Hakuna akina Karume wanoitaka Cuf kushinda. Maoni ya Mrs. Fatma O. Awadh (nee Fatma A. Karume) ni maoni yake mwenyewe. Napendelea demokrasia iendelee lakini Rais asichaguliwe na kura za wizi kama wanavyotaka Cuf. Tunataka a free, fair and transparent election. Kilichotokea Pemba ni massive rigging and electoral fraud. Hilo halikubaliki.
________________________________________
From: wanabidii@googlegroups.com <wanabidii@googlegroups.com> on behalf of Leonard Chauka <leonejchauka@gmail.com>
Sent: Friday, October 30, 2015 3:25 PM
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Cc: wanabidii; Wanazuoni@yahoogroups.com
Subject: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Uchambuzi: Zanzibar Inaumiza Kichwa..
Kuna siku nilisema, watu ambao hawana data za kutosha wasiandike kuhusu jambo kwa sababu watatoa taarifa ambazo hazina ukweli. Hizi hoja za U-Hizbu, zinatumiwa na watu wa CCM kuwagawa Wazanzibari. CCM haitakiwi Zanzibar. Hivi Mzee Moyo, akina Himid akina Karume ambaye kutoka moyoni anaitaka CUF lakini maslahi binafsi ndiyo yanamchelewesha tu, Fatuma yeye ashachukua kadi tayari, je hawa ni wapemba? Kama sio, u
Hizbu na u ASP unatoka wapi? Hata Kama u- Hizbu umekuwa na nafasi, Kama wananchi walio wengi wanautaka, tatizo liko wapi, si ni demokrasia?
Sent from my iPhone
> On 30 Oct 2015, at 13:58, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:
>
> Hizbu
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment