Sunday, 21 February 2016

Re: [wanabidii] JINSI KARUME ALIVYOIUZA ZANZIBAR KWA NYERERE

Mtoa mada kaleta kitu cha kujadili. Tatizo tunaweza ijadili kwa hisia tukaacha uhalisia.
Kuutunza au kuuvunja ni suala lililo mezani inategemea kizazi kipi kitasema basi.
Hapa shida yangu ni wasomi kutotumia taaluma zao kutatua makosa. Fukia fukia ya moshi wakati haya mambo yanaongeleka italeta matatizo mbeleni.
Kuna kitu sikukielewa kwenye andiko, inamaana Nyerere alichukua udhaifu wa karume nachojiuliza alifanya hayo yote kwa manufaa ya nani?
Huwa nasoma watu humu wakisisitiza udumu wa muungano japo sina uhakika kama ni mazoea au sintofahamu.
Hakuna kisichoongeleka, kama nchi tukiacha siasa uchwara historia inarekebishika la tupo tupo twaishi kimazoea huku wengine wakituambia suala la muungano liacheni ni nyeti mara msilitibue....

On Feb 21, 2016 04:11, "Pascal Mayalla" <pascomayalla@yahoo.co.uk> wrote:
Ukibakwa ukatulia tuu, na kuendelea kuishi na mbakaji, na huku akiendelea kukubaka kila uchao, huku kunahesabika ni kuidhia!.

Pasco
 
From: 'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, 21 February 2016, 10:52
Subject: Re: [wanabidii] JINSI KARUME ALIVYOIUZA ZANZIBAR KWA NYERERE

Muungano nani aliutaka? Ukilazimisha watu kuungana watafika wakati watengane kwasababu ndoa ya lazima ni ubakaji.

Sent from Samsung Mobile

-------- Original message --------
From: De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] JINSI KARUME ALIVYOIUZA ZANZIBAR KWA NYERERE

Binafsi sijawahi kuelewa ni wapi haswa Hizbu, CUF na SEIF wanataka kuipeleka ZANZIBAR!!
Hapa kuna nguvu nyingine ya ziada inahitajika. Lakini baada ya kutumia nguvu shurti kero za muungano zishughulikiwe mapema. TUSIKUBALI KUVUNJA MUUNGANO, TUTAWAACHA NDUGU ZETU KWENYE MANYANYASO NA SHIDA.
Ila Hakika haya mambo yatakaa sawa.
Mimi naona ni kujisahau tu!! Tumesahau wapi tumetoka, na wa-bara wasioijua historia wanapigia debe gari wasilojua linaelekea wapi.
Sijaandika ili nieleweke…….
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment