Baba wa Taifa alipomuuliza Mzee Karume-Jee watu wako wameridhia? Alijibiwa-wewe changanya tu mchanga hayo ninayajua mimi! Anayetaka abaki asiyetaka muungano ahame! Wakati huo mvutano ZNZ mwingi pia wa wanaojiona wao waarabu na wengine waafrica. Akawaambia-anayejiona yeye mwarabu aende Oman anayejiona yeye mwafrika abaki kama muunguja au mpemba au mzanzibar. Historia yetu tunaijua wote tutaishi kama wazanzibar na watanganyika ni ndugu zetu. Badala ya kuwa chini ya bara arabu au chini ya UK aliona bora kuwa pamoja na watanganika nchi akaja kuitwa Tanzania. Ni sawa na Kusema Mombasa, Lamu isiwe chini ya Kenya. Kilwa Kisiwani, Mafia na visiwa vyake 7 vyote viwe huru vijitawale kwani vilikuwa chini ya utawala wa wafalme huko na utumwa wa aina yake. Na bado kuna jengo Mafia watumwa kiasi cha 200 walizingwa chini ya jengo Tanganyika (Mainland GVT) haijafukua. Ukerewe nayo iwe husu. Kagera nayo irudi Uganga, wangoni tuwarudishe South Africa waondoke; Wasukuma warudi Chard kwa huyo Rais muuaji ndiko walikotoka-Tutafika? Kila mmoja arudi alikotoka basi atuachie ardhi yetu. Usitake Uhuru ule kwa wenzako na raskimalizao halafu usitake umoja au muungano ujione wewe bora zaidi. Tafakari madhara ya kuvunja Muungano kwamba nawe itabidi UHAME kwa wenzako, wakutenge kama wewe unavyowatenga. Ukitaka kuja kuona ukoo na ndugu zako Rufiji au passport-ujaze form Idara ya Uhamiaji na utapewa siku chache na utalipia na uwe na passport. Karume alijua historia yake, alijitambua na alikuwa mpenda maendeleo. Wengine hao waupingao muungano ni ubinsfsi, njaa itawaua, misifa, kupenda madaraka, hawajitambui. Badala ya kukaa kujadili na kufanya maendeleo wanapoteza mamilioni kusafiri na kugharimia uharibifu.
Hata watanzania Bara hatujitambui. Kazi yetu kusafirisha na kuhifadhi wahamiaji haram, majangiri, kutoa mwanya wa bandari bubu kusafirisha magendo kuleta na kutoa nchini kuiweka nchi yetu katika umasikini, Kupenda rahisi rahisi kuliko kuzamisha mali kwa kujituma na kujiunga vikundi endelevu. Story kijiweni, uzembe na lawama ndio tija kwetu. Kuanzia asubuhi kijijini tumekaa, stori, tunacheza mpira wa meza au bao la vizibo vya chupa, kila jibaba kitako au juu ya bodaboda bila ya kuwa hata na shamba la mazao ya chakula na biashara ekari moja ni kutegemea bodaboda tu. Tunawaona wana magari ya mabilioni na ktk ekari moja kajenga mighorofa 6 ya mabilioni anapangisha wachina, wazungu kwa kuiibia serikali. Wanatoka Oman wana mijengo na biashara Bagamoyo, Tanga, mashamba Kilombero, Salasala kwa connections za ndugu zao bongoland visiwani wanaofanya connection Bara. Halafu-Karume kauza nchi! Mbona huku bara mmejazana na sasa watokao uarabuni wanamiliki ardhi bara kwa kupitia udugu alioujenga Karume? Ilala Boma hadi Bungoni Buguruni NHC houses zimenunuliwa nao mighorofa na mijumba ya kisasa imesimama. Wabongo waliopewa houses hizo za NHC wamehamia bondeni Mchikichini-Yanga, Vingunguti kwenye reli na mabwawa ya kinyesi na bondeni Kigogo Sukita na Tabata. Kariakoo, Mtoni, Mbagala, Keko wananunua maeneo, majumba, wanahela, wanaweka mijengo na biashara za madela, spareparts za magari, pikipiki, baiskeli etc. Halafu-tunaonewa, hatuutaki muungano, Karume kaiuza TZ. Nyerere ndio katuingiza katika mgogoro na kuiuza Bongoland!!
Kama Kawa
--------------------------------------------
On Sun, 21/2/16, 'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] JINSI KARUME ALIVYOIUZA ZANZIBAR KWA NYERERE
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, 21 February, 2016, 18:52
PascoInategemea
ukabakwa kwa vitisho kama wasichana 200 wa Boko Haramu.
Tuseme nao wameridhia. Muungano wetu haujawahi kutulia
kwahiyo hakuna kuridhia hapa.
Sent from Samsung
Mobile
-------- Original message
--------
From: Pascal Mayalla
<pascomayalla@yahoo.co.uk>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] JINSI KARUME
ALIVYOIUZA ZANZIBAR KWA NYERERE
Ukibakwa
ukatulia tuu, na kuendelea kuishi na mbakaji, na huku
akiendelea kukubaka kila uchao, huku kunahesabika ni
kuidhia!.
Pasco
From:
'jbifabusha' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
To:
wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, 21
February 2016, 10:52
Subject: Re:
[wanabidii] JINSI KARUME ALIVYOIUZA ZANZIBAR KWA NYERERE
Muungano
nani aliutaka? Ukilazimisha watu kuungana watafika wakati
watengane kwasababu ndoa ya lazima ni ubakaji.
Sent from Samsung
Mobile
-------- Original message
--------
From: De kleinson kim
<dekleinson@gmail.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] JINSI KARUME
ALIVYOIUZA ZANZIBAR KWA NYERERE
Binafsi sijawahi kuelewa ni wapi haswa Hizbu, CUF
na SEIF wanataka kuipeleka ZANZIBAR!!
Hapa kuna nguvu nyingine ya ziada inahitajika. Lakini baada
ya kutumia nguvu shurti kero za muungano zishughulikiwe
mapema. TUSIKUBALI KUVUNJA MUUNGANO, TUTAWAACHA NDUGU ZETU
KWENYE MANYANYASO NA SHIDA.
Ila Hakika haya mambo yatakaa sawa.
Mimi naona ni kujisahau tu!! Tumesahau wapi tumetoka, na
wa-bara wasioijua historia wanapigia debe gari wasilojua
linaelekea wapi.
Sijaandika ili nieleweke…….
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment