Wednesday, 17 February 2016

Re: [wanabidii] UKAMATAJI WAHAMIAJI: TANZANIA IJISIFU KUWAKAMATA AU IJILAUMU KUNYANYASA BINADAMU

Martin.
Hii ni agenda kubwa.
Ukizihesabu garama ambazo Tanzania inatumia kwa binadamu hawa kupitia sheria yake na mwisho kuwafunga ingeweza kutumia hizo kuwahudumia katika mazingira tofauti na kuuambia ulimwengu wangejitokeza wa kuisaidia.
Umesema ukweli-Hapa kuna mwakilishi wa Taifa la Ethiopia. Ungewaambia Mengistu haile Mariam ameonekana kariakoo balozi angejitokeza kutaka kiongozi huyo arejeshwe akastakiwe. Lakini si hawa wananchi wake wanaoukimbia mminyo wa maisha. Tanzania ya magufuli inapaswa kufanya tofauti kwa watu hawa. Taasisi za haki za Binadamu wanao mc hango wao tena mkubwa kuliko mengine wanayoyalilia kama Bunge live.
Sitarajii serikali kukaa kkimya baada ya hapa. Najua wanasoma haya.
Elisa
--------------------------------------------
On Wed, 2/17/16, Martin Pius <malagila01@yahoo.co.uk> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] UKAMATAJI WAHAMIAJI: TANZANIA IJISIFU KUWAKAMATA AU IJILAUMU KUNYANYASA BINADAMU
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, February 17, 2016, 5:54 AM

Nakubaliana na wewe Elisa
kwa 100%. Nadhani twende mbele zaidi ya kutekeleza sheria.
UTU upewe nafasi.
Siku moja niliona kwenye
TV kamanda mmoja ambaye sikumbuki ni wa uhamiaji au polisi
anajigamba kuwa tutawakamata mpaka watakapokoma!!! Wakati
huowanaoneshwa wakipewa huduma ya kwanza ya mkate na
maji!!
Nikasema moyoni, huyu hajui kuwa hawa
watu wamefunga safari ya kufa na kupona! Kadri maisha
yanavyozidi kuwa hatarishi kwao, wataendelea kuja tu.
Nakumbuka kuna wengine wamefungwa hivi
karibuni!! Hii iliniuma sana, hivi hakuna ubalozi wa
Ethiopia hapa wakashirikiana na UNHCR kuwapa hifadhi ya muda
wakati wanaangalia ama kuwarudisha au kuwahifadhi zaidi.
Mtazamo mpya unatakiwa!!
Martin

Sent
from my iPhone

> On Feb
17, 2016, at 0:14, "'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
> --
> Kumekuwa na wimbi la kukamata wananchi wa
Ethiopia wakiwa njiani kuelekea Afrika ya Kusini kutafuta
maisha.
> Wanakamatwa wakiwa
wanasafirishwa kama mizigo. Wanatakatwa wakiwa na jnjaa na
magongwa. Wanakamatwa wakiwa wamejificha vichakani.
> Kibaya sana wanapokamatwa hawalalamiki.
Shida ni paqle wanapoambiwa 'mtarudishwa makwenu'.
Wanalia na kugaragara.
> Kukamatwa kwa
watu hawa ni kwa mujibu wa sheria zetu. Mtu akitaka kuingia
nchini lazima apitie taratibu zote za uhamiaji. Hawa
hawafuati taratibu hizi.
>
> Ukigeuka upande wapili ukawaangalia
wasafiri hawa hawana tofauti na wanyama wa serngeti ambao
wao huhama kila vipindi. Huhama kufuatana na mabadiliko ama
ya huku wanakotoka au huko wanakokwenda.
> Binadamu wenzetu hawa wana mateso makubwa
ya kiuchumi nchini mwao. Matatizo yanawakuta wakati
kimataifa nchi yao ni moja kati ya mataifa yenye GDP
inayokua. Ukosefu wa haki katika mgawanyo wa mapato ya taifa
wananchi wake wanaishia kuona maendeleo ya barabara na
viwand kumbe wanafaidi watu wachache.
>

> Kuendelea kuwakamata watu hawa na
kuwaatangazia walimwengu kuwa tumekamata wahamiaji haramu
nim kuendelea kuwatesa binadamu wenzetu.
> Ipo haja serikali yetu kuytafuta mbadala.
Kuna uwezekano kuongea na Ethiopia kujua chanzo cha raia
wake kuhama hivi na katika mazingira haya.
> Lakini hapa nchini kuna ofisi za UNHCR.
Watu hawa wanaweza kupewa hadhi ya wakimbizi wakatunzwa na
hii inatosha kuishtua Ethiopia.
>
> Kuendelea kuwakamata ni kuwatesa bure.
> Ndivyo nionavyo.
>
> Elisa
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>

>
> Kujiondoa Tuma Email
kwenda
>
>
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>  Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
>

>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her
postings, and hence
> statements and
facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you
agree to this
> disclaimer and pledge to
abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this
message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii"
group.
>
> To
unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options,
visit https://groups.google.com/d/optout.
>

>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>

>
> Kujiondoa Tuma Email
kwenda
>
>
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
> kudhibitisha
ukishatuma
>

>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her
postings, and hence
> statements and
facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you
agree to this
> disclaimer and pledge to
abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this
message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii"
group.
>
> To
unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options,
visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>

>
> Kujiondoa Tuma Email
kwenda
>
>
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
> kudhibitisha
ukishatuma
>

>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her
postings, and hence
> statements and
facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you
agree to this
> disclaimer and pledge to
abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this
message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii"
group.
>
> To
unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options,
visit https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email
kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the
sole responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are
subscribed to the Google Groups "Wanabidii"
group.
> To unsubscribe from this group
and stop receiving emails from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment