ili uwe waziri mkuu lazima uwe mbunge wa kuchaguliwa, so pinda haiwezekani kwa mjibu wa katiba.
On Friday, 6 November 2015, 9:06, 'vitalisy kisandu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Kwani Katiba inasemaje,PM lazima awe Mbunge wa Kuchaguliwa au yoyote hata wa Kuteuliwa?.
--------------------------------------------
On Fri, 11/6/15, 'Fredy Lema' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] GEORGE MASAJU ATEULIWA TENA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, November 6, 2015, 8:37 AM
Usishangae
na waziri mkuu akiwa pinda baada ya kupewa ubunge wa
kuteuliwa. CCM ni ileilee na watu ni
walewalee!!!
On Thursday, 5
November 2015, 19:03, 'Happiness Katabazi' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
GEORGE
MASAJU ATEULIWA TENA MWANASHERIA MKUU WA
SERIKALI
Na
Happiness KatabaziRAIS
Dk.John Magufuli ambaye leo ameapishwa kushika wadhifa wao
kuwa Rais ,Leo amemteua George Mcheche Masaju Kuwa
Mwanasheria Mkuu wa Serikali na ataapishwa Kesho Ikulu Dar
Es Salaam.
Rais
Dk.Magufuli ameitisha Bunge Novemba 17 mjini Dodoma na
Novemba 19 atapendekeza jina la Waziri Mkuu.
Leo
ni mara ya pili Masaju kuteuliwa kushika wadhifa huo ,mara
ya kwanza ilikuwa ni serikali ya awamu ya nne Januari 2
Mwaka huu, Rais Jakaya Mrisho Kikwete ambaye amestaafu
wadhifa wa Cheo cha Rais , alimteua Masaju Kuwa Mwanasheria
Mkuu wa serikali baada ya siku Chake aliyekuwa Mwanasheria
Mkuu wa Serikali, Jaji Fredrick Werema kujihudhuru wadhifa
huo.
Oktoba 20 Mwaka huu, nilimtembelea
ofisini kwake Mtani wangu Masaju na kufanya nae mahojiano
ambayo niliandika makala iliyokuwa na kichwa cha Habari (
MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI ATOA SOMO LA SHERIA WAKATI WA
UCHAGUZI MKUU).
Masaju
ni miongoni mwa Wanasheria wa serikali wazalendo na
wanaowaaminiwa kiutendaji na ndiyo maana zilipokuwa
zikifunguliwa Kesi ambazo zilikuwa zikivuta hisia za watu
Wengi Masaju alikuwa akivaa suti na gauni lake la uwakili na
kutinga Mahakama ya Rufaa, Mahakama Kuu na kuiendesha Kesi
hiyo yeye Mwenyewe akisaidiwana na vijana
wake.
Na nilipokuwa
Mwandishi wa Habari za mahakamani,nilipokuwa nikimuona
Masaju Kubeba gauni jeusi na begi lilokuwa na Nyaraka za
kuendeshea Kesi basi nilikuwa Nasema Kimolo moyo Kuwa upande
wa wa pili Katika Kesi hiyo ujiandae kikamilifu
.
Ushahidi mchache wa
haya ninayoyasema kuhusu Masaju ambayo nilikushuhudia kwa
macho yangu mwanzo hadi Mwisho ni Rufaa ya Kesi maarufu ya
mgombea Binafsi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali dhidi ya
Mchungaji Christopher Mtikila Katika Mahakama ya Rufaa
nchini Masaju alikuwa kiongozi wa Mawakili wa serikali
kuendesha Kesi hiyo ya kihistoria ambayo ikisikilzwa na jopo
la Majaji Saba waliokuwa wakiongozwa na Jaji Mkuu wa wakati
huo , Agustino Ramadhani, Masaju alifanikiwa Kujenga hoja
na hatimaye jopo lilikubaliana naye na kutengua hukumu ya
Mahakama Kuu ambayo iliruhurusu Mgombea
Binafsi.
Ushahidi wa
pili, ni Mwaka Jana , katika kesi ya Kikatiba Na.24/2013 ,
Masaju aliwakilisha upande wa Mwanasheria Mkuu Katika Kesi
ya Kikatiba iliyofunguliwa na Kituo ca Sheria na Haki za
Binadamu (LHRC) pamoja na Chama cha Wanasheria Tanganyika
(TLS)dhidi ya Waziri Mkuu iliyokuwa ukiomba Mahakama Kuu
itoe Tafsiri ya Ibara ya 100 Kuwa wabunge wana Uhuru bila
mipaka kwani Pinda alitoa Kauli Bunge akitaka Polisi iwapige
wanaovunja Sheria za nchi.
Juni 6 Mwaka 2014 , Jopo la Majaji
wa Tatu wa Mahakama Kuu Dar es Salaam, Fakji Jundu, Dk.Fauz
Twaibu na Augustine Mwarija walitoa uamuzi wa Kuitupa Kesi
hiyo kwa sababu Imeona walalamikaji walikuwa hawana Haki
ya kisheria ya kushitaki Pinda.
Jopo hilo lilitoa uamuzi huo jana
ambapo jaji Jaji Jundu alisema anakubaliana na pingamizi la
awali lilowasilishwa na wakili wa mdaiwa (Pinda), Ambaye ni
Naibu Mwanasheri Mkuu wa Serikali, George Masaju, ambalo
lilikuwa likiomba Mahakama itoe amri ya kuifuta Kesi
hiyo kwasababu walalamikaji hawana Haki a kisheria ya
kuwashitaki wadaiwa na kwamba Waliokuwa na Haki ya kushitaki
Pinda ni wananchi na siyo Taasisi hizo za
walalamikaji.OLHRC na TLS
walimshtakiwa Waziri Mkuu Pinda pamoja na Mwanasheria Mkuu
wa Serikali kwa kauli aliyoitoa bungeni Juni 20 mwaka
2013.Ilidaiwa Katika kipindi cha maswali ya papo kwa papo
Waziri Pinda akijibu alisema, 'ukifanya fujo…unaambiwa
usifanye hiki ukaamua kukaidi, utapigwa tu, muwapige tu
sababu tumechoka'.
Jaji Jundu alisema, Masaju
Aliwasilisha pingamizi la awali akiomba kesi hiyo itupwe
kwa sababu mahakama hiyo haina uwezo wa kuisikiliza,
waliofungua hawakustahili kuifungua na iko kwa ajili ya
kupoteza MUDa wa Mahakama.
Katika uamuzi huo, majaji
walikubaliana na hoja tatu za pingamizi kuwa walalamikaji
katika kesi hiyo hawakuwa na haki ya kufungua kesi hiyo na
kwamba walikosea taratibu za ufunguaji wa kesi kama hizo kwa
kuwa walikiuka amri na kanuni zinazoongoza Mashauri ya Madai
(CPC).
Katika hoja ya
kwanza kuwa Pinda kama mbunge analindwa na Katiba, jopo hilo
lilisema kuwa ni kweli wabunge wanalindwa na Katiba Ibara ya
100 (1) kuhusu haki na upendeleo (Previledge), yaani haki na
uhuru wa mjadala na maoni. Hata hivyo, lilikataa hoja za
utetezi kuwa wabunge wana kinga isiyo na mipaka ya
kutokushtakiwa kwa kauli au jambo lolote walilolitamka
bungeni.
"Ibara ya
100(1) ya Katiba haiwezi kujadiliwa mahali popote ikiwemo
mahakamani, ibara hiyo inasema kwamba, kutakuwa na uhuru wa
mawazo, majadiliano na utaratibu katika Bunge na uhuru huo
hautavunjwa wala kuhojiwa na chombo chochote katika Jamhuri
ya Muungano au katika mahakama au mahali penginepo nje ya
Bunge.
"Ibara ya
100(2) inaweza kujadiliwa mahakamani, inasema kwamba bila
kuathiri katiba hii au masharti ya sheria nyingine yoyote
inayohusika, Mbunge yoyote hatashtakiwa au kufunguliwa
shauri la madai mahakamani kutokana na jambo lolote
alilolisema au kulifanya ndani ya Bunge au alilolileta
bungeni kwa njia ya maombi, muswada, hoja au
vinginevyo.
"Mwananchi mmoja mmoja aliyeathika
na jambo lililozungumzwa na mbunge bungeni anaweza kushtaki
lakini si taasisi kama ilivyo katika kesi
hii,"alisema.Alisema kutokana na sababu hizo,
mahakama inatupilia mbali kesi hiyo kwa sababu waliofungua
kesi, LHRC na TLS hawakustahili kisheria kufungua kesi hiyo
kwa sababu hawakuathirika.
Kesi ya Tatu ni Kesi iliyofuta hisia
za watu Wengi ni Kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa Mwaka Jana
na Mwandishi wa Habari Saed Kubenea dhidi ya Mwanasheria
Mkuu wa Serikali Katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es
Salaam.
Kubenea
alikuwa anaomba Mahakama hiyo itoe amri ya muda ya Kuzuia
Bunge Maalum la Katiba lisiendelee na kazi kwasababu
linavunja Sheria .Hata hivyo Masaju aliwasilisha mapingamizi
mawili ambayo yaliomba Mahakama hiyo itupilie Mbali Maombi
ya Kubenea Kwani hayana Msingi na Mahakama hiyo ilitupilia
mbali Maombi ya Kubenea na Bunge linaendelea na kazi
zake.
Mifano ni mingi
ya Kuonyesha Masaju Kabla ya kuteuliwa Mwanasheria Mkuu wa
Serikali Januari 2 na Novemba 5 Mwaka huu , kuna kazi nzuri
ya kuiwakilisha upande wa serikali Katika Kesi mbalimbali
mahakamani aliifanya hivyo anastahili.
Ni neema ya Mungu na na rekodi yake
ya Utendaji Kazi ndiyo imesabisha rais mpya Dk.Magufuli
amteue kushika wadhifa huo ili amsaidie kuchapa Kazi Kati
serikali yake ya awamu ya tano. Hongera
sana.
Wosia wangu wa
Masaju endelea na msimamo wako ule ule wa kusimamia haki na
Kusema ukweli bila woga.Tunaokufahamu Tunaokufahamu Kuwa una
sifa hizi.
Masaju
ni mtu asiye penda kuburuzwa na mambumbumbu wa Sheria, ni
mtu anayejali utu,heshima na Kupenda watu watii Sheria za
nchi na ni mzalendo kwa taifa lake.
Hongera Mtani wangu Masaju, mungu
akuongoze katika uteuzi huu mpya ugaidi kulitumikia taifa
letu. Hapa Kazi Tu.
Chanzo: Facebook: Happy
Katabazi0716
774494Blogg:www.katabazihappy.blogspot.com5/11/2015.
Sent from my
iPad
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment