Mtu ambae hajawahi kufika vijijini TZ ndio ataongea suala la watu wasio ajira kumuona rais kumlalamikia. Kwani kama umemaliza degrii na huna ajira ndio ukae nyumbani tu? Kuna opportunities ngapi zinatangazwa an bank hukusu mikopo kwa vikundi na watu binafsi? Na mtu mwenye mkopwa serikali wa kusoma chuo kikuu unamkuta pamoja na kuwa ni masikini apatapo mkopo shs zake za mwanzo ni kununua gari ya kusotasota aonekane. Kutwa yupo mitumbani na baa. Vivalo vya kila aina. Haimjii akilini kwamba ile hela angeweka fixed deposite account baadae aitumie kupata mkopo au kujiunga na wenzake wapate mkopo wa kufanya biashara. Haitowezekana kila msomi na asiyesoma kuajiriwa hata kama taasisi za serikali hazina watumishi wa kutosha. Kujitambua kwanza ni muhimu kwa sisi watanzania.
Ukifika vijijini ukihoji mtu matumizi ya kutwa ya familia na binafsi-utaona kunywa pombe, kuvuta sigara inavyotumia pesa nyingi. Utaona kulivyojaa kila aina ya raslimali lakini vijana wapo kijiweni -kijijini. Hukusoma-kulima shinda, ukisoma ndio utata kabisa kazi za shamba. Na hata ufugaji-tata kumuelimisha mzee wako asingatie ufugaji wa kisasa na ukimsaidia hata kilimo cha kisasa ulichojifunza. Tuna watu wangapi waliomaliza Sokoine kilimo na ufugaji lakini vijijini kwao mambo kama yale ya centrury ya 6. Kwani wazazi wengine wanaathirika kutokana na watoto wao kuuza ardhi au mashamba hovyo bila ya kujali familia na pesa kutumia vibaya. Ukipata likizo-hurudi nyumbani unapanga mabweni ya chuo hicho kikuu daima upo mabwenini likizo zote hurudi home kusaidia wazazi. Wale wa vijiweni kijijini kazi yao kuiba mazao yaliyolimwa na wazee kuyabeba na magari kuyaleta mijini. Ulaya unamkuta profesa yupo shamba analima na mwanafunzi unayesoma nae anatembeza barua za posta nyumba hadi nyumba kwa baiskeli anawapelekea wenyewe kuzitoa posta apate hela ajilipie ada. Mwingine anasimamia bweni, kuosha vyombo cafeteria ajilipie ada na malazi ya bweni. Mwingine yupo restaurant au lodging au kuendesha taxi, gari la takataka etc. Sisi hapa msomi hata wa std 12 kukosha sahani ni kazi ya housegirl, vipi kulima bustani ya nyanya au kupanda lori akazinunue zinakooza ngerengere auze term ya chuo ikianza ajilipie ada na alishe wazazi?
Kisha watu wazima na akili-tunagharimia maandamano kulipia usafiri wa hao viongozi, posho etc sio kusema tufungue account bank kwa hela hizo zije kuwa capital ya kuombea mkopo kupata eneo, tuweke drip irrigation wasio ajira walime mazao ya bustani wasafirishe China, India, UK na nchi jirani tuwajengee cold storage facilities na cold storage Van ya kusafirishia mazao hayo yakiwa well packaged. Au-kugharimia daraja mahala muongeze kura kipindi kijacho chama kionekane cha maana. Au, kuhamasisha wazazi walime mashamba ya shule na kuwapelekea mbegu ili watoto wanywe uji shjuleni. Hapana. Hii si tija. Ila tunazo za kuigharimia TBC irushe majadiliano ya bunge Live ili walio kijiweni wajichane na hotuba na kuona wapambe wanavyoichamba CCM na kurusha makonde!
--------------------------------------------
On Sat, 6/2/16, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MAANDAMANO YA VIJANA WA CHADEMA: USHAURI KWA MAGUFULI:
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, 6 February, 2016, 23:38
cha muhimu
ni maendeleo kutizama bunge wakati barabara mbovu, maji
hakuna, mahakimu hawatoshi, madaktari hawana ujuzi stahiki
haina maana.
On Feb 4, 2016 7:12 PM,
"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Hivi
Isack umeona bendera ya CCM usoni kwangu???
Kuna mgombeaa mmoja kijana wa chama fulani aligombea na
kupata uenyekiti wa mtaa.
katika kampeni alikuwa anasema 'Mtuakija kwangu kushtaki
swali la kwanza ni kujua anafanya nini na hii lazima
ihakikiwe. watu wengine wanagombana kwa kuwa hawana kazi za
kufanya ---------'
Sasa ndugu rais alipokuwa anapiga kampeni aliongelea
kuwaendeleza wananchi wake kiuchumi hasa watu wa chini.
Bunge linajadili habari za maendeleo. Unafikiri kuna muda wa
Rais kukaa na watu wasiona lakufanya kuwasikiliza eti ndiyo
demokrasia??
Watu hawana kazi. wanataka kukutana na rais. wakitoka kesho
waje wengine. na kesho kutwa waje wengine rais anakwenda
kuwasikiliza? bado hujaona hoja yangu tu? Hutaki kuiona
--------------------------------------------
On Thu, 2/4/16, isack mchungu <isackmn1965@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MAANDAMANO YA VIJANA WA CHADEMA:
USHAURI KWA MAGUFULI:
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, February 4, 2016, 6:03 PM
MUHINGO mimi
naona huna hoja ya msingi! Ktk nchi mnayoiita ya
kidemokrasia kuandamana kupinga/kupongeza jambo ambalo
wao
waandamanaji wanaona linamanufaa kwao wanayo haki hiyo
bila
kujali wanayo ajira au hawana, wawe wanalipa kodi au
hawalipiHawaii, ndo maana Kokote duniani hata wasiolipa
kodi
huandamana!
Tatizo lenu watu wa ccm mnajiona nyie tu ndo mna haki
ya
kufanya chochote ktk hii nchi wengine hawana haki
lakini
kaeni mkijua Mungu kuna siku ataigeuza shilingi.
On Feb 4, 2016 2:30 PM,
"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Habari zimejitokeza tena kuwa jumamosi vijana wa
CHADEMA
wamekusudia kuandamana kwenda kwa Rais. Lengo lao ni
kuishinikiza seriakli iiwezeshe TBC kutangaza mijadala
ya
bunge. Ninapenda kufikiri kuwa kuna haja ya Rais
kuwapokea
vijana hao. Wana hoja muhimu. Bunge kusikika wakati
wote
live. Serikali ilisitisha vipindi hivyo kwa sababu
kadhaa
ikiwemo ya garama. Nafikiri rais pia anahitaji kujua
kutoka
kwa kila mmoja wao amelipa kodi kiasi gani ili kuipa
uwezo
serikali kugarimia vipindi vya TBC. Kila kijana
atakayekua
ameandamana awe na ushahidi wa shughuli ambayo yeye
anajua
kwayo kuwa licha ya kumsaidia kujikimu lakini na
serikali
inapata kodi. Nina maana vijana watakaoandamana
wahakikishe
ni wakulima, wafugai, wavuvi, wana viwanda, au
wanafanya
biashara. Hii itatafsiriwea kuwa wanatetea kuona vipindi
vya
bunge ili kujua maslahim ya kazi zao yanazungumzwaje
bungeni. Au Serikali nakusudia kufanya nini katika kazi
wanazozifanya. Wanataka kujua wawakilishi wao
wanateteaje
maslahi yao.
Ikitokea kati ya waandmanaji akawapo asiye na shughuli
maalum apelekwe mahala wanakopelekwa wazururaji maana
atakuwa ni mzururaji huyo. Haihitaji rais kupokea vijana
wa
mitaani wasio na wanachokitetea ili mradi wamepewa soda
na
walioshindwa uchaguzi. Huenda hiyo ikawa dawa ya
maandamani yasiyo na maana kwa vijana wetu kutumwa na
walioshindwa ili kuipotezea muda serikali kufanya kazi
zake.
kati yao wapo ''watakaorudi kundini''.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment