Sunday, 7 February 2016

Re: [wanabidii] MAANDAMANO YA VIJANA WA CHADEMA: USHAURI KWA MAGUFULI:

Ndg yangu kiwasila umesema vizuri lakini wewe mwenyezi ulishaenda  kijijini kwako ukawatafuta vijana wasomi ukawaeleza juu ya mikopo ya mabenki unayosema inatangazwa na na mabenk? Then ukawasaidia njia za kupata mikapo? Labda nikuulize kwa kijana aliemaliza chuo kikuu anaweza kwenda kwenye benki zetu akapata mkopo? kwa dhamana gani?
Unafikili elimu ni kigezo cha kupata mkopo?

Mtu ambae hajawahi kufika vijijini TZ ndio ataongea suala la watu wasio ajira kumuona rais kumlalamikia. Kwani kama umemaliza degrii na huna ajira ndio ukae nyumbani tu? Kuna opportunities ngapi zinatangazwa an bank hukusu mikopo kwa vikundi na watu binafsi? Na mtu mwenye mkopwa serikali wa kusoma chuo kikuu unamkuta pamoja na kuwa ni masikini apatapo mkopo shs zake za mwanzo ni kununua gari ya kusotasota aonekane. Kutwa yupo mitumbani na baa. Vivalo vya kila aina. Haimjii akilini kwamba ile hela angeweka fixed deposite account baadae aitumie kupata mkopo au kujiunga na wenzake wapate mkopo wa kufanya biashara. Haitowezekana kila msomi na asiyesoma kuajiriwa hata kama taasisi za serikali hazina watumishi wa kutosha. Kujitambua kwanza ni muhimu kwa sisi watanzania.

Ukifika vijijini ukihoji mtu matumizi ya kutwa ya familia na binafsi-utaona kunywa pombe, kuvuta sigara inavyotumia pesa nyingi. Utaona kulivyojaa kila aina ya raslimali lakini vijana wapo kijiweni -kijijini. Hukusoma-kulima shinda, ukisoma ndio utata kabisa kazi za shamba. Na hata ufugaji-tata kumuelimisha mzee wako asingatie ufugaji wa kisasa na ukimsaidia hata kilimo cha kisasa ulichojifunza. Tuna watu wangapi waliomaliza Sokoine kilimo na ufugaji lakini vijijini kwao mambo kama yale ya centrury ya 6. Kwani wazazi wengine wanaathirika kutokana na watoto wao kuuza ardhi au mashamba hovyo bila ya kujali familia na pesa kutumia vibaya. Ukipata likizo-hurudi nyumbani unapanga mabweni ya chuo hicho kikuu daima upo mabwenini likizo zote hurudi home kusaidia wazazi. Wale wa vijiweni kijijini kazi yao kuiba mazao yaliyolimwa na wazee kuyabeba na magari kuyaleta mijini. Ulaya unamkuta profesa yupo shamba analima na mwanafunzi unayesoma nae anatembeza barua za posta nyumba hadi nyumba kwa baiskeli anawapelekea wenyewe kuzitoa posta apate hela ajilipie ada. Mwingine anasimamia bweni, kuosha vyombo cafeteria ajilipie ada na malazi ya bweni. Mwingine yupo restaurant au lodging au kuendesha taxi, gari la takataka etc. Sisi hapa msomi hata wa std 12 kukosha sahani ni kazi ya housegirl, vipi kulima bustani ya nyanya au kupanda lori akazinunue zinakooza ngerengere auze term ya chuo ikianza ajilipie ada na alishe wazazi?

Kisha watu wazima na akili-tunagharimia maandamano kulipia usafiri wa hao viongozi, posho etc sio kusema tufungue account bank kwa hela hizo zije kuwa capital ya kuombea mkopo kupata eneo, tuweke drip irrigation wasio ajira walime mazao ya bustani wasafirishe China, India, UK na nchi jirani tuwajengee cold storage facilities na cold storage Van ya kusafirishia mazao hayo yakiwa well packaged. Au-kugharimia daraja mahala muongeze kura kipindi kijacho chama kionekane cha maana. Au, kuhamasisha wazazi walime mashamba ya shule na kuwapelekea mbegu ili watoto wanywe uji shjuleni. Hapana. Hii si tija. Ila tunazo za kuigharimia TBC irushe majadiliano ya bunge Live ili walio kijiweni wajichane na hotuba na kuona wapambe  wanavyoichamba CCM na kurusha makonde!
--------------------------------------------
On Sat, 6/2/16, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] MAANDAMANO YA VIJANA WA CHADEMA: USHAURI KWA MAGUFULI:
 To: wanabidii@googlegroups.com
 Date: Saturday, 6 February, 2016, 23:38

 cha muhimu
 ni maendeleo kutizama bunge wakati barabara mbovu, maji
 hakuna, mahakimu hawatoshi, madaktari hawana ujuzi stahiki
 haina maana.
 On Feb 4, 2016 7:12 PM,
 "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:
 Hivi
 Isack umeona bendera ya CCM usoni kwangu???

 Kuna mgombeaa mmoja kijana wa chama fulani aligombea na
 kupata uenyekiti wa mtaa.

 katika kampeni alikuwa anasema 'Mtuakija kwangu kushtaki
 swali la kwanza ni kujua anafanya nini na hii lazima
 ihakikiwe. watu wengine wanagombana kwa kuwa hawana kazi za
 kufanya ---------'

 Sasa ndugu rais alipokuwa anapiga kampeni aliongelea
 kuwaendeleza wananchi wake kiuchumi hasa watu wa chini.

 Bunge linajadili habari za maendeleo. Unafikiri kuna muda wa
 Rais kukaa na watu wasiona lakufanya kuwasikiliza eti ndiyo
 demokrasia??

 Watu hawana kazi. wanataka kukutana na rais. wakitoka kesho
 waje wengine. na kesho kutwa waje wengine rais anakwenda
 kuwasikiliza? bado hujaona hoja yangu tu? Hutaki kuiona

 --------------------------------------------

 On Thu, 2/4/16, isack mchungu <isackmn1965@gmail.com>
 wrote:

  Subject: Re: [wanabidii] MAANDAMANO YA VIJANA WA CHADEMA:
 USHAURI KWA MAGUFULI:

  To: wanabidii@googlegroups.com

  Date: Thursday, February 4, 2016, 6:03 PM

  MUHINGO mimi

  naona huna hoja ya msingi! Ktk nchi mnayoiita ya

  kidemokrasia kuandamana kupinga/kupongeza jambo ambalo
 wao

  waandamanaji wanaona linamanufaa kwao wanayo haki hiyo
 bila

  kujali wanayo ajira au hawana, wawe wanalipa kodi au

  hawalipiHawaii, ndo maana Kokote duniani hata wasiolipa
 kodi

  huandamana!

  Tatizo lenu watu wa ccm mnajiona nyie tu ndo mna haki
 ya

  kufanya chochote ktk hii nchi wengine hawana haki
 lakini

  kaeni mkijua Mungu kuna siku ataigeuza shilingi.

  On Feb 4, 2016 2:30 PM,

  "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>

  wrote:

  Habari zimejitokeza tena kuwa jumamosi vijana wa
 CHADEMA

  wamekusudia kuandamana kwenda kwa Rais. Lengo lao ni

  kuishinikiza seriakli iiwezeshe TBC kutangaza mijadala
 ya

  bunge. Ninapenda kufikiri kuwa kuna haja ya Rais
 kuwapokea

  vijana hao. Wana hoja muhimu. Bunge kusikika wakati
 wote

  live. Serikali ilisitisha vipindi hivyo kwa sababu
 kadhaa

  ikiwemo ya garama. Nafikiri rais pia anahitaji kujua
 kutoka

  kwa kila mmoja wao amelipa kodi kiasi gani ili kuipa
 uwezo

  serikali kugarimia vipindi vya TBC. Kila kijana
 atakayekua

  ameandamana awe na ushahidi wa shughuli ambayo yeye
 anajua

  kwayo kuwa licha ya kumsaidia kujikimu lakini na
 serikali

  inapata kodi. Nina maana vijana watakaoandamana
 wahakikishe

  ni wakulima, wafugai, wavuvi, wana viwanda, au
 wanafanya

  biashara. Hii itatafsiriwea kuwa wanatetea kuona vipindi
 vya

  bunge ili kujua maslahim ya kazi zao yanazungumzwaje

  bungeni. Au Serikali nakusudia kufanya nini katika kazi

  wanazozifanya. Wanataka kujua wawakilishi wao
 wanateteaje

  maslahi yao.

  Ikitokea kati ya waandmanaji akawapo asiye na shughuli

  maalum apelekwe mahala wanakopelekwa wazururaji maana

  atakuwa ni mzururaji huyo. Haihitaji rais kupokea vijana
 wa

  mitaani wasio na wanachokitetea ili mradi wamepewa soda
 na

  walioshindwa uchaguzi.  Huenda hiyo ikawa dawa ya

  maandamani yasiyo na maana kwa vijana wetu kutumwa na

  walioshindwa ili kuipotezea muda serikali kufanya kazi
 zake.

  kati yao wapo ''watakaorudi kundini''.

   --

   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

   Kujiondoa Tuma Email kwenda

   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

  Utapata Email ya

   kudhibitisha ukishatuma

   Disclaimer:

   Everyone posting to this Forum bears the sole

  responsibility

   for any legal consequences of his or her postings,
 and

  hence

   statements and facts must be presented responsibly.

  Your

   continued membership signifies that you agree to this

   disclaimer and pledge to abide by our Rules and

  Guidelines.

   ---

   You received this message because you are subscribed
 to

  the

   Google Groups "Wanabidii" group.

   To unsubscribe from this group and stop receiving

  emails

   from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

   For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility

  for any legal consequences of his or her postings, and
 hence

  statements and facts must be presented responsibly.
 Your

  continued membership signifies that you agree to this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

  Guidelines.

  ---

  You received this message because you are subscribed to

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment