Monday, 8 February 2016

Re: [wanabidii] MAANDAMANO YA VIJANA WA CHADEMA: USHAURI KWA MAGUFULI:

Ndugu. Maanadamano haya sio ya watanzania. Hawaandamani kwa hayo na serikali imeanza kuyafanyia kazi.
Maandamano ni ya watu fulani. ndiyo maana ya mada ili kujua wanamaandamano wanawatumia watu gani. Yangekuwa ya watanzania yasingekosa kulenga mambo muhimu kama uliyoyataja. lakini hawa wanaotaka kuwatumia watanzania fulani wanaandaa maandamao kwa kuokoteza lolote ili mradi waingie barabarani wakapigwa mateke waiombe ICC kuingilia. Tumewajua
--------------------------------------------
On Mon, 2/8/16, 'mohamed mnzava' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] MAANDAMANO YA VIJANA WA CHADEMA: USHAURI KWA MAGUFULI:
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, February 8, 2016, 7:31 AM

Mimi
hyshangazwa na mengi sana hapa Tanzania.Wakati
mwingine najiuliza iwapo kweli tuna mtazamo wa kimataifa au
tuna mtazamo wetu wa aina yake ya kipekee . . . . . 
.Inakuwaje
watanzania waandamane kwa ajili ya Kukosa kuona Kipindi ktk
TV!!Ni
watanzania hawa hawa ambao hawajaweza kuandamana kwa mambo
ya msingi zaidi ktk maisha kwa mfano -
Wabunge kujiongezea Mishahara na marupurupu -
Wabunge kuteka Hoja ya Katiba ya watanzania na kuifanya ni
Hoja yao -
Watoto kukuosa Elimu bora na Mikopo ya
Elimu -
Rushwa na Ubadhirifu uliokithiri ktk kila Idara na mashirika
ya serikali -
Huduma mbovu ktk Hospitali na vituo vya  Afya vya
Serikali Inanishangaza
sana kuona watanzania, tena Vijana wanapo amua kuandamana
kwa ajili ya kutaka kuonyeshwa mijadala ya wabunge wakati wa
muda wa kawaida wa Kazi!! . . .  .hawa watoto wetu
hawajawahi hata siku moja kuwaona wabunge wao katika majimbo
yao!! Hivi hawa
watoto wetu hawaelewi kuwa mbunge anahitajika KUKUTANA
na KUONANA nao katika majimbo na KUELEWA matatizo
na Changamoto zinazo wakabili na kushirikiana nao ili kupata
UFUMBUZI?
 . .
.  . Ni MUHIMU sana vijana
MUELEWE kuwa taratibu tulizo jipangia zinahitaji
WABUNGE wenu watatue matatizo yenu kwa kuyaona na
kuyatambua, na si vinginevyo, . . . .  sasa wanataka
ninyi MUWAANGALIE, MUWAONE katika TV kwa siku 10
kila baada ya miezi mitatu!!.. .  . . . na
hata HAWAONEKANI huko VIJIJINI hata kuwasaidia na
KUSHIRIKIANA nanyi kupata maendeleo!! . . .
. . WANAKWEPA huko ambapo wakina mama na dada zetu
wanamaliza siku nzima kwa kutafuta ndoo moja ya maji, .
. . . . .  wanataka MUWAONE ktk TV wakijiongezea
POSHO na MARUPURUPU!! . . . . . . je mimi na
ninyi tunaweza KUZUIA au KUBADILISHA hayo wanayo
yafanya kupitia ktk TV!! 
Hawa
WABUNGE wanawawadanganya ninyi mbaki kuangalia MALUMBANO
wakati huko mlipo NDIPO kwenye MAJUKUMU yao ya msingi,
na WANAPAKIMBIA na KUWATELEKEZA!!  . . . . 
.KAZI za
KWELI za wabunge ZINAWASUBIRI huko majimboni, na iwapo
watawajibika huko majimboni TUTAWAONA zaidi kuliko ktk TV, .
. . wabunge wasitudanganye kujaribu kutueleza kuwa TV
ndio italeta mabadiliko huko Vijijini, ni UONGO, warudi huku
vijijini na WAONEKANE, wawajibike, wakishirikiana na KUTATUA
matatizo wa kweli (ELIMU, MARADHI/ AFYA, MAJI, BARABARA nk)
ya Mtanzania, . . .  . . wasitafute visingizio, ukweli
ni kuwa wananchi wanahitaji UWEPO wao huko vijijini na sio
KUWAONA ktk TV!!
Poleni
sana Vijana WADANGANYIKA mnao tumiwa pasipo
fahamu 

On Sunday, February
7, 2016 4:33 PM, isack mchungu <isackmn1965@gmail.com>
wrote:

Ndg yangu kiwasila
umesema vizuri lakini wewe mwenyezi ulishaenda 
kijijini kwako ukawatafuta vijana wasomi ukawaeleza juu ya
mikopo ya mabenki unayosema inatangazwa na na mabenk? Then
ukawasaidia njia za kupata mikapo? Labda nikuulize kwa
kijana aliemaliza chuo kikuu anaweza kwenda kwenye benki
zetu akapata mkopo? kwa dhamana gani?

Unafikili elimu ni kigezo cha kupata mkopo?
Mtu
ambae hajawahi kufika vijijini TZ ndio ataongea suala la
watu wasio ajira kumuona rais kumlalamikia. Kwani kama
umemaliza degrii na huna ajira ndio ukae nyumbani tu? Kuna
opportunities ngapi zinatangazwa an bank hukusu mikopo kwa
vikundi na watu binafsi? Na mtu mwenye mkopwa serikali wa
kusoma chuo kikuu unamkuta pamoja na kuwa ni masikini
apatapo mkopo shs zake za mwanzo ni kununua gari ya
kusotasota aonekane. Kutwa yupo mitumbani na baa. Vivalo vya
kila aina. Haimjii akilini kwamba ile hela angeweka fixed
deposite account baadae aitumie kupata mkopo au kujiunga na
wenzake wapate mkopo wa kufanya biashara. Haitowezekana kila
msomi na asiyesoma kuajiriwa hata kama taasisi za serikali
hazina watumishi wa kutosha. Kujitambua kwanza ni muhimu kwa
sisi watanzania.

Ukifika vijijini ukihoji mtu matumizi ya kutwa ya familia na
binafsi-utaona kunywa pombe, kuvuta sigara inavyotumia pesa
nyingi. Utaona kulivyojaa kila aina ya raslimali lakini
vijana wapo kijiweni -kijijini. Hukusoma-kulima shinda,
ukisoma ndio utata kabisa kazi za shamba. Na hata
ufugaji-tata kumuelimisha mzee wako asingatie ufugaji wa
kisasa na ukimsaidia hata kilimo cha kisasa ulichojifunza.
Tuna watu wangapi waliomaliza Sokoine kilimo na ufugaji
lakini vijijini kwao mambo kama yale ya centrury ya 6. Kwani
wazazi wengine wanaathirika kutokana na watoto wao kuuza
ardhi au mashamba hovyo bila ya kujali familia na pesa
kutumia vibaya. Ukipata likizo-hurudi nyumbani unapanga
mabweni ya chuo hicho kikuu daima upo mabwenini likizo zote
hurudi home kusaidia wazazi. Wale wa vijiweni kijijini kazi
yao kuiba mazao yaliyolimwa na wazee kuyabeba na magari
kuyaleta mijini. Ulaya unamkuta profesa yupo shamba analima
na mwanafunzi unayesoma nae anatembeza barua za posta nyumba
hadi nyumba kwa baiskeli anawapelekea wenyewe kuzitoa posta
apate hela ajilipie ada. Mwingine anasimamia bweni, kuosha
vyombo cafeteria ajilipie ada na malazi ya bweni. Mwingine
yupo restaurant au lodging au kuendesha taxi, gari la
takataka etc. Sisi hapa msomi hata wa std 12 kukosha sahani
ni kazi ya housegirl, vipi kulima bustani ya nyanya au
kupanda lori akazinunue zinakooza ngerengere auze term ya
chuo ikianza ajilipie ada na alishe wazazi?

Kisha watu wazima na akili-tunagharimia maandamano kulipia
usafiri wa hao viongozi, posho etc sio kusema tufungue
account bank kwa hela hizo zije kuwa capital ya kuombea
mkopo kupata eneo, tuweke drip irrigation wasio ajira walime
mazao ya bustani wasafirishe China, India, UK na nchi jirani
tuwajengee cold storage facilities na cold storage Van ya
kusafirishia mazao hayo yakiwa well packaged. Au-kugharimia
daraja mahala muongeze kura kipindi kijacho chama kionekane
cha maana. Au, kuhamasisha wazazi walime mashamba ya shule
na kuwapelekea mbegu ili watoto wanywe uji shjuleni. Hapana.
Hii si tija. Ila tunazo za kuigharimia TBC irushe
majadiliano ya bunge Live ili walio kijiweni wajichane na
hotuba na kuona wapambe  wanavyoichamba CCM na kurusha
makonde!

--------------------------------------------

On Sat, 6/2/16, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] MAANDAMANO YA VIJANA WA
CHADEMA: USHAURI KWA MAGUFULI:

 To: wanabidii@googlegroups.com

 Date: Saturday, 6 February, 2016, 23:38

 cha muhimu

 ni maendeleo kutizama bunge wakati barabara mbovu,
maji

 hakuna, mahakimu hawatoshi, madaktari hawana ujuzi
stahiki

 haina maana.

 On Feb 4, 2016 7:12 PM,

 "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com>

 wrote:

 Hivi

 Isack umeona bendera ya CCM usoni kwangu???

 Kuna mgombeaa mmoja kijana wa chama fulani aligombea
na

 kupata uenyekiti wa mtaa.

 katika kampeni alikuwa anasema 'Mtuakija kwangu
kushtaki

 swali la kwanza ni kujua anafanya nini na hii
lazima

 ihakikiwe. watu wengine wanagombana kwa kuwa hawana
kazi za

 kufanya ---------'

 Sasa ndugu rais alipokuwa anapiga kampeni
aliongelea

 kuwaendeleza wananchi wake kiuchumi hasa watu wa
chini.

 Bunge linajadili habari za maendeleo. Unafikiri kuna
muda wa

 Rais kukaa na watu wasiona lakufanya kuwasikiliza eti
ndiyo

 demokrasia??

 Watu hawana kazi. wanataka kukutana na rais. wakitoka
kesho

 waje wengine. na kesho kutwa waje wengine rais
anakwenda

 kuwasikiliza? bado hujaona hoja yangu tu? Hutaki
kuiona

 --------------------------------------------

 On Thu, 2/4/16, isack mchungu <isackmn1965@gmail.com>

 wrote:

  Subject: Re: [wanabidii] MAANDAMANO YA VIJANA WA
CHADEMA:

 USHAURI KWA MAGUFULI:

  To: wanabidii@googlegroups.com

  Date: Thursday, February 4, 2016, 6:03 PM

  MUHINGO mimi

  naona huna hoja ya msingi! Ktk nchi mnayoiita
ya

  kidemokrasia kuandamana kupinga/kupongeza jambo
ambalo

 wao

  waandamanaji wanaona linamanufaa kwao wanayo
haki hiyo

 bila

  kujali wanayo ajira au hawana, wawe wanalipa
kodi au

  hawalipiHawaii, ndo maana Kokote duniani hata
wasiolipa

 kodi

  huandamana!

  Tatizo lenu watu wa ccm mnajiona nyie tu ndo mna
haki

 ya

  kufanya chochote ktk hii nchi wengine hawana
haki

 lakini

  kaeni mkijua Mungu kuna siku ataigeuza
shilingi.

  On Feb 4, 2016 2:30 PM,

  "'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>

  wrote:

  Habari zimejitokeza tena kuwa jumamosi vijana
wa

 CHADEMA

  wamekusudia kuandamana kwenda kwa Rais. Lengo
lao ni

  kuishinikiza seriakli iiwezeshe TBC kutangaza
mijadala

 ya

  bunge. Ninapenda kufikiri kuwa kuna haja ya
Rais

 kuwapokea

  vijana hao. Wana hoja muhimu. Bunge kusikika
wakati

 wote

  live. Serikali ilisitisha vipindi hivyo kwa
sababu

 kadhaa

  ikiwemo ya garama. Nafikiri rais pia anahitaji
kujua

 kutoka

  kwa kila mmoja wao amelipa kodi kiasi gani ili
kuipa

 uwezo

  serikali kugarimia vipindi vya TBC. Kila
kijana

 atakayekua

  ameandamana awe na ushahidi wa shughuli ambayo
yeye

 anajua

  kwayo kuwa licha ya kumsaidia kujikimu lakini
na

 serikali

  inapata kodi. Nina maana vijana
watakaoandamana

 wahakikishe

  ni wakulima, wafugai, wavuvi, wana viwanda,
au

 wanafanya

  biashara. Hii itatafsiriwea kuwa wanatetea kuona
vipindi

 vya

  bunge ili kujua maslahim ya kazi zao
yanazungumzwaje

  bungeni. Au Serikali nakusudia kufanya nini
katika kazi

  wanazozifanya. Wanataka kujua wawakilishi wao

 wanateteaje

  maslahi yao.

  Ikitokea kati ya waandmanaji akawapo asiye na
shughuli

  maalum apelekwe mahala wanakopelekwa wazururaji
maana

  atakuwa ni mzururaji huyo. Haihitaji rais
kupokea vijana

 wa

  mitaani wasio na wanachokitetea ili mradi
wamepewa soda

 na

  walioshindwa uchaguzi.  Huenda hiyo ikawa
dawa ya

  maandamani yasiyo na maana kwa vijana wetu
kutumwa na

  walioshindwa ili kuipotezea muda serikali
kufanya kazi

 zake.

  kati yao wapo ''watakaorudi
kundini''.

   --

   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

   Kujiondoa Tuma Email kwenda

   mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com 

  Utapata Email ya

   kudhibitisha ukishatuma

   Disclaimer:

   Everyone posting to this Forum bears the
sole

  responsibility

   for any legal consequences of his or her
postings,

 and

  hence

   statements and facts must be presented
responsibly.

  Your

   continued membership signifies that you
agree to this

   disclaimer and pledge to abide by our
Rules and

  Guidelines.

   ---

   You received this message because you are
subscribed

 to

  the

   Google Groups "Wanabidii"
group.

   To unsubscribe from this group and stop
receiving

  emails

   from it, send an email to mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com.

   For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com 

  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility

  for any legal consequences of his or her
postings, and

 hence

  statements and facts must be presented
responsibly.

 Your

  continued membership signifies that you agree to
this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules
and

  Guidelines.

  ---

  You received this message because you are
subscribed to

 the

  Google Groups "Wanabidii" group.

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to
this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed
to the

 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment