Thursday, 5 November 2015

Re: [wanabidii] Zanzibar; Kinachopaswa Kutafutwa Ni Maridhiano..

Hebu tusaidieni ea Tanzania wenzetu.  hivi Maalim kujitangaza kuw aneshinda  !  ni sawa? katiba inasemaje pale? si ndie chanzo cha mtafaruk.  sasa ki uhalisiia alitegemea. mwenyekiti wa Uchaguzi amwogope  ??  angefanyaje baada y a hilo?    " Hata kama ningekua mimi ninge  mwaga mboga  kama alivyo mwaga ugali !!!!

ernest

Sent from my Samsung device

-------- Original message --------
From: 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Date: 11-05-2015 4:22 PM (GMT+03:00)
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] Zanzibar; Kinachopaswa Kutafutwa Ni Maridhiano..

Tuendako kama taifa ni balaa kubwa kubwa. Tunafundisha watoto na wajukuu zetu kwamba madaraka hayapatikani bila wizi! Mbinu za wizi zikikwama tafakari kitakachofuata.

Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Tue, 11/3/15, 'Lesian Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Subject: RE: [wanabidii] Zanzibar; Kinachopaswa Kutafutwa Ni Maridhiano..
 To: wanabidii@googlegroups.com
 Date: Tuesday, November 3, 2015, 11:36 PM
 
 Zanzibar wasipompa seif
 ccm ilaumiwe
 Ubabe na kuforce as if nchi
 bila ccm haiwezekani bwana,hapa bara mmekimbiza kuforce kama
 watu hawawaoni,aibu kubwa ever seen
 Masanduku ya kura yanakamatwa inapoozwa inakua
 sio story,aaaghh hii nchi natamani nisiwe mtanzania
 kabisa
 Viongozi wakubwa wenye phd wana akil
 za ajabu kabisa
 Leo wanamkimbiza tb joshua
 kumwomba edo msamaha....kesho watampelea sjui na
 zanzibar..tunakoelekea ni kuzimuuuuuu
 Lesian
 
 Herment
 Mrema <hmrema11@hotmail.com> wrote:
 
 Majid;
 
 Tuwe na mapenzi mema na
 Tanzania yetu na tuache unafiki kama anavyosema Rais Mteule
 Dr. Magufuli.  Tuwe wakweli na tuachane na ushabiki wa
 kichama.  Unataka uchaguzi urudiwe kwa sababu zipi? 
 Sababu zote ziwekwe mezani kama zipo zichambuliwe tuangalie
 zile zinazoweza kushughulikiwa kwenye vituo husika na
 kushughulikiwa kutokana na sheria zilizopo na kama ambazo
 zitahitaji zishughulikiwe kwa kuitisha uchaguzi zieleweke. 
 Hii itasaidia kwa kila mpiga kura ajue kwa nini anatakiwa
 kupiga kura mara ya pili na kupiga kura huko ni kwa maslahi
 ya Taifa la Tanzania na si vinginevyo.
 
 Tufahamu kwa sote sisi ni binadamu tunahitaji
 haki sawa na hapa duniani tunapita tuu.  Ni wajibu wetu
 kufanya kila liwezekanavyo kuhakikisha kuwa tunaacha dunia
 na Tanzania yetu ikiwa na neema zaidi kuliko tulizozikuta
 ili ziwafaidishe wajukuuu, vitukuu na vilembwe wetu waseme
 kweli waliotanguliwa hawakutuangusha.
 
 Ni vyema tukatafakari sana sana ni kipi cha
 kufanyia kwa nchi yetu kwa manufaa ya nchi yetu na sio kwa
 manufaa ya kikundi kichache au kwa ajili ya nafsi zetu.
 
 Tuendelee kuomba Mungu
 atuonyeshe njia
 
 Herment A. Mrema
 
 Date: Tue, 3 Nov 2015
 12:02:23 +0300
 Subject: Re: [wanabidii]
 Zanzibar; Kinachopaswa Kutafutwa Ni Maridhiano..
 From: kitigwa@gmail.com
 To:
 wanabidii@googlegroups.com
 
 Sioni sababu ya
 uchaguzi kurudiwa Zanzibar, kilichobakia ni kumtangaza
 aliyeshinda kwa halali, maaana wasimamizi kutoka nje
 walikuwepo ila kuna chama kisichotaka kushindwa
 wamtangaze mshindi aliyeshinda kwa
 halali
 Haki huunua taifa
 
 2015-11-03 5:31
 GMT+03:00 Faiza Hassan <wasitara@gmail.com>:
 Kudos Maggid for
 well done analysis of this impasse in Zanzibar. I concur
 with you.
 On Nov 2, 2015
 11:22 PM, "Maggid Mjengwa" <mjengwamaggid@gmail.com>
 wrote:
 
 Ndugu
 zangu,Nafuatilia
 kinachoendelea Zanzibar. Siioni namna nyingine ya kumaliza
 kadhia iliyotokea bali kwa pande mbili zinazokinzana
 kukubaliana kurudia uchaguzi. Walokosea wawajibishwe,
 lakini, hakuna namna nyingine yeyote ya kuhalalisha matokeo
 yatakayotangazwa baada ya uwepo wa kadhia, isipokuwa, kwa
 zoezi zima kurudiwa upya ikiwezekana chini ya uangalizi pia
 wa watu wa kutoka nje. Hivyo, kazi kubwa sasa na iwe
 kuyatafuta mariadhiano ili
 Zanzibar isonge mbele kutoka kwenye hali ya 'political
 impasse' iliyopo sasa.Na ni heri kuyatafuta maridhiano kwanza kabla ya
 kuingia kwenye majadiliano, kuliko kuyatafuta maridhiano
 baada ya kuingia kwenye kugombana. Na MARIDHIANO ndio msingi
 wa UHALALI wa SULUHU itakayopatikana baina ya CUF na
 CCM.Maana, tusipotanguliza busara, hekima na
 maslahi ya taifa, yumkini yaweza ikawa kama yale aliyopata
 kuyasema miaka 60 iliyopita, mwandishi yule mahiri,
 Mtanzania mwenzetu Shaaban Robert, aliandika; " Wasadikika
 wana desturi ya kutafuta fimbo baada ya kuumwa na nyoka.
 Tumekwisha umwa na nyoka wa matendo yetu mabaya ya
 zamani.Nyoka mwenyewe amekwishakimbia.
 Hapatikani kwa kujilipiza kisasi, lakini, sumu yake imebakia
 katika jeraha tulilolipata. Sasa, shauri lililo jema ni
 kuzuia sumu hii isienee miilini mwetu ikaleta kifo.Maovu yana hatari kubwa kukaa kati yetu. Tumedumu
 nayo kwa muda mrefu. Hayakutuletea faida ila hasara, huzuni
 na kilio siku zote."- Shaaban Bin Robert.Na Mwanafalsafa Aristotle alipata kuandika, kuwa
 sifa kuu ya Ufalme ni Mamlaka, maana, Ufalme huwa ni sawa na
 Umungu Mtu. Ufalme huzaa despotism. Na HEKIMA ni sifa kuu ya
 Aristocracy, kwa maana ya tabaka la Uongozi . Naam, kiongozi
 sharti awe ni mtu mwenye hekima.Na viongozi
 wanapokosa hekima wanaingia kwenye hali ya kuwa
 Ma-Oligarchy. Hiki ni kikundi kidogo cha wateule lakini
 waliojaa ubinafsi na choyo kubwa. Ni watu wasiojali maslahi
 ya umma bali ya kwao binafsi na kikundi chao.Na sifa kuu ya Demokrasia ni ridhaa ya jamii. Naam,
 Demokrasia hujengwa katika msingi wa mariadhiano.
 Ikikosekana hali hiyo, ndipo makundi ya kuhasimiana
 huzaliwa, na hupelekea kuzaliwa kwa kinachoitwa ' mob
 tyranny', yaweza kusemwa uharamia au uongozi wa kimabavu
 wa kikundi fulani katika jamii.Hivyo basi,
 Mwanafalsafa Aristotle anapendelea zaidi uwepo wa
 kinachoitwa ' Polity' aina ya utawala wa
 mchanganyiko. Utawala wenye kuhakikisha makundi yenye
 kuhasimiana yanapata fursa ya kugawana madaraka ili kuwepo
 na ' checks and balances'- kwamba kuwepo na hali ya
 kudhibitiana. Ndio msingi pia wa mgawanyo wa madaraka. Nchi
 lazima isonge mbele.Maggid,Dar es Salaam.0754 678 252
 
 --
 
 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
 Kujiondoa Tuma Email kwenda
 
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
 Disclaimer:
 
 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.
 
 ---
 
 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.
 
 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
 
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma
 
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment