Tuesday, 16 February 2016

Re: [wanabidii] UKAMATAJI WAHAMIAJI: TANZANIA IJISIFU KUWAKAMATA AU IJILAUMU KUNYANYASA BINADAMU

Nakubaliana na wewe Elisa kwa 100%. Nadhani twende mbele zaidi ya kutekeleza sheria. UTU upewe nafasi.
Siku moja niliona kwenye TV kamanda mmoja ambaye sikumbuki ni wa uhamiaji au polisi anajigamba kuwa tutawakamata mpaka watakapokoma!!! Wakati huowanaoneshwa wakipewa huduma ya kwanza ya mkate na maji!!
Nikasema moyoni, huyu hajui kuwa hawa watu wamefunga safari ya kufa na kupona! Kadri maisha yanavyozidi kuwa hatarishi kwao, wataendelea kuja tu.
Nakumbuka kuna wengine wamefungwa hivi karibuni!! Hii iliniuma sana, hivi hakuna ubalozi wa Ethiopia hapa wakashirikiana na UNHCR kuwapa hifadhi ya muda wakati wanaangalia ama kuwarudisha au kuwahifadhi zaidi.
Mtazamo mpya unatakiwa!!
Martin

Sent from my iPhone

> On Feb 17, 2016, at 0:14, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> --
> Kumekuwa na wimbi la kukamata wananchi wa Ethiopia wakiwa njiani kuelekea Afrika ya Kusini kutafuta maisha.
> Wanakamatwa wakiwa wanasafirishwa kama mizigo. Wanatakatwa wakiwa na jnjaa na magongwa. Wanakamatwa wakiwa wamejificha vichakani.
> Kibaya sana wanapokamatwa hawalalamiki. Shida ni paqle wanapoambiwa 'mtarudishwa makwenu'. Wanalia na kugaragara.
> Kukamatwa kwa watu hawa ni kwa mujibu wa sheria zetu. Mtu akitaka kuingia nchini lazima apitie taratibu zote za uhamiaji. Hawa hawafuati taratibu hizi.
>
> Ukigeuka upande wapili ukawaangalia wasafiri hawa hawana tofauti na wanyama wa serngeti ambao wao huhama kila vipindi. Huhama kufuatana na mabadiliko ama ya huku wanakotoka au huko wanakokwenda.
> Binadamu wenzetu hawa wana mateso makubwa ya kiuchumi nchini mwao. Matatizo yanawakuta wakati kimataifa nchi yao ni moja kati ya mataifa yenye GDP inayokua. Ukosefu wa haki katika mgawanyo wa mapato ya taifa wananchi wake wanaishia kuona maendeleo ya barabara na viwand kumbe wanafaidi watu wachache.
>
> Kuendelea kuwakamata watu hawa na kuwaatangazia walimwengu kuwa tumekamata wahamiaji haramu nim kuendelea kuwatesa binadamu wenzetu.
> Ipo haja serikali yetu kuytafuta mbadala. Kuna uwezekano kuongea na Ethiopia kujua chanzo cha raia wake kuhama hivi na katika mazingira haya.
> Lakini hapa nchini kuna ofisi za UNHCR. Watu hawa wanaweza kupewa hadhi ya wakimbizi wakatunzwa na hii inatosha kuishtua Ethiopia.
>
> Kuendelea kuwakamata ni kuwatesa bure.
> Ndivyo nionavyo.
>
> Elisa
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma

> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment