Tuesday, 8 November 2016

[wanabidii] Wapi kuna semina au kozi za Ujasiria mali?

Waheshimiwa wanabidii

Naomba kama kuna anayejua sehemu au chuo kunakotolewa semina au Kozi za Ujasiriamali anijuze. Nina kundi la akina mama nataka wasaidia. 

Natanguliza shukrani 

sylvanus 

0 comments:

Post a Comment