Thursday, 4 February 2016

Re: [wanabidii] MAANDAMANO YA VIJANA WA CHADEMA: USHAURI KWA MAGUFULI:

Hivi Isack umeona bendera ya CCM usoni kwangu???
Kuna mgombeaa mmoja kijana wa chama fulani aligombea na kupata uenyekiti wa mtaa.
katika kampeni alikuwa anasema 'Mtuakija kwangu kushtaki swali la kwanza ni kujua anafanya nini na hii lazima ihakikiwe. watu wengine wanagombana kwa kuwa hawana kazi za kufanya ---------'
Sasa ndugu rais alipokuwa anapiga kampeni aliongelea kuwaendeleza wananchi wake kiuchumi hasa watu wa chini.
Bunge linajadili habari za maendeleo. Unafikiri kuna muda wa Rais kukaa na watu wasiona lakufanya kuwasikiliza eti ndiyo demokrasia??
Watu hawana kazi. wanataka kukutana na rais. wakitoka kesho waje wengine. na kesho kutwa waje wengine rais anakwenda kuwasikiliza? bado hujaona hoja yangu tu? Hutaki kuiona
--------------------------------------------
On Thu, 2/4/16, isack mchungu <isackmn1965@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] MAANDAMANO YA VIJANA WA CHADEMA: USHAURI KWA MAGUFULI:
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, February 4, 2016, 6:03 PM

MUHINGO mimi
naona huna hoja ya msingi! Ktk nchi mnayoiita ya
kidemokrasia kuandamana kupinga/kupongeza jambo ambalo wao
waandamanaji wanaona linamanufaa kwao wanayo haki hiyo bila
kujali wanayo ajira au hawana, wawe wanalipa kodi au
hawalipiHawaii, ndo maana Kokote duniani hata wasiolipa kodi
huandamana!

Tatizo lenu watu wa ccm mnajiona nyie tu ndo mna haki ya
kufanya chochote ktk hii nchi wengine hawana haki lakini
kaeni mkijua Mungu kuna siku ataigeuza shilingi.
On Feb 4, 2016 2:30 PM,
"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:


Habari zimejitokeza tena kuwa jumamosi vijana wa CHADEMA
wamekusudia kuandamana kwenda kwa Rais. Lengo lao ni
kuishinikiza seriakli iiwezeshe TBC kutangaza mijadala ya
bunge. Ninapenda kufikiri kuwa kuna haja ya Rais kuwapokea
vijana hao. Wana hoja muhimu. Bunge kusikika wakati wote
live. Serikali ilisitisha vipindi hivyo kwa sababu kadhaa
ikiwemo ya garama. Nafikiri rais pia anahitaji kujua kutoka
kwa kila mmoja wao amelipa kodi kiasi gani ili kuipa uwezo
serikali kugarimia vipindi vya TBC. Kila kijana atakayekua
ameandamana awe na ushahidi wa shughuli ambayo yeye anajua
kwayo kuwa licha ya kumsaidia kujikimu lakini na serikali
inapata kodi. Nina maana vijana watakaoandamana wahakikishe
ni wakulima, wafugai, wavuvi, wana viwanda, au wanafanya
biashara. Hii itatafsiriwea kuwa wanatetea kuona vipindi vya
bunge ili kujua maslahim ya kazi zao yanazungumzwaje
bungeni. Au Serikali nakusudia kufanya nini katika kazi
wanazozifanya. Wanataka kujua wawakilishi wao wanateteaje
maslahi yao.



Ikitokea kati ya waandmanaji akawapo asiye na shughuli
maalum apelekwe mahala wanakopelekwa wazururaji maana
atakuwa ni mzururaji huyo. Haihitaji rais kupokea vijana wa
mitaani wasio na wanachokitetea ili mradi wamepewa soda na
walioshindwa uchaguzi.  Huenda hiyo ikawa dawa ya
maandamani yasiyo na maana kwa vijana wetu kutumwa na
walioshindwa ili kuipotezea muda serikali kufanya kazi zake.
kati yao wapo ''watakaorudi kundini''.





 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment