[wanabidii] Machine ya MRI ya Muhimbili yaanza kufanya kazi leo Novemba 11, 2015 saa tisa mchana
Tayari agizo la Magufuli limetekelezeka kwa kasi na kiwango, ile machine ya muhimbili yenye utata ilimfukuzisha mkurugenzi muhimbili, imeanza kufanya kazi baada ya mafundi kutoka kampuni ya philips kuifanyia matengenezo.
0 comments:
Post a Comment