Friday, 5 February 2016

Re: [wanabidii] MAANDAMANO YA VIJANA WA CHADEMA: USHAURI KWA MAGUFULI:

Elisa MUHINGO, Mimi sijaona hoja sanasana wewe ni mbaguzi tu kwa sababu mtu ambaye hana kazi hajakosa utu wa kusikilizwa!  Then ujiulize kwa kwa nini hawana kazi au tu ni kwa vile wanatoka chama cha upinzani au ina maana baraza la vijana la chadema hawana kazi?
Kuna vitu unatakiwa kujiuliza kabla hujaandika kitu chochote ktk jamii kuna maelfu ya vijana waliomaliza vyuo vikuu hawana kazi kwa sababu nyie watu wa ccm ndo mmeuza viwanda kwa wafadhiri wenu ambao wamevigeuza kuwa maghala ya kuhifadhia juice Matokeo yake vijana wa nchi hii wamekosa ajira harafu  mnawasimanga kuwa hawana kazi.
Kuwa mwana ccm sio lazima upeperushe bendera ya ccm ukisoma vizuri maelezo yako yanakutambulisha kuwa wewe ni ccm.

On Feb 5, 2016 10:11 AM, "'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Mbona ni kazi kubwa ya kuwakagua vitambulisho ufahamu kuwa wameajiriwa au wamejiajiri na wanalipa kodi! Nani ataifanyakazi hiyo ili uwapate wale wasiolipakodibza kulipia gharama ya TBC ili uwakamate na uwaweke ndani. Vyeti au vitambulisho haram nacho kukitambua shughuli. Watu wanaingia mpaka mashindano ya Misuli na kushinda lakini sio raia. Wengine wanachaguliwa mpaka uongozi wa kijiji lakini si raia.

Waache wafu wawazike wafu wao. Ikiwa pamoja na elimu ya uchaguzi iliyokuwa ikitolewa magazetini, kwenye TV kama ITV na nyinginezo kila mara-bado eti kura zimeharibika kwa vile elimu ya  uchaguzi kwa raia haikutolewa NGO hazikupata pesa muda muafaka. Bado kulikuwa na kampeni za wagombea vijijini kila jimbo na wagombea wakihaha kuelezea kuhusu jinsi ya kumchagua wa chamachako. Ukiona picha hii na hapa pa kuweka vema-nipigie mimi wa CCM au Chadema etc. Bado eneo la kupigia kura  makaratasi na picha na alama pa kuweka panaonyeshwa. Matangazo juu ya piti, kuta na picha ya mgombea  na pa kuweka vema. Bado watu hawaelewi jinsi ya kupiga kura kura zinaharibika. Kinakuja kipindupindu kinapingua pindua wanaugua, wanaanza kuharisha na kuvaa pampas, kuugua kufa na pia kuuguza na kuzika. Lakini bado tunauza vyakula mahala pachafu inzi kibao na mtaro umejaa kinyesi tunakaa hapo mpaka usiku wa manane. Kuna vumbi la magari yakitimua yapitapo, moshi wa kutoka gari unatua ktk ngisi, samaki, mahindi, maandazi etc-tupo wima tunajichana hapo na inzi zimejaa-bado hatuelewi kuhusu madhara yake kula vichafu na ktk mazingira machafu. Matangazo na elimu kupitia TV, magazeti, mikutano na bado tunamwaga inyesi na juzi tulizika ndugu au jirani, rafiki. Ikifika mwisho wa mwrezi tunasafisha na kuyaacha hapo hapo na tunaendelea kutiririsha maji ya kichesi mtaroni.

Sasa hii ya SIASA ya vipindi kutolewa TBC kuelimisha jamii na kuona wabunge wao wanasema nini kuwatetea iwe issue? Kuokoa hela za kulipa TBC ni tatizo lakini kuchangia kusafisha mazingira yanayokuulia ndugu, mwanao-inakuta tata. Tunaandamana kutaka tuwaone wanavyolumbana, vijembe, kutoka nje ya bunge, kuonyesha ufahari wa kuongea kasimama anapiga meza, mikufu na mipete ya gharama inaghaa na kupinga lenye manufaa ili mradi uonekane umepinga, mzozo na vijembe vya kariakoo! Hii ni issue kubwa kwetu kuliko kuutumia muda ule kuandamana kwenda kusafisha kambi ya wazee, kusafisha mtaro na kutumia zile nauli kulipa lori liondoe taka na michanga tuliyotoa tulipozibua mitaro. Sioni umuhimu ya maandamano hayo bali ninaona ujio wa mapigano kati ya FFU na hao vijana na wananchi wasio makosa kupora hela, magari kuvunjwa na kung'olewa vioo; biashara kufungwa mapema kwa watu kujihami na vibaka kwani msafara wa mamba na kenge wamo. Hizo hela wapewazo na wahisani wa ndani na nje kutuletea fujo wafahamu ipo siku zitawatokea puani. Wamuangalie Mmarekani alivyoifanya Libya na Iraq. Waliojiunga nao wana raha gani sasa huko Libya kuliko alipokuwepo Gadafi? Mnategemea mtakimbilia USA-mtakufia kwenye boat tu baharini. Na msiombe Triuph awe Rais-hamtoingia.

Hoja ya TBC majadiliano yatolewe mchana wakati bunge kikiendelea haina mshiko. Yatolewe usiku sote tutakuwa tumeshajenga taifa tupo majumbani kasoro hao wa kukesha bar na michepuko. Kama kuna mbinu za kupunguza gharama wafanye tu kwani wananchi nasi huwa tunaongeza gharama kwa kuharibu miundombinu ya barabara, madaraja, mabomba ya Dawasa na mita za Tanesco lakini hatuyaoni haya. Kiboko yetu ni ZIKA sio Kipindupindu (tusicho kijali) au hayo mafunzo na hotuba-hatutekelezi yanayojiri. Rais awasikilize-mbona wao hawamsikilizi anapotutaka tujenge nchi kwa pamoja, kila mmoja atimize wajibu wake-tupo barabarani kutwa kundi kubwa chini ya miti. Kijijini hukai ukalima, vizee vikilima wewe ni wakwanza unajua sasa mahindi tayari kwenda kuiba kuyaleta DSM, kuvuna mpunga usiku, kukata miti na kuua wanyama pori kisha-bangi, viroba. Kuvisia watu usiku majumbani kuwaibia kisha-viroba. Hayo makelele ya Halima Mdee yanakusaidia nini wakati mwenyewe hutaki kujituma na kujisaidia. Hata wanaopewa ardhi kutoka mashamba ya katani au wanaovamia na kujigawia-wanajenga vibanda wanauza wanarudi mjini au kukaa barabarani kujenga within right of way or way leave. Tunajiendekeza vibaya kwa kufanya maandamano ndio tija. Rais usiwapokee safari hii wawekee JWTZ sio FFU tu!! Kisha-wazoe wapeleke gereza la  Makurunge Bagamoyo wakalime mpunga na miwa tuingize kipato.



--------------------------------------------
On Thu, 4/2/16, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Subject: [wanabidii] MAANDAMANO YA VIJANA WA CHADEMA: USHAURI KWA MAGUFULI:
 To: "mabadilikotanzania" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>, wanabidii@googlegroups.com, Wanazuoni@yahoogroups.com
 Date: Thursday, 4 February, 2016, 14:30


 Habari zimejitokeza tena kuwa jumamosi vijana wa CHADEMA
 wamekusudia kuandamana kwenda kwa Rais. Lengo lao ni
 kuishinikiza seriakli iiwezeshe TBC kutangaza mijadala ya
 bunge. Ninapenda kufikiri kuwa kuna haja ya Rais kuwapokea
 vijana hao. Wana hoja muhimu. Bunge kusikika wakati wote
 live. Serikali ilisitisha vipindi hivyo kwa sababu kadhaa
 ikiwemo ya garama. Nafikiri rais pia anahitaji kujua kutoka
 kwa kila mmoja wao amelipa kodi kiasi gani ili kuipa uwezo
 serikali kugarimia vipindi vya TBC. Kila kijana atakayekua
 ameandamana awe na ushahidi wa shughuli ambayo yeye anajua
 kwayo kuwa licha ya kumsaidia kujikimu lakini na serikali
 inapata kodi. Nina maana vijana watakaoandamana wahakikishe
 ni wakulima, wafugai, wavuvi, wana viwanda, au wanafanya
 biashara. Hii itatafsiriwea kuwa wanatetea kuona vipindi vya
 bunge ili kujua maslahim ya kazi zao yanazungumzwaje
 bungeni. Au Serikali nakusudia kufanya nini katika kazi
 wanazozifanya. Wanataka kujua wawakilishi wao wanateteaje
 maslahi yao.

 Ikitokea kati ya waandmanaji akawapo asiye na shughuli
 maalum apelekwe mahala wanakopelekwa wazururaji maana
 atakuwa ni mzururaji huyo. Haihitaji rais kupokea vijana wa
 mitaani wasio na wanachokitetea ili mradi wamepewa soda na
 walioshindwa uchaguzi.  Huenda hiyo ikawa dawa ya
 maandamani yasiyo na maana kwa vijana wetu kutumwa na
 walioshindwa ili kuipotezea muda serikali kufanya kazi zake.
 kati yao wapo ''watakaorudi kundini''.


  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

   

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya
  kudhibitisha ukishatuma

   

  Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility
  for any legal consequences of his or her postings, and
 hence
  statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you agree to this
  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

  ---

  You received this message because you are subscribed to
 the
  Google Groups "Wanabidii" group.

  To unsubscribe from this group and stop receiving emails
  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.

 --
 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:
 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 ---
 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.
 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment