Mugyabuso.
Ninamshukuru sana Mungu kupata comment yako hii. Unajua kuna methali isemayo Muacha asili sio jasili. Ulimwengu umejaa mikakati ya kuua makabila na tamabuni. Utasikia misemo kuwa 'mila potofu'. Watu wanatoa hela ili kuua kila kitu. Wakitaka kuingilia kitu wanatangulia kupotosha au kuunganisha na "human rights" Wameanzisha ngono za ajabu na kuziunganisha na human rights. Huko mbele watrakuja kusema mwanamme kuon mwanamke ni mila potofu. Chochote alichokuw anafanya Kamara kwa kujua au bila kujua alikua anaelekea kuleta ufaribifu katika akili za watu. Natamani agundue.
--------------------------------------------
On Thu, 11/3/16, Mugaga Mugyabuso <mugyabuso@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Fwd: Mapacha n Laana, mikosi?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, November 3, 2016, 2:24 PM
Samahani, wewe ni
Kamala kweli ama unatumia jina tu?
Kitu ulichokiweka katika mada yako mwanzo kabisa
sijawahi kukisikia, unless unafanya makusanyo ya taarifa ili
hypothesis yako ambayo hatuijui uweze kuitengenezea maelezo
ya kuikataa ama kuikubali. Mbali na hapo uliyoyaweka mwanzo
kuhusu jinsi mapacha wanavyotendewa huko Buhaya ni ubatili
mtupu. Hawa watu kama Ishengoma, Kakuru, Nyakato, Nyangoma,
Kato, usingesikia majina yao kabisa, maana hao ni
mapacha.
2016-10-27 14:51
GMT+03:00 J L Kamala <jlkamala@gmail.com>:
Kakuru
Asante Kwa kuchangia. I think nitachukua
sehemu ya mchango wako huu kama input katika utafiti
Wangu.
Umeonyesha the real positive side of mapacha.
Kuna negative pia kama nilivyouliza hapo mwanzo. Can you
share with us?
On Oct 27, 2016 10:46
AM, "Ireneus Kakuru Mushongi" <ireneuskakurumushongi@gmail.
com> wrote:
Nitaomba niwe sehemu ya mada hii. Mimi ni
pacha na ndio maana naitwa Kakuru..niko na dada yangu
anaitwa Nyakato (Regional UWT Secretary in one of the lake
zone regions). Bahati mbaya tunafunga kizazi au ni vitinda
mimba kwa mama yetu ma Nyinabarongo. Ninasema Bahati mbaya
sababu tulikuwa na wadogo zetu wengine (mapacha pia) lakini
Mungu aliwapenda zaidi so hawakusurvive baada ya kuzaliwa.
Ninampeda dada yangu beyond imagination. Hata anapokuwa huku
kizazi au kifamilia, hawezi kulala kwa ndugu yeyote Zaidi ya
nyumbani kwangu. huko ataembea tu na kurudi, iko hivyo na
itakuwa hivyo kama tuko hai. Kila mmoja anaelewa na
ameridhika na Hakuna anayepinga.
Katika vitu ambavyo ninamuomba mwenyezi Mungu
usiku na mchana ni kunipatia watoto mapacha na niko
confident kwamba nitawapata. Dada zangu mama zangu Shangazi
zangu wote wana mapacha.
Taking my personal experience, mapacha ni Baraka,
nimezingatia namna ambavyo tumekuwa treated tangu tunazaliwa
mapaka leo. Kila mmoja wetu anatupenda na tumejikuta
tumekuwa kama kiunganisha cha familia yetu. Utamaduni na
mila zipo kuhusiana na mapacha jinsi ya kuwahandle.
Nakumbuka nilikuwa siwezi kufanyiwa kitu peke yngu au dada
peke yake. Nilipotoroka kwenda shule (Baada ya kukataliwa
kuwa bado umri wangu ulikuwa hauruhusu) test Fulani ya
kusoma insha I think I was by then, nikapitishwa kuanza
darasa la kwanza, automatically hata dada akaanzishwa kwa
vile tulikuwa hatuwezi kufanya chochote tofauti. So
tukajikuta tuko wanne ndani ya darasa moja from same family
wawili wakiwa kaka zetu.
Mapacha ni wazuri, wanapendwa, na wanapendana
sana; na kila mmoja angependa azae mapacha. Ninaweza kwenda
Zaidi kusema kuwa hata kina mama when they know you are one,
wanajisikia kuwa na wewe kwa expectation kuwa wanaweza
kupata mapacha, kwanini? Sababu mapacha ni Baraka, na kwa
usawa huu ambapo watu wanahitaji kuzaa fasta na kuanza
kulea, watu wengi wamekuwa wakiprefer mapacha sababu unapata
zaidi ya mtoto mmoja kwa mara moja!
Baada ya mada hii, nafikiria kupropose tuanzishe
Umoja wetu sisi wote tuliozaliwa mapacha!
Naomba nishirikishwe kwenye utafiti huu
pia.
Kakuru
Omukunirwa Ireneus
2016-10-27 6:37
GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Naisubir kwa hamu naandaa miwani ya
kuisomea
------------------------------ --------------
On Wed, 10/26/16, J L Kamala <jlkamala@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Fwd: Mapacha n Laana, mikosi?
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, October 26, 2016, 10:20 PM
Muhingo
Nimefanya utafiti. Nitakushirikisha pa kupata
report yangu
On Oct 26, 2016 9:56 PM,
"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Pamoja na
hayo yote lakini ni muhimu pia kuweka wazi kuwa mila za
Buhaya hakuna inayoona mapacha kama laana au balaa. Na
kwa
kweli nimetembesa karibu nchi zote za Africa Mashariki
sikumbuki kusikia hilo. Mapacha mara nyingi wametumika
kuondoa migogoro katika familia kama ilikuwepo..
Mnajua wadau kuna notion ya kudhaalilisha mila zetu.
Tunaapokea mila za hovyo kutoka nje na haziguswi kwa
visingizio mbalimbali. Inapofika zetu tunazidhalilisha.
Ni
muhimu jambo hili kuwa wazi katika mjadala huu-HAKUNA
MILA
YA BUHAYA INAYOWAONA MAPACHA KAMA BALAA WALA MIKOSI.
Anayejua tofauti afafanue tujue.
Muhingo
----------------------------- - --------------
On Wed, 10/26/16, 'Sylvanus Kessy' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Fwd: Mapacha n Laana, mikosi?
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, October 26, 2016, 4:00 PM
Nipo mkoa wa Mtwara. Nimeshuhudia wanawake
wakikimbiwa na waume sababu ya kuzaa
mapacha.
Darasa zito linatakiwa katika jamii kuondokana na
mwono huu. Naunga mkono Bwana Dominick kuwa Mapacha ni
baraka ya pekee kwa familia. Mbona si hivyo kwa wote.
Mapacha ni neema. Na wakilelewa vizuri wanaleta
mapinduri
makubwa katika familia. Nimeshughudia
hayo.
From: 'Dominick
Rukokelwa' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
To:
"wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
;
"wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday,
October 26, 2016 1:00 AM
Subject: Re:
[wanabidii] Fwd: Mapacha n Laana, mikosi?
Hakika
watoto mapacha hawana ubaya wowote na hawana uhusiano
wowote
na mabalaa au majanga. MUNGU anapokupa watoto mapacha
anajua
ndani yako kuna uwezo mkubwa wa kuwatunza. Ukiona
unataabika
kuwatunza ujue kuna mahali umezembea ila ndani yako upo
uwezo usiotumika(dormant power). Mapacha ni baraka
ndani
ya
baraka. Ukiona baraka unapata baraka. Ukiona laana na
mikosi
unapata laana na mikosi. Hata mtoto mmoja ukitaka awe
mkosi
anakuwa. Kwa maana MUNGU aliviumba vitu vyote ili
vipate
kuwako na nguvu za uzazi zilizomo ulimwenguni ni za
kuleta
siha wala hakuna ndani yake sumu yoyote ya uharibifu.
Senaili
from Yahoo Mail on Android
On
Tue, Oct 25, 2016 at 12:58, 'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii<wanabidii@
googlegroups.com>
wrote: Kamala wacha kabisa
kujidanganya na kudanganya watu.
Mimi
nilizaliwa saa nane usiku wa kuamkia 5 September 1952.
Nimezaliwa Bukoba na kukulia Bukoba mpaka shule
zilipoanza
kunitoa. katika familia yetu kumezaliwa mapacha.. Haya
unayoyasema kiasi cha kuomba msaada wa kuzuia mapacha
kunyanyapaliwa ni jambo jipya kulisikia. Ni Buhaya gani
hiyo
ambayo unaileta hapa? Una umri gani ambao huenda hayo
yalikuwepo kabla yangu. Nimezaliwa kiziba na kutembea
maeneo
mengi ya Buhaya. Nina maana na Karagwe ambayo siku hizo
ilikuwa sehemu ya wilaya ya Bukoba.
Unahitaji kufanya kazi kudhibitisha maneno yako
au omba mssamaha haraka
---------------------------- -- --------------
On Tue, 10/25/16, J L Kamala <jlkamala@gmail.com>
wrote:
Subject:
[wanabidii] Fwd: Mapacha n Laana, mikosi?
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, October 25, 2016, 5:41 AM
---------- Forwarded
message ----------
From:
"J L Kamala" <jlkamala@gmail.com>
Date: Oct 25, 2016 05:38
Subject: Mapacha n
Laana, mikosi?
To: "Wanazuoni"
<Wanazuoni@yahoogroups.com>
Cc:
Wakuu
nimekuwa nikizitafakali jamii Za mkoa wa
kagera na haswa wahaya. Jamii hii inachukulia
kuzaliwa
kwa
mapacha ktk familia Kama laana fulani
au mikosi tena mibaya
inayoweza kuleta
balaa isipotambikiwa vyema.
Moja wapo ya
mabalaa ni Yale majanga ya asili
kama vile
ukame, vimbunga, kukosa mvua na hata tetemeko la
ardhi
Wazee wa mkoa huu
wanasisitiza kuwepo Kwa
umakini wa hali ya
juu ili mapacha wasilete Tabu kama vile
kuugua ugonjwa WA ngozi ujulikanao kama viligo yaan mtu
anakuwa kama albino fulani
Hii kwa vyovyte inapelekea kunyanyapaliwa kwa
mapacha. Je kuna maoni yapi au uhakika Juu
ya hili? Nini
kifanyike kusaidia watu
hawa ambao yawezekana wanauwawa au
kubaguliwa kimyakimya?
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata
Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
---
You received this
message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata
Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence
statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer
and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send
an
email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/

Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googleg
roups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegr
oups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/op
tout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegr
oups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the

googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
==========
Mugyabuso, M.L.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment