Friday, 13 November 2015

Re: [wanabidii] Machine ya MRI ya Muhimbili yaanza kufanya kazi leo Novemba 11, 2015 saa tisa mchana

Fadhili, Rais hawezi kuingia kila ofisi ya kila sekta. Akae na viongozi/wakurugenzi aongee nao na kuweka mikakati mipya ya maendeleo ya haraka. Vibaka ni wengi hata private sekta Tanzania. Vijana wadogo mabwana fedha baada ya ajira muda mfupi wana magari ya kushangaza ya gharama za juu kwa kufisadi pesa za mafao, za kupeleka NSSF, PPF na bima- NIC. Wakati mwingine fedha kwa mashirika ya serikali zinaliwa na baadhi ya watumishi wajanja. Badala ya kufanya repair ya mashine kama hiyo ya muhimbili-pesa zinatumika kugharimia semina na safari zisizo maana. Kikao kidogo-posho bahasha nene. A posho diseases ni kubwa TZ. Ukitaka kuongea na wabunge walio bungeni kuwakilisha masuala fulani-unayoposhoa ya kuwalipa? hata kama wamelipwa siku hiyo wewe kikao chakp jioni hiyo uwe na posho pia. Kumchukua Afisa wa wilaya wa sekta fulani au uwaite uwe na presentation upate comments zao-uwalipe posho kubwa kwa vyeo vyao. Nao wapo kazini muda wa saa za kazi na labda utawapa luch na soda/maji lakini NO! Wanataka posho-DED 60,000/= maafisa wengine 30-45,000/= mweyekiti wa Council naye 60-65,000/= etc kiasi kwamba mnabidi presentation muiache kwa kuwa hamna hela za kuwapa, hazipo ktk bajeti. Wageni wanatushangaa. Bosi hata kama hawezi kuhudhuria-bahasha yake budi apelekewe. Hii posho-bahasha disease sijui kama itaisha.

Mishahara ya wafanyakazi wa private sector midogo kuliko ya serikali. Wafanyakazi hawana protective gear. Hasa viwanda na kampuni zinazomilikiwa na wabongo utata huu mkubwa. Ukiangalia kampuni ya ujenzi toka nchi za nje (scandinavians, Japan) tofauti na za kwetu. Hao Wachina nao-wanaiga waswahili wa bongo. wafanyakazi wao pekupeku. Unaweza kukuta kiwanda cha nondo hawana vivalo vya kujikinga na nondo kuwatoboa na kuwaua mara mkwa mara, wanabwia vumbi nyekundu la chuma hawazibi pua. Ukimuliza eti jioni anakunywa maziwa! Kuna uatata akipewa protectibve gear-haivai, eti inamzuia kuongea hiyo ya pua na kinywa, kuvuta sigara kama kawa kwenye vumbi. Kampuni za kigeni usipovaa protective gear-utafukuzwa kazi.

Wale ambao wanafagia usiku maeneo ya kariakoo, kisutu-hawawezi hivyo tena kama zamani kwani wanaporwa gum boots, toroli, mifagio, reki na vibaka wawafuatao kwa makundi. Ni sisi kwa sisi. Kama ana protective gear na vifaa vya kazi hivyo-wanampora lakini wengi wanafagia na kuzoa taka bila vifaa vya kujilinda, waashika sumu za panya zinazotupwa jalalani, madawa ya mashamba yaliyotupwa etc. wanaganyaga madawa haya mabaya majalalani majumbani na dampo na juu ya gari iliyojaa taka wanayopanda wakakalia takataka. Magari hayana maeneo ya kukaa wapakia taka kama magari ya ulaya. Na ni hao wanaokusanya nyanya, matango, machungwa na nyama mbaya zilizotupwa kuwauzia baba na mama ntilie.

Viongozi wa vyama vya wafanyakazi wanajali tumboni street hata mikopo ya wafanyakazi wao hujikopesha wenyewe kutoka Saccos ya Kiwanda au ofisi. Hawabadilishiki ni kugombea wao kila kukicha na kujipendekeza kwa viongozi na kuchongea wenzao ambao huwa wakali kudai haki na taarifa za fedha za ushirika wao au haki za maslahi.

Lakini, inapofika kazi kuwa ni ya muda mfupi mtu kuacha baada ya miezi mitatu-mtu mwenyewe anaomba asiachishwe kila baada ya miezi mitatu na anakubali kubadili jina kila baada ya miezi 3 kwani kiwanda hakina hela ya kulipa pensheni kama itawachukua kuwa huyo ni mfanyakazi wa kudumu badala ya kuwa kibarua/vibarua. Wanalifahamu hilo lakini utaona wanakuja kudai kuwa-alikuwepo zaidi ya mwaka+ Kumbe ni njaa au hitaji la hela alikibali kubadilibadili majina ya kazi ya kibarua. Kama ni NSSF, PPF hela hazipelekwi basi mashirika husika yakague kuona ktk list ya viwanda na taasisi zote wafanyakazi wameingizwa na hela zinafika kama hazifiki watoze na interest ya faini kwa kiwanda kwa miezi ya ucheleweshaji.

--------------------------------------------
On Fri, 13/11/15, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Machine ya MRI ya Muhimbili yaanza kufanya kazi leo Novemba 11, 2015 saa tisa mchana
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, 13 November, 2015, 16:41

Magufuli nenda mbaga
sekta binafsi huko nako watanzania wako wanateseja sana
haswa wafanyakazi wa viwandani wanahujumiwa na vyama vya
wafanyakazi pamoja na mifuki ya hifadhi ya jamii haswa ppf
na nssf.
On Nov 12, 2015 5:59 AM,
"'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Punda haendi mpaka kwa nyenzo. Na ikiangaliwa, watakuta kuna
hela za matengenezo kibao zilizoidhinishwa na kutolewa
lakini mashine haikutengeneza. Isipokuwa-wachache waligawana
fedha wakala. Bajeti ya matumizi kubwa lakini repair husika
hazifanywi. Huyo ndio mtanzania. Anajitafuna mwenyewe. Kisha
kulalama tu wakati sote tunawajibika kuzingatia ethics za
kazi tuipende nchi yetu. Haya sasa na ujambazi unaanza
kupanmba moto kuipa kazi serikali iliyo madarakani.

Nidhamu ya woga tuiache. Yaani hufanyi kazi husika
inavyotakiwa mpaka usimamiwe? Hao wafao ni ndugu zako na
watanzania wenzako. Sote tubadilike ili juhudi za Rais wetu
zifanikiwe. Bado tunataka sio wafanyakazi tu wabadilike, na
wale waliojiajiri wenyewe kuzingatia sheria na misingi ya
maisha bora, wakulima na wafugaji, wavuvi na wakwezi. Pia
Madiwani na Wabunge pale walipo katika kuhamasisha maendeleo
ya wananchi wao na kuwaelimisha majukumu yao ili kuwe na
maendeleo. Sio yeye anaranda na mgari kujionyesha kuongeza
wake na watoto kwa kutumia cheo na nafasi zake au kushinda
bar na vilabuni. Mijengo ya vilabu katika kijiji watu
wanywapo pombe kutwa eti vinamilikiwa na DIWANI?!!!!!

Bado kazi ipo. Tunasubiri Baraza lake la Mawaziri, viongozi
atakaochagua Kiwilaya, Kimkoa  na awape semina ya mambo
atakayo na mkakati wa uwajibikaji atakauotumia
kuwashughulikia ili wawajibike. Mbio zake hizi wao nawe wawe
wanazifanya katika maeneo yao. MTU NI KAZI NA KAZI YA
UWAJIBIKAJI NA YA UFANISI MZURI NDIO UHAI.

--------------------------------------------

On Thu, 12/11/15, 'Dominick Rukokelwa' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] Machine ya MRI ya Muhimbili
yaanza kufanya kazi leo Novemba 11, 2015 saa tisa mchana

 To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Thursday, 12 November, 2015, 5:38

 Kila mtu mwenye

 mapenzi mema asiache kumuombea rais

 Magufuli.Dominick

      On Wednesday,

 November 11, 2015 11:08 PM, Henry Oppi

 <henryoppi@gmail.com>
wrote:

  Ni jambo jema sana

 but watanzania tujifunze kuwa wazalendo wa nchi yetu na
tuwe

 proactive badala ya kuwa reactive.

 On 11 Nov 2015 11:04 pm,

 "'mpombe mtalika' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

 Tayari agizo la Magufuli limetekelezeka kwa kasi na
kiwango,

 ile machine

  ya muhimbili yenye utata ilimfukuzisha mkurugenzi

 muhimbili, imeanza

 kufanya kazi baada ya mafundi kutoka kampuni ya philips

 kuifanyia

 matengenezo.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment