Thursday, 4 February 2016

Re: [wanabidii] MAANDAMANO YA VIJANA WA CHADEMA: USHAURI KWA MAGUFULI:

MUHINGO mimi naona huna hoja ya msingi! Ktk nchi mnayoiita ya kidemokrasia kuandamana kupinga/kupongeza jambo ambalo wao waandamanaji wanaona linamanufaa kwao wanayo haki hiyo bila kujali wanayo ajira au hawana, wawe wanalipa kodi au hawalipiHawaii, ndo maana Kokote duniani hata wasiolipa kodi huandamana!
Tatizo lenu watu wa ccm mnajiona nyie tu ndo mna haki ya kufanya chochote ktk hii nchi wengine hawana haki lakini kaeni mkijua Mungu kuna siku ataigeuza shilingi.

On Feb 4, 2016 2:30 PM, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Habari zimejitokeza tena kuwa jumamosi vijana wa CHADEMA wamekusudia kuandamana kwenda kwa Rais. Lengo lao ni kuishinikiza seriakli iiwezeshe TBC kutangaza mijadala ya bunge. Ninapenda kufikiri kuwa kuna haja ya Rais kuwapokea vijana hao. Wana hoja muhimu. Bunge kusikika wakati wote live. Serikali ilisitisha vipindi hivyo kwa sababu kadhaa ikiwemo ya garama. Nafikiri rais pia anahitaji kujua kutoka kwa kila mmoja wao amelipa kodi kiasi gani ili kuipa uwezo serikali kugarimia vipindi vya TBC. Kila kijana atakayekua ameandamana awe na ushahidi wa shughuli ambayo yeye anajua kwayo kuwa licha ya kumsaidia kujikimu lakini na serikali inapata kodi. Nina maana vijana watakaoandamana wahakikishe ni wakulima, wafugai, wavuvi, wana viwanda, au wanafanya biashara. Hii itatafsiriwea kuwa wanatetea kuona vipindi vya bunge ili kujua maslahim ya kazi zao yanazungumzwaje bungeni. Au Serikali nakusudia kufanya nini katika kazi wanazozifanya. Wanataka kujua wawakilishi wao wanateteaje maslahi yao.

Ikitokea kati ya waandmanaji akawapo asiye na shughuli maalum apelekwe mahala wanakopelekwa wazururaji maana atakuwa ni mzururaji huyo. Haihitaji rais kupokea vijana wa mitaani wasio na wanachokitetea ili mradi wamepewa soda na walioshindwa uchaguzi.  Huenda hiyo ikawa dawa ya maandamani yasiyo na maana kwa vijana wetu kutumwa na walioshindwa ili kuipotezea muda serikali kufanya kazi zake. kati yao wapo ''watakaorudi kundini''.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment