Thursday, 18 February 2016

Re: [wanabidii] MAANDAMANO YA VIJANA WA CHADEMA: USHAURI KWA MAGUFULI:

Sawa imepitwa na wakati, kwahivyo Kama sikupata muda wakati ikiwa ni current news siruhusiwi kutoa maoni yangu baada ya hapo? Naomba mwongozo kwenye ukomo wa kuchangia tafadhali, mana wengine mlishachangia lakini na hii yangu nayo mmechangia.

Sent from my iPad

On 16 Feb 2016, at 15:21, Jeremiah Kibwengo <jerrykibwe@gmail.com> wrote:

mada ilishapitwa na wakati hii, tujifunze kujenga fikra mpya vichwani mwetu

2016-02-15 16:22 GMT+00:00 isack mchungu <isackmn1965@gmail.com>:

Wewe ni mmoja wao wa hao wenye hang over MTANGA Hilo jambo si limeishapitwa na wakati leteni mada nyingine, hiyo yoote ni uchama inawasumbua, twende na wakati hata waliotaka kuandamana walishasahsu nyie bado mmo tu leteni agenda mpya tujadili

On Feb 15, 2016 10:17 AM, "'noor mtanga' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Jamani humu inaonekana kuna watu bado wa hang over ya uchaguzi na matokeo yake. Ni kweli sio wote tumeyafurahia
matokeo, lakini ifike mahali tukubali sasa, tutafanyaje?

Hao wabunge wetu wanaotaka kufanyia campaign zao kwenye TV, tuwaambie wanunue vipindi maalum
vya TV waongee tuwasikie na kuwaona, mana wabunge sasa hawataki kuja majimboni kazi yao kupaza sauti tu ili tuwaone wanachangia.
Wananchi tunashida, viongozi hatuwaoni majimboni mpaka karibia na uchaguzi. Mimi mbunge wangu sijawahi mwona 
akija maeneo yetu zaidi ya kumwona kwenye TV, ninae mjua ni diwani tu, na ndio mana nilimchagua, mbunge simjui huwa namwona 
kwenye TV tu, so mimi hainisaidii, namwambiaje matatizo yangu huyo mbunge wa TV? Nilimchagua mbunge tofauti mara ya kwanza nikijua
labda yeye kwa zile kelele za bungeni atasaidia kufanya mabadiliko, matokeo yake sijawahi kumwona zaidi ya kelele za
bungeni tena wala hazungumzii kero zetu, yeye yuko kitaifa zaidi, kanichosha na sikupiga kura ya mbunge.

On Monday, February 8, 2016 1:16 PM, abdon mgina <abdonmgina15@outlook.com> wrote:

Bwana MUHINGO, yaonekana Wazi kabisa suala la UCHAMA umelishikilia Sana, na Limekuathiri/kukutawala kwa kiasi kikubwa Sana Akilini mwako

Kama kijana/mtu mpenda maendeleo na unajitambua kwamba Mimi Ni mtanzania na ninaakili Timamu sioni sababu ya kuingiza mambo ya UCHAMA katika Hoja unayoizungumzia
Huu tunaita Ni ulimbukeni; Tubadilike ndugu zangu, maendeleo popote pale yahitaji mshkamano, upendo, Imani, na Akili ya kujiongeza na C blandablanda za Kijinga.

Sent from my Windows Phone

From: Hosea Ndaki
Sent: ‎06/‎02/‎2016 23:38
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] MAANDAMANO YA VIJANA WA CHADEMA: USHAURI KWA MAGUFULI:

cha muhimu ni maendeleo kutizama bunge wakati barabara mbovu, maji hakuna, mahakimu hawatoshi, madaktari hawana ujuzi stahiki haina maana.
On Feb 4, 2016 7:12 PM, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Hivi Isack umeona bendera ya CCM usoni kwangu???
Kuna mgombeaa mmoja kijana wa chama fulani aligombea na kupata uenyekiti wa mtaa.
katika kampeni alikuwa anasema 'Mtuakija kwangu kushtaki swali la kwanza ni kujua anafanya nini na hii lazima ihakikiwe. watu wengine wanagombana kwa kuwa hawana kazi za kufanya ---------'
Sasa ndugu rais alipokuwa anapiga kampeni aliongelea kuwaendeleza wananchi wake kiuchumi hasa watu wa chini.
Bunge linajadili habari za maendeleo. Unafikiri kuna muda wa Rais kukaa na watu wasiona lakufanya kuwasikiliza eti ndiyo demokrasia??
Watu hawana kazi. wanataka kukutana na rais. wakitoka kesho waje wengine. na kesho kutwa waje wengine rais anakwenda kuwasikiliza? bado hujaona hoja yangu tu? Hutaki kuiona
--------------------------------------------
On Thu, 2/4/16, isack mchungu <isackmn1965@gmail.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] MAANDAMANO YA VIJANA WA CHADEMA: USHAURI KWA MAGUFULI:
 To: wanabidii@googlegroups.com
 Date: Thursday, February 4, 2016, 6:03 PM

 MUHINGO mimi
 naona huna hoja ya msingi! Ktk nchi mnayoiita ya
 kidemokrasia kuandamana kupinga/kupongeza jambo ambalo wao
 waandamanaji wanaona linamanufaa kwao wanayo haki hiyo bila
 kujali wanayo ajira au hawana, wawe wanalipa kodi au
 hawalipiHawaii, ndo maana Kokote duniani hata wasiolipa kodi
 huandamana!

 Tatizo lenu watu wa ccm mnajiona nyie tu ndo mna haki ya
 kufanya chochote ktk hii nchi wengine hawana haki lakini
 kaeni mkijua Mungu kuna siku ataigeuza shilingi.
 On Feb 4, 2016 2:30 PM,
 "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:

 Habari zimejitokeza tena kuwa jumamosi vijana wa CHADEMA
 wamekusudia kuandamana kwenda kwa Rais. Lengo lao ni
 kuishinikiza seriakli iiwezeshe TBC kutangaza mijadala ya
 bunge. Ninapenda kufikiri kuwa kuna haja ya Rais kuwapokea
 vijana hao. Wana hoja muhimu. Bunge kusikika wakati wote
 live. Serikali ilisitisha vipindi hivyo kwa sababu kadhaa
 ikiwemo ya garama. Nafikiri rais pia anahitaji kujua kutoka
 kwa kila mmoja wao amelipa kodi kiasi gani ili kuipa uwezo
 serikali kugarimia vipindi vya TBC. Kila kijana atakayekua
 ameandamana awe na ushahidi wa shughuli ambayo yeye anajua
 kwayo kuwa licha ya kumsaidia kujikimu lakini na serikali
 inapata kodi. Nina maana vijana watakaoandamana wahakikishe
 ni wakulima, wafugai, wavuvi, wana viwanda, au wanafanya
 biashara. Hii itatafsiriwea kuwa wanatetea kuona vipindi vya
 bunge ili kujua maslahim ya kazi zao yanazungumzwaje
 bungeni. Au Serikali nakusudia kufanya nini katika kazi
 wanazozifanya. Wanataka kujua wawakilishi wao wanateteaje
 maslahi yao.

 Ikitokea kati ya waandmanaji akawapo asiye na shughuli
 maalum apelekwe mahala wanakopelekwa wazururaji maana
 atakuwa ni mzururaji huyo. Haihitaji rais kupokea vijana wa
 mitaani wasio na wanachokitetea ili mradi wamepewa soda na
 walioshindwa uchaguzi.  Huenda hiyo ikawa dawa ya
 maandamani yasiyo na maana kwa vijana wetu kutumwa na
 walioshindwa ili kuipotezea muda serikali kufanya kazi zake.
 kati yao wapo ''watakaorudi kundini''.

  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya

  kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility

  for any legal consequences of his or her postings, and
 hence

  statements and facts must be presented responsibly.
 Your

  continued membership signifies that you agree to this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

  ---

  You received this message because you are subscribed to
 the

  Google Groups "Wanabidii" group.

  To unsubscribe from this group and stop receiving
 emails

  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment