Tuesday, 16 February 2016

[wanabidii] Re: [Wanazuoni] Hatimaye Jipu Uchungu la Sinclair limetumbuliwa?

Tujiangalie na haya majipu. Watu wengine wanaweza kuchukua hatua za kuvamia na kupora mali wenye haki na leseni halali. Kama hujawahi kufika machimboni Geita au Handeni, Mererani wanakochimba madini na maeneo ya vijijini walikogundua madini lakini serikali haijaweka mkono kila mtu anachimba kwenye customary land yake na kukodisha wachimbaji-utaona kila lalamiko la watanzania wachimbaji wadogowadogo ni halali.

Wachimbaji wetu wadogowadogo hawajitambui. Wanavamiana wenyewe kwa wenyewe kuingiliana ktk migodi yao chini kwa chini anachimba kutokezea kwa mwezie kuchimba kwa wizi; uharibifu na uchafuzi wa mazingira milima inachimbwa hovyo na mashimo kuwafukia. Pia, kuchimba chini kwa chini kutokezea kwa wawekeji na kuingia kiwizi kuiba mchanga uliochimbwa kwa mashine wakapekeche wapate dhahabu. Wanachimba milima na kusamambisha degradation. Wanapewa mafunzo ya kujiunga vikundi ili kuweza kuchukua mikopo kupata vifaa vya kisasa lakini vikundi vingi vya wajasiliamali havidumu. Kisha kunakuwa na ubabaifu wa kuweka majina fake inapotakiwa wahamishwe mwekezaji awalipe fidia na mafao ya jamii na mafao yao kila mwezi.

Ukiangalia waliofanikiwa kwa madini wachimbayo kufanya ya maana kimaisha ni 6 kati ya mia. Huko ni ulevi, vibanda vya zinaa, kucheza kamali, madawa ya kulevya/bangi na kuoana bila hatabya kupima ukimwi. Imani za kishirikina zimetawala na ujambazi wa kuibiana na kuuana.

Mfano Ramani ya Mererani by zones ipo wazi na nani anachimba wapi pamoja na wachimbaji wadogo. Lakini daima ni malalamiko na uvamizi maeneo ya wawekezaji. Ni hivyo Handeni Magambasi. Pamoja na mpango wa makubaliano na ugawaji maeneo na benefits zilizotolewa kwa jamii, ulinzi wa mazingira afanyao mwekezaji na malipo yaliyotolewa kwa wenye ardhi, machino ili wamwachie mwekezaji achimbe huko na vifaa vya kisasa-walipokea malipo, wakaweka majina feki kwa kuyabandika baada ya kikao halali wakaweka majina sio yale ya wachimbaji wenzao wa umoja wao bali ya familia na watu wao wengine. Ikawa zari kwa mwekezali aliyekwisha kulipa mamilioni kuona watu wanavamia eneo hawahami eti hawajalipwa na uonevu ulifanywa wao kwa wao wenyewe. Ukifika Geita na Biharamulo ndio utajua kuwa-Nyani ni nyani tu hata kama utamvalisha suti. Uharibifu wa mazingira tuufanyao wananchi wajasiriamali na kemikali tunazochezea na kuingiza ktk mito na ziwa victoria na tunakunywa au kuzila hizo kemikali kupitia maji, samaki, mazao tunayomwagilia maji. Kuharibu misitu na ardhi.

Dhana ya Hapa Kazi tu-itatumika vibaya daima na mtanzania anayesubiri neno atumie kukidhi haja yake. Na atakapovamia shamba, mining site, wildlife tented camp, ranch land atakuja kuiuza au kuiharibu na kuhaba sio aitumie kiendelevu. Viongozi walionyimwa rushwa/hela na mwekezaji au kunyimwa kuwa mbia aweke watoto wake wafaidike-wataonewa sana na viongozi wenye matatizo nao kwa kutumia -Hapa Kazi tu. Febr 15 ITV imeonyesha kuvamiwa kwa shamba la Mwekezaji ktk Ranch ya Livestock Kagoma -Block 16 Kyaka-Kagera. Wanafuata nyazi na malisho yakiyotunzwa na mwekezaji ambae yupo legally huko. Wamempiga mlinzi na kunyang'anya bunduki, wamechoma mali na kumpiga mapaka mmoja wa walinzi wakijua wamemuua, walimbeba kumtupa mbali na kumfunika nyasi. Lakini Mungu alimsaidia hakufa na alitoa ushuhuda. Mwekezaji wa ndani au awe wa nje ya nchi mkulima wa estate farms awe wa ndani au nje analima kisasa maekari ataonekana muonevu. Ila sisi wenyeji ambao tunaharibu ardhi zetu tuwe na haki ya kuwavamia hao!???

Jipu tunaweza kuliona limetumbuliwa vema lakini tusipoangalia tutafika kwenye aibu na utata kuja kujua kumbe watumbuaji wana jambo nyuma yao-chuki binafsi, kutaka kuficha uovyu wao kama wahusika, wakubwa wa taasisi husika wanahusika ila wanaotumbuliwa sio wao, hela zilikwenda kugharimia uchaguzi au shughuli za chama badala ya kutumika ktk bajeti iliyopitishwa bungeni. Watatapoamka nao kusema ukweli na kutoa vidhibiti-watatumbuliwa wengi na nchi itaingia ktk mshituko mkubwa. Good Govervance, good manpower management, corporate responsibility, effective institutional management haiendi kwa kuvamiana tu. Sasa vamia vamia imekuwa kama ndio principle of effective management na wananchi kuvamia mashamba na machimbo, uwekezaji halali imekuwa ndio mfano wa kudai demokrasia ktk miliki natural resources. Lakini ukifanya tracer studies kwa hao wananchi utakuta asili yake wapi, alikuwa na ardhi kubwa kiasi gani akauza akahamia pale akauza akahamia na kuvamia la mheshimiwa Sumaye leo, juzi Wazo hill, majuzi alivamiala Mh Yona. Miaka ya nyuma alikuwa Sisi kwa Sisi Hale-Pangani walipewa maelfu ya ekari ya shamba la katani ili walime-wameuza na walionunua kujenga majumba ya lodges, bar na nyumba zao wao wakahamia Saadani national park wakafukuzwa wakaenda Bunju wakanunua ardhi ikapita barabara ya Kikwete wakauza wanavamia la Yoha. Machimboni, na maeneo mengine ni hivyo. Tutajiwekea mazingira ya kukosa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi. Tujiangalie.

Kama Kawa.


--------------------------------------------
On Tue, 16/2/16, Dastan Kweka kwekad@gmail.com [Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com> wrote:

Subject: Re: [Wanazuoni] Hatimaye Jipu Uchungu la Sinclair limetumbuliwa?
To: "Wanazuoni@yahoogroups com" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
Date: Tuesday, 16 February, 2016, 11:10


 









​Kuna hii press release ya jana
kutoka wizarani ikifafanua hilo sakata ​https://mem.go.tz/wp-content/uploads/2016/02/15.02.2016PRESS-RELEASE0001.pdf
Dastan Kweka


On
Tue, Feb 16, 2016 at 10:45 AM, Chambi Chachage chambi78@yahoo.com
[Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:















 









My Dear
Extended Family,     
  With the
arrival of Tanzania's new administration, the
ministerial staff were sent to mining companies, especially
those owned by non-Tanzanian companies. They made demands
that were not bound by law or contract, threatening us all.
The Deputy Minister of Mining gave a speech to the local
village and illegal miners saying that he had given us 14
days to hand over land to them to be mined, which we had
already done when we offered them their choice of 3 parcels,
one of which they were already on. On the 15th day, two
hundred people came over the fence demanding more property.
If we took no action and let 200 remain, there would be, as
happened at Bulyanhulu, 20,000 more
coming. With the
new government treating us all rudely via the Deputy
Minister inciting riots by his pubic pronouncement, I had no
viable option but to instantly declare Force Majeure against
the government. In Sub Sahara Africa if you are hit you have
no choice but to get up and hit back. If you don't you
are finished. You must fight instantly or you will be picked
on until you give up whatever you have. I am not sure it is
too different here, just more
refined. The rule
in Africa is you have to put the illegal miners off your
property the first day they arrive. If you don't, 1
turns into 5, 5 turns into 20, and then that 20 becomes
20,000 and you are cooked. When the invasion grew to 200, I
had to take an instant, loud, public and serious action. The
interlopers were escorted out. We do
not owe Stamico one cent as that was triggered by actions on
their government's part that can only be understood in
terms of the movie "Lord of the
Flies." We are
still not able to exercise our full mining license on the
Kigosi property due to the whim of a single Minister. We had
refused to pay cash to his representative late in the last
administration in order to get
access. To add
to this, a Chinese national mining company lusts for
Buckreef. They are a modern form of the historical claim
jumper willing to pay anyone corrupt inside or outside of
the company if it helps them get what they want. We believe
Buckreef represents billions, even at today's
prices. People
seem to think incorrectly that Force Majeure is something
the government did to us, but it is something we declared
against the government of Tanzania which we will arbitrate
in London as per our contract provisions. Force Majeure gets
a government's attention as it hits directly into the
claim of welcome to investors and offers protection to
non-Tanzanians conducting business in the country. Force
Majeure freezes all company obligations payable until the
issues are resolved and protects all licenses and permits as
property in this case of TRX, the parent. I had absolutely
no other option but to use the most powerful defense weapon
in international mining as a tool provided in our contract.
The alternative would have been to simply surrender, which
would be the beginning of a very quick end. I had to go
nuclear in the mining industry terms
instantaneously. London
arbitration is fair and our claims of no funds due to
Stamico are solid. Stamico stands for the State Mining
Company run by the Tanzanian government. These proceedings
are governed by international law, not local
law. We
issued a detailed release on this subject and two additional
items earlier this week. Stockholders looking at the market ran to the
internet chat sites where information is always somewhat
dicey and position profit motivated. In the
best interest of protecting the company assets, a week ago I
pushed the "Force Majeure pause button" protected
by contract based on international, not Tanzanian, law and
opted for binding arbitration in London while taking my
staff temporarily out of harm's way. Stamico themselves
publicly announced the imposition of Force Majeure with
rather cordial words. As a
result, our expenses are now under $100,000 per month and we
have gold on the pads. The mine is protected by uniformed
armed guards that were previously Tanzanian special forces.
They are trained to protect. It is my
long held, firm belief that the price of gold is headed much
higher, making the recent multiyear decline not a gold bear
market, but rather a simple reaction in the gold bull market
of all time that will be seen reaching prices that most gold
analysts cannot even imagine. If you
as a gold company had nothing you would never have a single
problem. If you are a gold company of significant merit you
must fight a vicious war 24/7 until cashed high enough to be
a force yourself. Nobody
bothers claim jumping a piece of junk. Nobody organizes to
create mass hatred using modern communication methods
without a defined motive. Nobody attacks a market with such
professionalism except to attempt to cut off financing,
thereby rendering the company an easy hostile takeover
target. This is
a business requiring instant decision making processes
driven by the constant willingness to act instantly to
protect itself under international law and therefore to the
best interest of its family of
investors. Best
wishes,
Jim Sinclair
Re: http://www.tfmetalsreport.com/comment/535970#comment-535970
Cf. http://www.ippmedia.com/?l=88893



























__._,_.___










Posted by: Dastan Kweka <kwekad@gmail.com>





Reply
via web post


Reply to sender


Reply to group

Start a New
Topic

Messages in this
topic
(3)
















Visit Your Group







• Privacy • Unsubscribe • Terms of Use






















.







__,_._,___



#yiv9220777172 #yiv9220777172 --
#yiv9220777172ygrp-mkp {
border:1px solid #d8d8d8;font-family:Arial;margin:10px
0;padding:0 10px;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172ygrp-mkp hr {
border:1px solid #d8d8d8;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172ygrp-mkp #yiv9220777172hd {
color:#628c2a;font-size:85%;font-weight:700;line-height:122%;margin:10px
0;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172ygrp-mkp #yiv9220777172ads {
margin-bottom:10px;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172ygrp-mkp .yiv9220777172ad {
padding:0 0;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172ygrp-mkp .yiv9220777172ad p {
margin:0;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172ygrp-mkp .yiv9220777172ad a {
color:#0000ff;text-decoration:none;}
#yiv9220777172 #yiv9220777172ygrp-sponsor
#yiv9220777172ygrp-lc {
font-family:Arial;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172ygrp-sponsor
#yiv9220777172ygrp-lc #yiv9220777172hd {
margin:10px
0px;font-weight:700;font-size:78%;line-height:122%;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172ygrp-sponsor
#yiv9220777172ygrp-lc .yiv9220777172ad {
margin-bottom:10px;padding:0 0;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172actions {
font-family:Verdana;font-size:11px;padding:10px 0;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172activity {
background-color:#e0ecee;float:left;font-family:Verdana;font-size:10px;padding:10px;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172activity span {
font-weight:700;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172activity span:first-child {
text-transform:uppercase;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172activity span a {
color:#5085b6;text-decoration:none;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172activity span span {
color:#ff7900;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172activity span
.yiv9220777172underline {
text-decoration:underline;}

#yiv9220777172 .yiv9220777172attach {
clear:both;display:table;font-family:Arial;font-size:12px;padding:10px
0;width:400px;}

#yiv9220777172 .yiv9220777172attach div a {
text-decoration:none;}

#yiv9220777172 .yiv9220777172attach img {
border:none;padding-right:5px;}

#yiv9220777172 .yiv9220777172attach label {
display:block;margin-bottom:5px;}

#yiv9220777172 .yiv9220777172attach label a {
text-decoration:none;}

#yiv9220777172 blockquote {
margin:0 0 0 4px;}

#yiv9220777172 .yiv9220777172bold {
font-family:Arial;font-size:13px;font-weight:700;}

#yiv9220777172 .yiv9220777172bold a {
text-decoration:none;}

#yiv9220777172 dd.yiv9220777172last p a {
font-family:Verdana;font-weight:700;}

#yiv9220777172 dd.yiv9220777172last p span {
margin-right:10px;font-family:Verdana;font-weight:700;}

#yiv9220777172 dd.yiv9220777172last p
span.yiv9220777172yshortcuts {
margin-right:0;}

#yiv9220777172 div.yiv9220777172attach-table div div a {
text-decoration:none;}

#yiv9220777172 div.yiv9220777172attach-table {
width:400px;}

#yiv9220777172 div.yiv9220777172file-title a, #yiv9220777172
div.yiv9220777172file-title a:active, #yiv9220777172
div.yiv9220777172file-title a:hover, #yiv9220777172
div.yiv9220777172file-title a:visited {
text-decoration:none;}

#yiv9220777172 div.yiv9220777172photo-title a,
#yiv9220777172 div.yiv9220777172photo-title a:active,
#yiv9220777172 div.yiv9220777172photo-title a:hover,
#yiv9220777172 div.yiv9220777172photo-title a:visited {
text-decoration:none;}

#yiv9220777172 div#yiv9220777172ygrp-mlmsg
#yiv9220777172ygrp-msg p a span.yiv9220777172yshortcuts {
font-family:Verdana;font-size:10px;font-weight:normal;}

#yiv9220777172 .yiv9220777172green {
color:#628c2a;}

#yiv9220777172 .yiv9220777172MsoNormal {
margin:0 0 0 0;}

#yiv9220777172 o {
font-size:0;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172photos div {
float:left;width:72px;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172photos div div {
border:1px solid
#666666;height:62px;overflow:hidden;width:62px;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172photos div label {
color:#666666;font-size:10px;overflow:hidden;text-align:center;white-space:nowrap;width:64px;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172reco-category {
font-size:77%;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172reco-desc {
font-size:77%;}

#yiv9220777172 .yiv9220777172replbq {
margin:4px;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172ygrp-actbar div a:first-child {
margin-right:2px;padding-right:5px;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172ygrp-mlmsg {
font-size:13px;font-family:Arial, helvetica, clean,
sans-serif;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172ygrp-mlmsg table {
font-size:inherit;font:100%;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172ygrp-mlmsg select,
#yiv9220777172 input, #yiv9220777172 textarea {
font:99% Arial, Helvetica, clean, sans-serif;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172ygrp-mlmsg pre, #yiv9220777172
code {
font:115% monospace;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172ygrp-mlmsg * {
line-height:1.22em;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172ygrp-mlmsg #yiv9220777172logo {
padding-bottom:10px;}


#yiv9220777172 #yiv9220777172ygrp-msg p a {
font-family:Verdana;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172ygrp-msg
p#yiv9220777172attach-count span {
color:#1E66AE;font-weight:700;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172ygrp-reco
#yiv9220777172reco-head {
color:#ff7900;font-weight:700;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172ygrp-reco {
margin-bottom:20px;padding:0px;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172ygrp-sponsor #yiv9220777172ov
li a {
font-size:130%;text-decoration:none;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172ygrp-sponsor #yiv9220777172ov
li {
font-size:77%;list-style-type:square;padding:6px 0;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172ygrp-sponsor #yiv9220777172ov
ul {
margin:0;padding:0 0 0 8px;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172ygrp-text {
font-family:Georgia;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172ygrp-text p {
margin:0 0 1em 0;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172ygrp-text tt {
font-size:120%;}

#yiv9220777172 #yiv9220777172ygrp-vital ul li:last-child {
border-right:none !important;
}
#yiv9220777172

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment