Friday, 6 November 2015

Re: [wanabidii] URAIS WA DR. MAGUFULI, NI FUNZO TOSHA KWA WENGINE

Kwa uteuzi wake wa  Mwanasheria mkuu wa serikali Magufuli ameshadhihirisha kuwa ni wale wale. Sitegemei lolote jipya kutoka kwake.
em

2015-11-06 12:00 GMT-05:00 De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>:

Hosea
Uko right tukiangalia kwa jicho la kati swala la  viongozi wanavyopatikana.

Lakini kwa Magufuli kuletwa na Uncle Ben ni neema kwetu. Ni nani angeweza kutuletea kiongozi mzuri kati ya CCM ya  KIKWETE na UKAWA (so called)?

Magufuli ana historia nzuri kwetu. When we give priority, it takes a lot of it on someone. Hakuna sehem kiongozi yeyote hata wa dini avunje sheria zinazomzunguka then apewe nafasi, tena kubwa!!!

It was a CASINO gambling, and as the  table he was on our side. Nitajivunia neno MKAPA kama tutapata maendeleo chini ya uongozi wa Magufuli.
Nitamsifu MKAPA kuliko MAGUFULI na uwezo wake. Uncle Ben hana la kupoteza tena. Hana wezi nyuma yake!! hajamweka kwa maslahi ya viongozi flani waneemeke. Hana watoto na wandugu wengi anaowahangaikia kupata mali. He is a lonely man, we must count that!!!

Mkapa did the best OF the best and i will defend that anywhere.
Nchi zote huendeshwa na magenge ya watu/mtu nyuma ya siasa!! only that zilizoendelea zina mtandao wa magenge/mtu mwenye kujali maslahi ya wananchi husika. Fikiria tu historia ya CHINA hii tunayoitamani.

Magufuli akifanya vizur, atakuwa kwenye list yetu!! Lazima tamaduni, mila, desturi na maendeleo yake visimamiwe na watu wazuri. Magenge ya kina Mbowe, Zitto na wengimeo ni watu wa kuwaweka kama acquaintance. Watuletee changamoto na kutuamsha mpaka pale tutakapopata wazalendo wa kweli hata wakitokea nje ya CCM.

Mbowe katufanyia kitu mbaya sana, watu hawaoni tu. Alikuwa anatuzamisha kwenye shimo kama angekutana na akili za watanzania wa 95.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment