Lokomai. Watu kama hawa wako pande zote. Nakumbuka kutoa mada humu ikiongelea mambo matatu niliyoyaona katika hafla ya kumkabidhi cheti mshindi. Niliwashangaa wanaCCM wenzangu walioenda na mavazi ya CCM siku ile. Nilisema kazi mojawapo ya kwanza ya serikali ya magufuli ni kututoa ushamba huo. bado kuna wanaUKAWA wanaojoona wameshindwa sana utafikiri huu haukuwa ushindani. Ushindani uliotarajiwa mtu mmoja tu ashinde.
Tunahitaji kumsaidia rais wetu kujenga chi yetu. Tunahitaji kusahihisha makosa yaliyofanywa na vyama katika uchaguzi uliopita. Hatuhitaji kuzomeana tena. Vinginevyo hatutafika tunakotaka kwenda.
--------------------------------------------
On Sun, 11/8/15, 'lang'itomoni lokomoi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: [wanabidii] Wana CCM na wana UKAWA tulieni tujenge Tanzania yetu
To: "ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, November 8, 2015, 10:15 PM
Wana CCM na wana UKAWA tulieni tujenge
Tanzania yetu
Ni ukweli ulio wazi kuwa Dr. John Pombe Magufuli ndo
raisi wa
JMT...ni raisi wa watanzania na sio raisi wa CCM...whether
tunampenda au
hatumpendi yeye ndo rais...whether tulimchagua au
hatukumchagua ila ndo
ameshakuwa...hatuna budi kusahau maumivu na maisha
yaendelee tujenge
nchi yetu.
Kinachonishangaza
hawa wenzetu wa ccm ni kama wamejimilikisha
rais,wanaona kama ni wa kwao wao ndio maana hawaishiwi
mipasho,full
kuzodoana hata kwenye mambo ya kawaida yanayohitaji
majadiliano ya
kawaida.... Wanamabadiliko tumekuwa kama wakimbizi nchi
hii..
Huku
mtaani hawaachi kuimba zile nyimbo zao za
'tumejipanga,mwaka huu
wataisoma' Mmejipanga kwa lipi tena au mmepanga
kutusomesha kwa lipi?
Acheni hizo wadau..... Rais ili afanikishe mipango yake na
ili atimize
ilani ya chama chake anahitaji ushirikiano wa kila Mtanzania
kwa nafasi
yake...sasa mambo ya kuimbiana mipasho wakati uchaguzi
umepita mnataka
kutengeneza Tanzania ya namna gani?
Mnataka
tuendelee kugawanyika kwa
misingi ya kisiasa wakati Tanzania yetu moja ili iweje?
Msidharau 40% ni
kubwa sana kama kundi hili la watu likiamua kuwanyima
ushirikiano.
Majadiliano
ya kwamba Magufuli anafaa au hafai kwa kipindi hiki mimi
naona hayana tija maana kampeni zilishaisha na mtu
ameshaapishwa....binafsi watu wanaonitumia vimeseji vya
kumsifia au
kumponda Magufuli nimewapiga stop... Huu sio muda wa
kusifiana au
kudongoana,mtu hajamaliza hata wiki tangu aapishwe,utendaji
wake
hatujauona hebu tuweni na subira then tuone utekelezaji wa
yale
aliyoyasema.
Ushauri
wangu kwa wana-UKAWA naomba tuwe watulivu japo najua tuna
maumivu ila tujitahidi kurudisha moyo nyuma na tuwape
ushirikiano
viongozi wetu waliochaguliwa..... Tuijenge Tanzania
yetu,mabadiliko
tunayotaka yanaweza kutokea hata chini ya viongozi
hawahawa.. ila hatuwezi kusubiria miaka mingine mitano
tukingoja
mabadiliko....mabadiliko yanaweza yasitokee kwa kiwango kile
tunachotaka
sisi ila ni lazima tuhakikishe walau tunasogea hatua
kadhaa.
Mimi yangu ni hayo tu...na huo ni ushauri wangu
kwa watanzania wenzangu.
Ukiona nimeandika pumba au post hii haijafikia kiwango
chako pita
kimyakimya.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment