. Basi uza ng'ombe watatu upate debe moja la mahindi au iache ife nawe ufe. Ukiingia kuuza madawa ukikamatwa nchi za nje-Nyongwa unastahili! Hakuna hela za ubalozi toka TZ za kukusaidia!! Wale wanaovamia nyumba za viongozi vijijini na vituo vya polisi kutokana na kushitakiwa au kutajwa wamefanya makosa wakikamatwa-nyonga! Hakuna kuwalisha bure jela na akiwa jela afanyekazi za kuzalisha mali sio kula kulala.

Ni hivyo katika ufugaji-vituo vya mifugo kikanda. Unapeleka mfugo kupandikizwa mbegu bora au unawaita kuja kwako kukupigia sindano na kupandikiza mbegu ya aina ya mfugo utakayo. Majani ya lishe bora ya mifugo, ufugaji bora wa kuku wa kienyeji na wakisasa. Mbuzi wakubwa wa kisasa wa kutoa maziwa lita tano na jinsi ya kutengeneza chakula chao wanafundishwa na ukitaka Livestock management unit inakuja kwako kukufundisha uwe mfano kwa wengine-wewe hutaki. Kuwe na Land Use Planning na iwe marufuku kuhamahama kwenda ardhi si yako ama sivyo utatumbuliwa na kufirisiwa. Vita itazuka kama tutaachia uvamizi wa ardhi na matumizi mabaya ya ardhi yaendelee. Mipango matumizi ardhi izingatiwe. Hakuna kubadili matumizi ardhi yaliyopangwa bila kibali. Huwezi ukapewa eneo la kiwanda ukajenga lodges; eneo la kilimo ukaweka yard ya magari na vilabu vya pombe la kufuga na malisho ya mifugo unapewa former sisal estate land au national park inakuwa de-gazetted ukaweka tented camps za utalii. TUMBUA! BOMOA!!

Vyuo vya kilimo na ufugaji navyo vitumbuliwe pale ambapo vipo lakini wananchi vijiji na mitaa iliyozunguka chuo hiko wanalima na kufuga kizamani-kienyeji. unaona jirani na chuo cha kilimo wananchi wanalima bila ya makinga maji, hakuna nyasi za kuzuia mmomonyoko wala matuta na miti hakuna. Nyumba jirani na chuo zipo uchi kabisa hata miti ya kivuri hakuna lakini chuo kina miti mingi mizuri na tree nurseries. Aibu! Kuwaje hata jirani na chuo kinachotoa mainjinia wa mazingira mitaa na vijiji jirani na mito imejaa taka ngumu, maji ya kinyesi kinachotiririshwa mtoni? wapi tunafanyia practical training ya wanafunzi kama hata mita 100 kutoka chuo unaingia mtaani kwa wananchi uchafu umezagaa. Una ranch ya mifugo ya kisasa lakii Kata hiyo wafugaji wote wanafuga kizamani! Hivi tupoje sisi watanzania? Halafu-eti serikali ndio haijali wananchi! Lakini kulima bangi, kuuza na kuratibu usafirishaji wa madawa ya kulevya tunaongoza na tukikamatwa-tunalalamika pia! Tuna malengo gani hasa-kulalamika imekuwa culture. Culture ya visasi nayo inapunguza  ari ya utekelezaji sheria kwani muhusika anahofia usalama wake. Na ndio unakuta hata extesion staff wanakaa mijini badala ya Katani na vijijini kwa kuhofia kupigwa, kuchonwa, kubakwa na wavunja sheria ambao hasa wanastahili kutumbuliwa. Tutafika? Ndio maana mkoloni alitutandika bakora. Juhudi za baba wa taifa nyingi sana na waliofuata hadi leo tupo pale pale. Hata ile liberalization of the economy  local investors  wameitumia vibaya kimagahamu kushika uchumi  imekuwa ndoto-wanauza madawa na wakulima wadogo wanapanda bangi! What a mess! Tubadilike- kubali kurekebishwa na  tukajirekebisha

Kama Kawa
Nipo-nimerudi
0755308198

--------------------------------------------
On Sat, 18/2/17, Emmanuel Sulle esul...@gmail.com [Wanazuoni] <Wana...@yahoogroups.com> wrote:

 Subject: [Wanazuoni] Je ni kweli? Tanzanian Farmers Are Facing Heavy Prison Sentences If They Continue Their Traditional Seed Exchange
 To: "Wanazuoni" <Wana...@yahoogroups.com>
 Date: Saturday, 18 February, 2017, 21:48
 
 
  
 
 
 
   
 
 
     
       
       
       Wakubwa nimesoma hii habari ni
 kama sijaamini vile! Naombeni mnisaidie. Kama ni kweli basi
 akina yule Mkuu si hii ndiyo hoja ya msingi kutengua hii
 sheria ya kikoloni jamani? Someni wenyewe
 Je ni kweli? Tanzanian Farmers Are
 Facing Heavy Prison Sentences If They Continue Their
 Traditional Seed Exchange
 
 https://www.organicconsumers.org/news/tanzanian-farmers-are-facing-heavy-prison-sentences-if-they-continue-their-traditional-seed
 
 
 
     
     
 
     
     __._,_.___
 
           
   
 
 
     
     
 
     
         
         Posted by: Emmanuel Sulle <esul...@gmail.com>
       
     
     
 
     
                           Reply
 via web post
                       •
             
                Reply to sender            
           •
             
               Reply to group            
           •
             Start a New
 Topic
           •
                             Messages in this
 topic
                 (1)
                       
 
         
 
             
         
             
         
             
             
                 Have you tried the highest rated
 email app?
                 With 4.5 stars in iTunes, the Yahoo Mail app is the
 highest rated email app on the market. What are you waiting
 for? Now you can access all your inboxes (Gmail, Outlook,
 AOL and more) in one place. Never delete an email again with
 1000GB of free cloud storage.
             
         
               
     
     
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
     Visit Your Group
 
     
   
 
 
 
   
    • Privacy • Unsubscribe • Terms of Use
 
 
 
 
 
 
   
 
 
   
   
   
 
 
 
     
 
 
 
 
     
 
   .
 
 
   
 
 
 
 
 __,_._,___
 
 
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449 --
   #yiv3372610449ygrp-mkp {
 border:1px solid #d8d8d8;font-family:Arial;margin:10px
 0;padding:0 10px;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449ygrp-mkp hr {
 border:1px solid #d8d8d8;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449ygrp-mkp #yiv3372610449hd {
 color:#628c2a;font-size:85%;font-weight:700;line-height:122%;margin:10px
 0;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449ygrp-mkp #yiv3372610449ads {
 margin-bottom:10px;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449ygrp-mkp .yiv3372610449ad {
 padding:0 0;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449ygrp-mkp .yiv3372610449ad p {
 margin:0;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449ygrp-mkp .yiv3372610449ad a {
 color:#0000ff;text-decoration:none;}
 #yiv3372610449 #yiv3372610449ygrp-sponsor
 #yiv3372610449ygrp-lc {
 font-family:Arial;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449ygrp-sponsor
 #yiv3372610449ygrp-lc #yiv3372610449hd {
 margin:10px
 0px;font-weight:700;font-size:78%;line-height:122%;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449ygrp-sponsor
 #yiv3372610449ygrp-lc .yiv3372610449ad {
 margin-bottom:10px;padding:0 0;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449actions {
 font-family:Verdana;font-size:11px;padding:10px 0;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449activity {
 background-color:#e0ecee;float:left;font-family:Verdana;font-size:10px;padding:10px;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449activity span {
 font-weight:700;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449activity span:first-child {
 text-transform:uppercase;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449activity span a {
 color:#5085b6;text-decoration:none;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449activity span span {
 color:#ff7900;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449activity span
 .yiv3372610449underline {
 text-decoration:underline;}
 
 #yiv3372610449 .yiv3372610449attach {
 clear:both;display:table;font-family:Arial;font-size:12px;padding:10px
 0;width:400px;}
 
 #yiv3372610449 .yiv3372610449attach div a {
 text-decoration:none;}
 
 #yiv3372610449 .yiv3372610449attach img {
 border:none;padding-right:5px;}
 
 #yiv3372610449 .yiv3372610449attach label {
 display:block;margin-bottom:5px;}
 
 #yiv3372610449 .yiv3372610449attach label a {
 text-decoration:none;}
 
 #yiv3372610449 blockquote {
 margin:0 0 0 4px;}
 
 #yiv3372610449 .yiv3372610449bold {
 font-family:Arial;font-size:13px;font-weight:700;}
 
 #yiv3372610449 .yiv3372610449bold a {
 text-decoration:none;}
 
 #yiv3372610449 dd.yiv3372610449last p a {
 font-family:Verdana;font-weight:700;}
 
 #yiv3372610449 dd.yiv3372610449last p span {
 margin-right:10px;font-family:Verdana;font-weight:700;}
 
 #yiv3372610449 dd.yiv3372610449last p
 span.yiv3372610449yshortcuts {
 margin-right:0;}
 
 #yiv3372610449 div.yiv3372610449attach-table div div a {
 text-decoration:none;}
 
 #yiv3372610449 div.yiv3372610449attach-table {
 width:400px;}
 
 #yiv3372610449 div.yiv3372610449file-title a, #yiv3372610449
 div.yiv3372610449file-title a:active, #yiv3372610449
 div.yiv3372610449file-title a:hover, #yiv3372610449
 div.yiv3372610449file-title a:visited {
 text-decoration:none;}
 
 #yiv3372610449 div.yiv3372610449photo-title a,
 #yiv3372610449 div.yiv3372610449photo-title a:active,
 #yiv3372610449 div.yiv3372610449photo-title a:hover,
 #yiv3372610449 div.yiv3372610449photo-title a:visited {
 text-decoration:none;}
 
 #yiv3372610449 div#yiv3372610449ygrp-mlmsg
 #yiv3372610449ygrp-msg p a span.yiv3372610449yshortcuts {
 font-family:Verdana;font-size:10px;font-weight:normal;}
 
 #yiv3372610449 .yiv3372610449green {
 color:#628c2a;}
 
 #yiv3372610449 .yiv3372610449MsoNormal {
 margin:0 0 0 0;}
 
 #yiv3372610449 o {
 font-size:0;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449photos div {
 float:left;width:72px;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449photos div div {
 border:1px solid
 #666666;height:62px;overflow:hidden;width:62px;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449photos div label {
 color:#666666;font-size:10px;overflow:hidden;text-align:center;white-space:nowrap;width:64px;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449reco-category {
 font-size:77%;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449reco-desc {
 font-size:77%;}
 
 #yiv3372610449 .yiv3372610449replbq {
 margin:4px;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449ygrp-actbar div a:first-child {
 margin-right:2px;padding-right:5px;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449ygrp-mlmsg {
 font-size:13px;font-family:Arial, helvetica, clean,
 sans-serif;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449ygrp-mlmsg table {
 font-size:inherit;font:100%;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449ygrp-mlmsg select,
 #yiv3372610449 input, #yiv3372610449 textarea {
 font:99% Arial, Helvetica, clean, sans-serif;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449ygrp-mlmsg pre, #yiv3372610449
 code {
 font:115% monospace;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449ygrp-mlmsg * {
 line-height:1.22em;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449ygrp-mlmsg #yiv3372610449logo {
 padding-bottom:10px;}
 
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449ygrp-msg p a {
 font-family:Verdana;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449ygrp-msg
 p#yiv3372610449attach-count span {
 color:#1E66AE;font-weight:700;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449ygrp-reco
 #yiv3372610449reco-head {
 color:#ff7900;font-weight:700;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449ygrp-reco {
 margin-bottom:20px;padding:0px;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449ygrp-sponsor #yiv3372610449ov
 li a {
 font-size:130%;text-decoration:none;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449ygrp-sponsor #yiv3372610449ov
 li {
 font-size:77%;list-style-type:square;padding:6px 0;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449ygrp-sponsor #yiv3372610449ov
 ul {
 margin:0;padding:0 0 0 8px;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449ygrp-text {
 font-family:Georgia;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449ygrp-text p {
 margin:0 0 1em 0;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449ygrp-text tt {
 font-size:120%;}
 
 #yiv3372610449 #yiv3372610449ygrp-vital ul li:last-child {
 border-right:none !important;
 }
 #yiv3372610449
 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment