Niliwahi kuongea humu kuchangia kuwa-kitakacholeta vita ya kuuana wenyewe kwa wenyewe TZ sio SIASA bali ni ugomvi wa wakulima na wafugaji. Ikiwezekana-kila mtu ake kwake aliko na customary au statutory land yake. Pia, katiba ibadilishwe. Kwa sasa inasema unauhuru wa kwenda kokote kule bila ya kuvunja sheria-sheria inavunjwa. Sera ya kilimo na ufugaji ibadilike ilazimishe kufuga kiendelevu na kulima kiendelevu. Ukipanda mazao yasiyohimili ukame-uchukuliwe hatua. Kama kuna uhaba wa mvua huwezi kupanda mtama wa miezi 3 na mahindi na mpunga wa miezi 6. Panda ile iliyofanyiwa tafiti ya mwezi1.5 na hadi miezi 3 ili kuwe na food security. Ukilima milimani na mabondeni bila kuweka makinga maji na udongo ushughulikiwe. Pia mifugo. Kama one livestock unit inahitaji ekari tano wewe una ekari 8 una wake 4 watoto 60 maboma 5 na ng'ombe 1000, mbuzi 500, punda 5, kondoo 400 huwezi kuishi salama na jirani zako ambao ni wakulima. Kama wote ni wafugaji na 10% ya kaya ni matajiri wanaojulikana kwa kuwa na mifugo (Livestock unit) 500-10,000 degradation kijiji chote cha radius kilometa 30 kutoka kati ya kijiji ardhi haitotosha. Kuna hao 10% matajiri lakini kaya nyingine pia zinazo mifugo kuanzia middle income na poor. Pooa ana ng'ombe 5, mbuzi 10, punda 1 na kuku 30. mahitaji mabo makubwa na kuchangia mabwawa ya maji ni tatizo pamoja na kuwa na utajiri wa mifugo. Hawaombi msaada wa TASAF. Bado kuna madini ya Tanzanite na dhahabu na madini mengine wanachimba, wanauza na kuongeza mifugo na biashara nyingine. Kilimo maeneo ya wafugaji-wanalima kwa trekta ardhi inapungua. Wanalima ili wasiuze mifugo kununua chakula. Ardhi inapungua zaidi. Wakoloni waliruhusu wafugaji wakae Game conservation area kwa vile hawakuwa wanalima. Kwa sasa wamebadilika. Wanalima na wanajenga tourist lodges au lodging, restaurants na nyumba za kupangisha. Kutokana na majangili kujifanya kuambatana na wafugaji maeneo mengine na mazingira ya hifadhi kuharibika kutokana na mifugo kuzidi uwezo wa ardhi wanyamapori kukosa majani-wameondolewa kuingia na kuishi mbuga za hifadhi. Uhuru wa kuhamahama kutoka Monduli, Manyara to Ihefu, toka Ihefu to Songea, Tunduru na kurudi Kilosa, Ngerengere, Kisarawe, Rufiji, Kilwa na Lindi-kunatokea utata. Kuhamisha mifugo usiku bila ya kutumia magari na kulishia mashamba. Kubaki katika maeneo ambayo hawakuruhusiwa ambayo ni mabonde ya kilimo; kutokuishi vijiji walivyopangiwa kuishi wafugaji. Kulishia mashamba na kunyweshea ktk mabwawa ya binadamu maeneo ambayo huduma ya mifugo hakuna.
Licha ya haya-walikofanya Participatory Land Use Planning and Management (PLUM) bado migogoro haiishi, kulishia mashamba na mapigano yapo. Evaluation ya Land Law iliyofanikisha mpaka kuundwa kwa Baraza za sheria kata, kamati za ardhi na za utatuzi migogoro, kufundisha paralegals bado mapigano kibao-rushwa na uonevu umetawala.
Kule ambako serikali imetoa ardhi kwa ajiri ya wafugaji (Kilosa District vijiji 8)-ardhi ni kipara kabisa, traditional water sources kunywa na mifugo. Lakini wakichangizana wanaweza kuweka hand pump well na cattle troughs. Serikali ilikotoa ardhi kuwapa wakulima kupunguza ile ya mashamba ya mamlaka-utakuta wameuza kuna lodges, bar za vileo etc sio tena kilimo kama walivyoomba. Hivyo basi Mwigulu Nchemba ahakikishe Land Use Planning and Management na kuwapa wananchi/kaya Hati za kimila za umiliki Bwana ardhi na maendeleo wahakikishe wahusika hawauzi maeneo yao. Wengi wanauza na kuhamia barabarani, mijini wanakuwa daima hawana ardhi. Pia wafugaji wanapopewa ardhi-wanakaribisha wenzao kutoka ndani na nje ya TZ mifugo inaongezeka. Iwe SHERIA KUFUGA na KULIMA KISASA. Hatutaendelea na magomvi hayatoisha kama tutaruhusu watu kuhamahama wapendavyo kulima watakako na kufuga na kuhamahama na maefu ya mifugo wapendavyo. Tutauana tu! Fikiria kila mara ukilima mifugo inakula chakula chote na unatandikwa bakora ukiifukuza isile. Hata hapa DSM tuna matatizo sio tu ya mifugo ya majirani nje ya miji mpaka NGEDERE za Wizara ya Wanyama pori. Zimejaa UDSM, Magongo, Goba, Salasaal, Bunju ni balaa huli mahindi wala embe. Mifugo inayotembea hovyo DSM ni haribifu bustani na mashamba ya watu.
Kama unakuta Livestock management unit (LMU) au NARCO/NAFCO (whatever the name of livestock farms) ipo zonal lakini wafugaji wanaendelea kivyake-kufuga kienyeji na mifugo kutia watu umasikini lakini serikali ipo, vyuo vya mifugo, extension staff, viongozi husika na inazagaa nchi nzima. Mahala ambako traditionaly hakuna mifugo mingi labda mbuzi wachache wa kienyeji na sasa kuna dairy goats kwa kuboresha lishe na kipato na mtu anao mbuzi 2 na ng'ombe wa kisasa ke mmoja-Mvomero, Kilosa, Rufiji, Kilwa Lindi, Mbarali, Mlingotini, Zinga, Mkuranga, Rukwa-watu wanateseka kwa maelfu ya mifugo kumaliza mazao-lazima watachukua sheria mkononi.
Suala si ukabila hapa. Imagine kutoka Kiteto, Manyara hadi Rufiji???? Monduli hadi Diguzi na Kwaba Ngerengere???? Pale Ngerengere LMU wanaingia kula hizo nyazi, wakiwapata wanawafungia ktk jela mpaka wenyewe waende kuwakomboa. Hawana muda wa kuiga ufugaji wa kisasa wa hapo LMU. Wakivamia hata ranch za Kongwa kulishia mifugo yao ila si kupenda kufuga kisasa na uwezo wa kupata mbegu au hao wakisasa wanao kwa kuuza wachache walio nao wa kienyeji kwa maendeleo yao wenyewe. Tusitetee research na maandiko ya Wazungu kuwa wafugaji wanaonewa na ufugaji wa kizamani kuonekama environmentally destructive. Hao wazungu kule kwao kutupa chupa tupu hapo ktk public garden ni kifu ukionekana; pia kuingia na mobile homes hao Gipsees huwa wanayachoma hayo magari yao ya kuhamahama wanawatimua. Picha za magazeti za matukio hayo ziopo for evidence. Vipi leo mfugo uingie hapo kwa Malkia Uingereza ijazane ile na ilale hapo! Walinganishea kwao na sheria zao za ulinzi wa mazingira, no tresspassing kwenye land property not yours, Human free protected areas (Yellow Stone Model) ila kwetru sisis ndio iwe-RUKSA kata miti, choma misitu ufuge au ulime utakavyo? Pumba zao wapeleke mbele na sasa ni wao wajao na Climate Change Policies adaptation and mitigation measures imekuwa kuondoka band wagon hii kuhamia hii na ile under the banner of democracy and human right ila kwetu ndio wakosa wao ndio wanayo sana.
Kuwafunga waliochinja au kukata mapanga mifugo itakuwa kosa kwa vile mashamba yao huliwa daima na hawana msaada wamechoka. Hao wakifungwa-waondoke na DC wao, hakimu wa mahakama wilaya, police wilaya, bwana mifugo wilaya kwa kuyaacha matatizo hayo yaendelee karne bila solution wakijali tumboni street. Mwigulu fanikisha PLUP and Management na mfugaji kukaa na idadi ya mifugo based on land's carrying capacity. Bila ya hivyo-VITA ya wenyewe kwa wenyewe TZ yaja na itatokana na masuala ya ardhi-wakulima na wafugaji. Utoke Kiteto uje unipigie mapanga baya yangu Kilwa? Uharibu mashamba umchape bakora mama yangu shambani Lindi vijijini?????
--------------------------------------------
On Wed, 10/2/16, Chambi Chachage chambi78@yahoo.com [Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com> wrote:
Subject: [Wanazuoni] Mwigulu atatatua Migogoro ya Wakulima na Wafugaji?
To: "Wanazuoni" <wanazuoni@yahoogroups.com>
Date: Wednesday, 10 February, 2016, 9:41
Subject: [UDADISI]
Kutatua Migogoro ya Wakulima na Wafugaji
MAPENDEKEZO YA KUTATUA MIGOGORO
BAINA YA WAKULIMA NA WAFUGAJI
Mipango ya matumizi bora ya
ardhi izingatie mahitaji ya wazalishaji wote. Mathalani
huwezi kutenga eneo au kijiji cha wafugaji halafu ukakitenga
na maeneo yaliko maji kwa ajili ya mifugo. Katika hali kama
hiyo mifugo itafuata maji tu na hapo ugomvi
utatokea.
Wapo waliopendekeza haja ya
kukuza ufugaji wa kisasa wenye kuzingatia kuwa na idadi
ndogo ya mifugo lakini yenye ubora mkubwa; na haja ya
kuwekeza katika miradi ya uboreshaji wa malisho ili
kuhakikisha kuwa wakati wote kuna malisho ya kutosha kwa
ajili ya mifugo.
Kuhusu ranchi na mashamba
yote yaliyobinafsishwa katika wilaya ya Kilosa lakini wale
waliopewa hawajayaendeleza kwa muda mrefu, ulitolewa wito
kwa serikali kuzitwaa ranchi na mashamba hayo na kuyagawa
kwa vijiji ambavyo tayari vimeonyesha kuwa vina mahitaji,
uwezo na utayari wa kuyaendeleza. Hii pia itasaidia kutatua
baadhi ya migogoro inayotokana na uhaba wa ardhi kutokana na
kuhodhiwa na wachache.
Aidha, ilipendekezwa na kusisitizwa
kuwa mazungumzo huru na ya wazi ni jambo muhimu sana. Na
ndio baadhi ya misingi ambayo kwayo nchi yetu ilijengwa na
waasisi wa Taifa letu. kutokana na umuhimu wa mazungumzo
kama njia ya kutatua migogoro baina ya wakulima na wafugaji
wao kwa wao ilipendekezwa kuanzishwe kamati ya wilaya ya
Usuluhishi na Maridhiano baina ya wakulima na wafugaji.
Kamati hiyo itokane na iwe na uwakilishi toka pande zote za
wazalishaji wadogo wadogo, yaani wakulima na
wafugaji.
Suala la kubaguana kikabila si
jambo jema na lazima kwa pamoja lipingwe na kulaaniwa kwa
nguvu zote. Aidha ikasisitizwa kuwa ni wajibu wa kila
mshiriki katika mkusanyiko ule, na kila Mtanzania kupinga na
kulaani hadharani pale anaposikia mtu au kiongozi yeyote
analeta hoja za kuwabagua na kuwatenga watu kwa makabila au
dini zao.
CHANZO:
http://www.checheafrika.org/hatma-ya-migogoro-baina-ya-wafugaji-na-wakulima-imo-mikononi-mwao/
__._,_.___
Posted by: Chambi Chachage
<chambi78@yahoo.com>
Reply
via web post
•
Reply to sender
•
Reply to group
•
Start a New
Topic
•
Messages in this
topic
(1)
Visit Your Group
• Privacy • Unsubscribe • Terms of Use
.
__,_._,___
#yiv0380775987 #yiv0380775987 --
#yiv0380775987ygrp-mkp {
border:1px solid #d8d8d8;font-family:Arial;margin:10px
0;padding:0 10px;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987ygrp-mkp hr {
border:1px solid #d8d8d8;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987ygrp-mkp #yiv0380775987hd {
color:#628c2a;font-size:85%;font-weight:700;line-height:122%;margin:10px
0;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987ygrp-mkp #yiv0380775987ads {
margin-bottom:10px;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987ygrp-mkp .yiv0380775987ad {
padding:0 0;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987ygrp-mkp .yiv0380775987ad p {
margin:0;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987ygrp-mkp .yiv0380775987ad a {
color:#0000ff;text-decoration:none;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987ygrp-sponsor
#yiv0380775987ygrp-lc {
font-family:Arial;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987ygrp-sponsor
#yiv0380775987ygrp-lc #yiv0380775987hd {
margin:10px
0px;font-weight:700;font-size:78%;line-height:122%;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987ygrp-sponsor
#yiv0380775987ygrp-lc .yiv0380775987ad {
margin-bottom:10px;padding:0 0;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987actions {
font-family:Verdana;font-size:11px;padding:10px 0;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987activity {
background-color:#e0ecee;float:left;font-family:Verdana;font-size:10px;padding:10px;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987activity span {
font-weight:700;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987activity span:first-child {
text-transform:uppercase;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987activity span a {
color:#5085b6;text-decoration:none;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987activity span span {
color:#ff7900;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987activity span
.yiv0380775987underline {
text-decoration:underline;}
#yiv0380775987 .yiv0380775987attach {
clear:both;display:table;font-family:Arial;font-size:12px;padding:10px
0;width:400px;}
#yiv0380775987 .yiv0380775987attach div a {
text-decoration:none;}
#yiv0380775987 .yiv0380775987attach img {
border:none;padding-right:5px;}
#yiv0380775987 .yiv0380775987attach label {
display:block;margin-bottom:5px;}
#yiv0380775987 .yiv0380775987attach label a {
text-decoration:none;}
#yiv0380775987 blockquote {
margin:0 0 0 4px;}
#yiv0380775987 .yiv0380775987bold {
font-family:Arial;font-size:13px;font-weight:700;}
#yiv0380775987 .yiv0380775987bold a {
text-decoration:none;}
#yiv0380775987 dd.yiv0380775987last p a {
font-family:Verdana;font-weight:700;}
#yiv0380775987 dd.yiv0380775987last p span {
margin-right:10px;font-family:Verdana;font-weight:700;}
#yiv0380775987 dd.yiv0380775987last p
span.yiv0380775987yshortcuts {
margin-right:0;}
#yiv0380775987 div.yiv0380775987attach-table div div a {
text-decoration:none;}
#yiv0380775987 div.yiv0380775987attach-table {
width:400px;}
#yiv0380775987 div.yiv0380775987file-title a, #yiv0380775987
div.yiv0380775987file-title a:active, #yiv0380775987
div.yiv0380775987file-title a:hover, #yiv0380775987
div.yiv0380775987file-title a:visited {
text-decoration:none;}
#yiv0380775987 div.yiv0380775987photo-title a,
#yiv0380775987 div.yiv0380775987photo-title a:active,
#yiv0380775987 div.yiv0380775987photo-title a:hover,
#yiv0380775987 div.yiv0380775987photo-title a:visited {
text-decoration:none;}
#yiv0380775987 div#yiv0380775987ygrp-mlmsg
#yiv0380775987ygrp-msg p a span.yiv0380775987yshortcuts {
font-family:Verdana;font-size:10px;font-weight:normal;}
#yiv0380775987 .yiv0380775987green {
color:#628c2a;}
#yiv0380775987 .yiv0380775987MsoNormal {
margin:0 0 0 0;}
#yiv0380775987 o {
font-size:0;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987photos div {
float:left;width:72px;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987photos div div {
border:1px solid
#666666;height:62px;overflow:hidden;width:62px;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987photos div label {
color:#666666;font-size:10px;overflow:hidden;text-align:center;white-space:nowrap;width:64px;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987reco-category {
font-size:77%;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987reco-desc {
font-size:77%;}
#yiv0380775987 .yiv0380775987replbq {
margin:4px;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987ygrp-actbar div a:first-child {
margin-right:2px;padding-right:5px;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987ygrp-mlmsg {
font-size:13px;font-family:Arial, helvetica, clean,
sans-serif;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987ygrp-mlmsg table {
font-size:inherit;font:100%;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987ygrp-mlmsg select,
#yiv0380775987 input, #yiv0380775987 textarea {
font:99% Arial, Helvetica, clean, sans-serif;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987ygrp-mlmsg pre, #yiv0380775987
code {
font:115% monospace;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987ygrp-mlmsg * {
line-height:1.22em;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987ygrp-mlmsg #yiv0380775987logo {
padding-bottom:10px;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987ygrp-msg p a {
font-family:Verdana;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987ygrp-msg
p#yiv0380775987attach-count span {
color:#1E66AE;font-weight:700;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987ygrp-reco
#yiv0380775987reco-head {
color:#ff7900;font-weight:700;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987ygrp-reco {
margin-bottom:20px;padding:0px;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987ygrp-sponsor #yiv0380775987ov
li a {
font-size:130%;text-decoration:none;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987ygrp-sponsor #yiv0380775987ov
li {
font-size:77%;list-style-type:square;padding:6px 0;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987ygrp-sponsor #yiv0380775987ov
ul {
margin:0;padding:0 0 0 8px;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987ygrp-text {
font-family:Georgia;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987ygrp-text p {
margin:0 0 1em 0;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987ygrp-text tt {
font-size:120%;}
#yiv0380775987 #yiv0380775987ygrp-vital ul li:last-child {
border-right:none !important;
}
#yiv0380775987
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment