Sunday, 14 February 2016

Re: [wanabidii] Kina nani wanaompinga Magufuli?

Ludovick bojo!
Acha kutonesha vidonda hivyo. Tunataka kwa pamoja kuanza kurasa mpya hayo yaache. Tujenge litaifa letu kwa umoja wetu katika vyomba vyetu.
--------------------------------------------
On Sat, 2/13/16, Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Kina nani wanaompinga Magufuli?
To: wanabidii@googlegroups.com
Cc: "Telesphor Magobe" <tmagobe@gmail.com>
Date: Saturday, February 13, 2016, 11:44 PM

Mama Nkya
wewe mwenyewe haukubali kukosolewa. Tulikuambia kuwa
ulijiongoza vibaya wakati wa Lowassa. Haukukubali kusikiliza
hata jambo moja.

Leo unasema wengine wakubali kukosolewa.
On Feb 13, 2016 7:02 PM,
"'Thomas Joseph' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Duh@
Nkya
Sent
from Yahoo Mail on Android

On Sat, Feb
13, 2016 at 18:52, Telesphor Magobe<tmagobe@gmail.com>
wrote: Asane
dada Ananilea Nkya! Kuogopa kukosolewa ni kasoro kubwa mno
kwenye uongozi wa nchi. Kama nilivyosema kwenye mchango
wangu wa kwanza ni kwamba hata kama mtu anafanya vizuri
akikosolewa na kukubali kukosolewa atafanya vizuri
zaidi. Kama angeridhika tu na hali yake asingeweza
kufanya vizuri zaidi! Hivyo, kumkosoa rais si kumkatisha
tamaa wala kutomtendea haki kwa vile bado ana muda mrefu
mbele yake! Bali ni kumsaidia afanye vizuri zaidi na
akishafanya vizuri zaidi, akikosolewa tena
ata'sustain' hiyo hali ili asirudi nyuma. Hali hii
ndiyo huwa inaleta maendeleo. Huwa wakati mwingine nachangia
kitu kilichotokea kwangu. Huwa nasema kuwa nilipoanza maisha
nilikuwa sina kitanda, meza ya chakula, TV, kabati la vyombo
na pia nilikuwa na pair moja tu ya viatu etc. House help
wangu akawa amepeleka habari kwa neighbours. Hivyo, baadhi
ya akina mama wakaanza kusema: "mtu mwenyewe analala
chini, hana meza ya chakula, ana viatu pair moja tu, hana
TV...etc." Mwanzoni iliniumiza, lakini nikaona
walichokuwa wanakisema siyo uwongo. Nilichofanya ni
kuorodhesha walivyosema sina, kisha kila nikipata hela
nilikuwa nanunua kimoja baada ya kingine na hatimaye wale
waliokuwa wakinicheka walijikuta nimewaacha nyuma
kimaendeleo. Ningekasirika na kuanza kujibizana nao leo hii
nisingekuwa na vitu nilivyoweza kununua baada ya kutafakari
kuwa sina na navihitaji pia. Hivyo, kwa kunisema, neighours
wangu walinisaidia/challenge na nilivyokubali nikapiga
hatua. Lakini ni kwa sababu mimi mwenyewe nilikubali kuwa
waliyosema kuhusu mimi yalikuwa kweli. Kujitambua ni hatua
muhimu sana katika maendeleo.

2016-02-13 17:34 GMT+03:00
'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Magobe
umetuweka sawa. Nakubaliana nawe asiyekubali kukosolewa pia
asikubali kusifiwa. Kwa maoni yangu kukosoa na kusifia vyote
vina mchango kwenye maendeleo. Lakini kiongozi wa umma
anayeweza kuleta maendeleo makubwa ni yule ambaye kwanza
yeye mwenyewe  anafiriki sana (ana original ideas zake siyo
siyo za kukopa) na yuko tayari kukosolewa na wengine
wanaofikiri tofauti naye---maana bila kukosoana tena kikweli
kweli bila unafiki--maendeleo ya kweli yawe ni ya mtu
binafsi ama ya taifa hayawezi kupatikana. Binafsi huwa
nawapenda sana wakosoaji makini wenye moyo wa uzalendo 
maana hao ndio wamekuwa wajenzi wakubwa wa taifa letu.
Wasifiaji mara nyingi ni walinda maslahi binafsi na
wamepungukiwa kitu kimoja muhimu katika uongozi unaoweza
kunufaisha walio wengi--ujasiri.

Ananilea Nkya

 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------

On Sat, 2/13/16, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] Kina nani wanaompinga
Magufuli?

 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Saturday, February 13, 2016, 7:58 AM

 Hakuna

 anayempinga! Kuna wanaomkosowa. Kupinga na kukosowa
hakuna

 maana sawa. Kukosowa ni kusema namna kitu kichenye
matokeo

 mabaya kingeweza kufanywa kwa namna tofauti na kuleta

 mafanikio chanya, au kitu kizuri kingeweza kufanywa kwa

 namna nyingine na kuwa kizuri kuliko au kitu kizuri
kuliko

 kingeweza kufanywa kwa namna ambayo kingekuwa kizuri
zaidi

 ya vyote. Kama kuna watu wanaoweza kumsifia rais kwa
yale

 anayofanya, kuna watu wanaweza pia kumkosowa kwa yale

 anayofanya. Kama kumkosowa rais si sahihi kwa vile
ameanza

 kazi muda si mrefu na bado ana miaka kadhaa ya kumpima,
basi

 hata kumsifia si sahihi kwa mantiki hiyohiyo. Kwa
upande

 mwingine, kupinga ni kuonyesha kuchukizwa na kitu

 kinachofanyika na kutaka kisifanyike. 

 2016-02-12 13:58 GMT+03:00

 'lang'itomoni lokomoi' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>:

 NI wazi kuwa

 siyo watu wote ni mashabiki wa uongozi na aina ya uongozi
wa

 Rais Magufuli. Ni

 wazi siyo wote walifurahia kuchaguliwa kwake na kwa
hakika

 si wote wanafurahia

 kile ambacho kinajulikana kama Operesheni Tumbua

 Majipu.

  Ni kufanya

 makosa

 kudhania kuwa watu wote wanafurahia au wanapaswa
kufurahia

 operesheni hii au

 kuchaguliwa kwa Magufuli. Wapo wenye kumpinga, na
wengine

 wameshajitokeza wazi

 kumpinga. Hili kwa kweli siyo la kushangaza na lenyewe
tu

 siyo habari.

 Swali kubwa

 ambalo linaweza kuwa habari ni kuwa hawa wenye kumpinga
ni

 kina nani na ni kwa

 nini. Je wote wenye kumpinga wanampinga kwa sababu
wanataka

 kitu kingine au

 wanampinga kwa sababu wanaona hawana jinsi isipokuwa

 kumpinga?

 Je, wenye kubeza

 serikali hii na uongozi wa Magufuli wanafanya hivyo kwa

 sababu wanafurahia au

 wanatamani ule uongozi uliopita au wanatamani uongozi

 mwingine ambao haupo na

 haujawahi kuwepo bado?

 Kwa maoni

 yangu, wenye kumpinga Magufuli wako kwenye makundi

 mbalimbali, makundi ambayo

 ama yanaunganishwa na baadhi ya mambo.

 Kundi la

 wapinga mabadiliko haya si yale

 Kundi hili

 naweza kusema ndio kundi lenye watu wengi wenye
kumpinga

 Magufuli na ambao

 watajitokeza wengi wakijionesha wanafanya kwa nia
njema.

 Hawa ni wale ambao

 mgombea wao alishindwa na Magufuli na ahadi zile za

 mabadiliko ya mtu mmoja

 yakakataliwa ndiyo yanasumbua kwa sababu bado hawaamini
kuwa

 mtu wao (siyo

 mabadiliko yao tu) alikataliwa.

  Kundi hili,

 haliwezi na halitakuwa na sababu ya

 kushabikia mambo yanayofanywa na Magufuli hata akifanya

 nini.

 Hawa mara

 nyingi ni watu ambao hawachelewi kuhamisha magoli.

 "Kama kweli

 Magufuli

 anatumbua si tuone kama atatumbua Bandari" wanasema.

 Bandari wanatumbuliwa na

 wao wanarudi "ah ile mbona rahisi sana kama kweli
anataka

 kutumbua Bandari si

 atumbue Uhamiaji tuone"; uhamiaji kunatumbuliwa na
hawa

 (hawakiri kuona

 kilichotokea bandari wala uhamiaji) wanarudi na goli

 jingine; "ah mbona yule

 kaonewa kama kweli ye mwanamme si aiguse Takukuru";

 Takukuru inaguswa mwisho

 wanakuja na kusema "Vipi escrow". Na itakapoguswa

 hawatakubali bado watatafuta

 goli jingine na jingine. Hawa ni wa mabadiliko yale;

 mabadiliko ya kuzungurusha

 mikono na hawako tayari kuacha kuzungurusha

 mikono.

 Tukumbuke

 neon kubwa la hawa wakati wa kampeni lilikuwa "CCM
iondoke

 kwanza mengine

 baadaye". Tatizo ni kuwa yale mengine yameanza
kutokea

 sasa wakati CCM iko

 madarakani na hili ni gumu sana kulipatanisha.

 Walijiaminisha kuwa yale

 "mengine" hayawezi kutokea CCM ikiwa madarakani na

 kwamba yanayotokea ni

 kinyume (antithesis) cha fikra zao zote na ndoto zao.
Hawa

 hawawezi kumuunga

 mkono Magufuli wala kushabikia mabadiliko haya.

 Kundi la

 wakosoaji hawa

 Lipo kundi

 jingine la wakosoaji 'hawa'. Hawa ni wakosoaji wa

 serikali. Hawa ni watu ambao

 kwao serikali ni ya kushukiwa wakati wote. Ni kundi
zuri

 sana kwenye utawala wa

 kidemokrasia kwani kundi hili halipendi geresha na

 mazingaombwe; ni kundi

 ambalo linawaangalia wanasiasa kama viongozi wa ngoma;

 wanajua wanafanya

 burudani na kuhakikisha watu wanapokea kwa kiitikio na

 manyanga. Wakosoaji

 "hawa" wao

 wanaweza kufurahia mabadiliko lakini wakati huo huo

 wanayashuku

 mabadiliko hayo; hawaamini nia za wanaotaka kuleta

 mabadiliko na hawachelewi

 kutafuta kasoro ili waweze kusema "aha si unaona
amefanya

 hivi tena".

 Kundi hili

 nalo kama kundi lile la mwanzo halitakoma; litaendelea

 kumshuku Magufuli,

 litaendelea kuhoji ukweli wake na malengo yake na

 halitochelewa kulia "kavunja

 katiba" "kaingilia Bunge" "kaingilia
Mahakama"

 "dikteta n.k". Ni kundi ambalo

 lipo kama mwiba wa lazima ili serikali isije kufikiri
au

 kuishi bila

 kuangaliwa.

 Kundi la

 waathirika wa haya

 Kuna kundi

 na ninaamini litazidi kuwa kubwa zaidi kwa siku

 zinavyokwenda; hili ni kundi la

 waathirika wa mabadiliko haya. Wale watu wanaopoteza
nafasi

 zao na watu ambao

 wanaaanza kuguswa na mabadiliko haya hawawezi kamwe
kuwa

 mashabiki wa yule

 ambaye amesababisha jamaa, ndugu, mabodi au marafiki
zao

 kuanza kuwa na maisha

 magumu.

 Kwa kadiri kwamba

 Magufuli anaanza kulazimisha uchumi wetu

 kujirekebisha ndivyo ambavyo wapo watu wengi ambao
walikuwa

 wamezoea kuishi

 maisha fulani na sasa maisha hayo hayapo tena; na kama

 baadhi ya mishahara na

 posho zitakavyofutwa – kama inavyotarajiwa – kwenye

 Bunge la bajeti ni wazi

 kuwa Magufuli atapoteza mashabiki na marafiki wengi; na
kwa

 vile hawa wanaweza

 kuwa wengi, kundi hili litazidi kumpinga na linaweza kuwa
na

 watu wengi ndani

 ya serikali na ndani ya chama tawala.

 Makundi haya

 matatu naamini ndio makubwa na yataendelea kuwepo kwa
kadiri

 ya kwamba Magufuli

 anaendelea na ajenda yake ya kusafisha utumishi
serikalini,

 kubana matumizi

 yasiyo ya lazima na kurejesha nidhamu na heshima kwa

 Watanzania.

  Siyo wote

 watafurahia na si wote watasimama na kuunga mkono. Nina

 uhakika hata wale ambao

 walipiga makofi kushangilia kutumbua majipu wanaweza leo
hii

 wasiwe tena wa

 kwanza kushangilia hasa baada ya wao wenyewe
kutumbuliwa.

 Bado kazi kubwa

 inakuja na ngumu zaidi lakini kama alivyosema Rais –

 "hakuna namna nyingine".

 Nina uhakika

 pamoja na watu wengi wenye kumpinga bado wapo wengine
wengi

 ambao nao

 wataendelea kuunga mkono na kumtia shime kwa sababu
tunajua

 kushindwa kwake ni

 hasara kwa taifa na vizazi vijavyo.

 Hili tusiliruhusu

 litokee. -

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment