Hivi anajua zanzibar kuna vikundi vya majeshi mangapi achilia mbali wale wa CUF
On Apr 27, 2015 6:18 AM, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
-- Mtuukiisoma mada anayoileta Majid unaona mambo mawili:
1) Ukweli wa wazi kuwa jukumu la ulinzi na usalama ni jukumu la vyombo husika ikiwemo Polisi.
1) Kukosekana kwa hali halisi ya mambo ambayo ndiyo msingi wa vyama kuunda vikosi vya ulinzi.
naomba kukumbusha. Nchi hii kwa mara ya kwanza raia kuamua kuwaadhibu wahalifu ikiwa ni pamoja na kuwachoma moto wezi ilikuwa baada ya ombwe la wazi baada ya Polisi kuanza kufanya urafiki na wezi. Hadi sasa viongozi wetu wamekuwa wakifanya utani kwa kukemea wananchi kuchukua sheria mkononi bila kushughulikia chanzo.
Nauona umri wa Majid si wa jana. atakumbuka maisha ambamo wananchi wangeona Polisi anamfukuza mtu mara moja wananchi hao walimkimbiza na kumkamata bila kukua kakosa nini. Walifanya hivyo kwa sababu anakimbizwa na Polisi. Kulikuwa na sababu moja tu ya Polisi kukimbiza mtu-Ni mhalifu. Siku hizi Polisi akiishiwa mboga nyumbani anamtafuta mwendesha pikipiki na kumkimbiza ili amkamate amtoepo za kilo ya nyama. Ona linalojitokeza. Raia wakiona Polisi anamkimbiza mtu wanamgeukia Polisi na Kumpiga. Naamini majid analiona hilo.
Vyama vya siasa kulazimika kujitafutia ulinzi hakukosi sababu. Zinajulikana dunia nzima. anayetaka picha iliyotolewa na Voice of Amerika aseme ninayo.
Kwanza hizi brigades ni garama kuzifunza, kuzitunza na kuzituma kazi. Vyama havina hela ya kuchezea. Ni kwa sababu ya ombwe. Kungekuwa na vikosi hivyo vikifanya kazi impersurerly hakuna chama kingeandaa green, red au blue guards.
Hii paragraph ilikosekana kwenye mada ya Majid.
mimi najazia tu.
Elisa
--------------------------------------------
On Mon, 4/27/15, 'Charles Makakala Jr' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] Marufuku Ya Vyama Kuwa Na Vikosi Vya Ulinzi Ni Ya Kuungwa Mkono...
To: "Wanazuoni@yahoogroups.com" <Wanazuoni@yahoogroups.com>, "mabadilikotanzania" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>, "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, April 27, 2015, 10:25 AM
Marufuku hii inahusu vikosi vya ulinzi vya CCM
pia, yaani Polisi, FFU, n.k.? Kama vyama vya upinzani
vingekuwa na imani na kazi inayofanywa na vyombo hivi
sidhani kama vingeona umuhimu wa kugharimika kulipa vijana
kulinda maslahi yao. Charles.------------
--------- --------- --------- -------'Black Cat/White Cat.
It's a Good Cat If It Catches
Mice.' - Deng
Xiaoping
(1904-1997)
On Monday, April 27,
2015 9:42 AM, "Maggid Mjengwa mjengwamaggid@gmail.com
[Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com> wrote:
Marufufu Ya
Vyama Kuwa Na Vikosi Vya Ulinzi Ni Ya Kuungwa
MkonoNdugu zangu,Nianze kwa kumpongeza Msajili wa
Vyama Vya Siasa na IGP kwa kulifanyia kazi hili la vyama vya
siasa kuwa na vikosi vya ulinzi.Ingawa maamuzi
ya kupiga marufuku yamekuja kwa kuchelewa, lakini, bado ni
ya kupongezwa na wote wenye mapenzi mema na nchi yetu
tuliyozaliwa. Ni maamuzi ya kuungwa mkono kwa nguvu
zote.Hakika, yalikuwa ni makosa
makubwa katika wakati tulio nao, kuruhusu vyama vya siasa
kujipa mamlaka ya kujiandalia vikosi vyake vya ulinzi kwenye
nchi yenye watu waliogawanyika inapohusu itikadi za vyama.
Si busara pia, kuacha makosa hayo yaendelee kufanyika, kwa
vile tu, eti, vyama husika vimeweka taratibu hizo za kuwa na
vikosi vya ulinzi kwenye Katiba zao. Kimsingi, vyama vyenye
kupingana na marufuku hiyo vina mawili tu ya kuchagua; Mosi,
kurekebisha vifungu vya katiba vyao vyenye kuruhusu kuundwa
kwa vikosi vya ulinzi, au, kukubali Msajili avifute vyama
hivyo. Kwa hilo la mwisho, vyama vitakuwa na uhuru wa kwenda
na vikosi vyao msituni na kupambana na dola.Vinginevyo, jukumu la
kuhakikisha raia, bila kujali itikadi zao, wanahakikishiwa
Ulinzi na Usalama wao linabaki kuwa ni la Serikali Kuu
kupitia Jeshi lake la Polisi. Kama kuna mapungufu kwenye
utekelezaji wa jukumu hilo, basi, uwepo mjadala wa kulisemea
hilo na hatua zichukuliwe. Na hapa Serikali iangalie pia
uwezekano wa kurefusha marufuku ya taasisi kuwa na vikundi
vyake vya ulinzi, kuwa ifike mpaka kwenye taasisi za
kidini.Hakika, tunashukuru sana kwa
Msajili na IGP kuitikia kilio cha wengi wetu tuliokuwa
tukipinga utaratibu wa vyama kuwa na vikosi vya ulinzi. Na
hapa nitakumbushia nilichoandika hapa Machi 4 kufuatia
mahojiano niliyofanyiwa na mtangazaji wa Zenj FM. Alitaka
kupata maoni yangu juu yanayoendelea nchini mwetu.
Mtangazaji alianza kwa kuorodhesha changamoto zinazozikabili
taifa anazonitaka maoni yangu.
Nilimwambia,
kuwa muda wa kwenye radio ni mfupi kuzichambua changamoto
hizo lukuki zikaeleweka kwa wasikilizaji. Na nikamwambia,
kuwa hata hizo alizoziorodhesha ni chache.
Hata hivyo, nikamwomba mtangazaji nichambue
changamoto moja kubwa ninayoiona mimi inalikabili taifa kwa
sasa kuelekea Uchaguzi Mkuu. Kwamba inahusu USALAMA.
Nilisema, kwamba katika nchi yoyote iwayo, bila
USALAMA kwa maana pia ya uwepo wa Amani na Utulivu, basi,
hakutakuwa na maendeleo ya kiuchumi.
Kuna
ishara katika nchi yetu, kuwa baadhi ya wanasiasa tuliowapa
dhamana za uongozi wanaonyesha kucheza kamari na Amani na
Utulivu wetu kama Taifa. Wanachokifanya ni kamari yenye
matokeo ya dhahiri, kuwa kama taifa, tutakwenda kupoteza
tulicho nacho.Wahenga walisema; Majuto Ni Mjukuu. Burundi na
Rwanda ni mfano wa nchi jirani tu zinazojutia hata hii leo
kwa kufumbia macho tunachokiona sisi leo.
Kimsingi, vinavyoitwa vikosi vya Ulinzi vya
Vyama vya siasa ni moja ya kamari mbaya inayochezwa na
wanasiasa itakayopelekea maangamizi makubwa. Haya ni mambo
tuliyoiga tangu enzi za Ushoshalisti ambayo hata huko
yalikotokea wameyaacha.
Wakati umebadilika.
Katika wakati tulio nao, vijana waandaliwe '
Ukakamavu' wa kiakili kuwa na uwezo wa kuelewa itikadi,
sera, madhumuni na malengo ya vyama vyao. Wafanye hivyo ili
waweze kuvinadi vyama vyao kwa wapiga kura. Kazi ya ulinzi
iachwe kwa vikosi vinavyotambulika kisheria na kwa mujibu wa
Katiba yetu.
Nchi ina Amiri Jeshi Mkuu
mmoja. Sasa hivi vikosi vya kivyama vinakula viapo vya namna
gani kwenye Jamhuri? Hivi hatujui maana ya viapo vya
kijeshi?
Na hata majina ya vikosi hivi vya
kiwanamgambo yanatia mashaka. Mathalan, hivi hatujui maana
ya Red Brigades na chimbuko lake?
Red
Brigades kilikuwa kikundi cha wanamgambo wenye itikadi kali
za mrengo wa kushoto za Ki-Marxist na Leninist kule nchini
Italia. Kiliipata umaarufu miaka ya 70 kwa matendo yake ya
kutumia njia za utekaji nyara. Mwaka 1970, Red Brigades
ilifahamika zaidi kwa kufanikiwa kumteka nyara na hatimaye
kumwua aliyekuwa Waziri Mkuu wa Italia, Aldo Moro.
Na si wengi wenye kufahamu, kuwa ni mwaka ule
1978, Mnajimu Sheikh Yahya Hussein alipata umaarufu zaidi
kwa kuaminika kuwa alitabiri tukio lile la Aldo Moro kutekwa
nyara na Red Brigades. Ni kupitia utabiri wake mwanzoni mwa
mwaka huo, kuwa mwaka huo wa 1978 unheshuhudia kiongozi
mmoja mashuhuri akitekwa nyara.
Kwa
kuhitimisha, nikashauri kupitia mtangazaji yule wa Zenj FM,
kuwa umefika wakati wa Serikali kupiga marufuku ya
uanzishaji na uendeshaji wa vikundi hivi vya wanamgambo wa
vyama. Vyama vya siasa viachwe kufanya siasa, na Jukumu la
Ulinzi liachwe kwa vyombo vya ulinzi vyenye kutambulika
kisheria na kikatiba. Neno langu la mwisho likawa;
Hatujachelewa.
Maggid,
Dar
es Salaam.
__._,_.___
Posted by: Maggid Mjengwa
<mjengwamaggid@gmail.com>
Reply via web post
•
Reply to sender
•
Reply to group
•
Start a New
Topic
•
Messages in this topic
(1)
Visit Your Group
New
Members
4
• Privacy • Unsubscribe • Terms of Use
.
__,_._,___
#yiv5938900782 --
#yiv5938900782ygrp-mkp {
border:1px solid #d8d8d8;font-family:Arial;margin:10px
0;padding:0 10px;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782ygrp-mkp hr {
border:1px solid #d8d8d8;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782ygrp-mkp #yiv5938900782hd {
color:#628c2a;font-size:85%;font-weight:700;line-height:122%;margin:10px
0;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782ygrp-mkp #yiv5938900782ads {
margin-bottom:10px;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782ygrp-mkp .yiv5938900782ad {
padding:0 0;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782ygrp-mkp .yiv5938900782ad p {
margin:0;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782ygrp-mkp .yiv5938900782ad a {
color:#0000ff;text-decoration:none;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782ygrp-sponsor
#yiv5938900782ygrp-lc {
font-family:Arial;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782ygrp-sponsor
#yiv5938900782ygrp-lc #yiv5938900782hd {
margin:10px
0px;font-weight:700;font-size:78%;line-height:122%;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782ygrp-sponsor
#yiv5938900782ygrp-lc .yiv5938900782ad {
margin-bottom:10px;padding:0 0;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782actions {
font-family:Verdana;font-size:11px;padding:10px 0;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782activity {
background-color:#e0ecee;float:left;font-family:Verdana;font-size:10px;padding:10px;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782activity span {
font-weight:700;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782activity span:first-child {
text-transform:uppercase;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782activity span a {
color:#5085b6;text-decoration:none;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782activity span span {
color:#ff7900;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782activity span
.yiv5938900782underline {
text-decoration:underline;}
#yiv5938900782 .yiv5938900782attach {
clear:both;display:table;font-family:Arial;font-size:12px;padding:10px
0;width:400px;}
#yiv5938900782 .yiv5938900782attach div a {
text-decoration:none;}
#yiv5938900782 .yiv5938900782attach img {
border:none;padding-right:5px;}
#yiv5938900782 .yiv5938900782attach label {
display:block;margin-bottom:5px;}
#yiv5938900782 .yiv5938900782attach label a {
text-decoration:none;}
#yiv5938900782 blockquote {
margin:0 0 0 4px;}
#yiv5938900782 .yiv5938900782bold {
font-family:Arial;font-size:13px;font-weight:700;}
#yiv5938900782 .yiv5938900782bold a {
text-decoration:none;}
#yiv5938900782 dd.yiv5938900782last p a {
font-family:Verdana;font-weight:700;}
#yiv5938900782 dd.yiv5938900782last p span {
margin-right:10px;font-family:Verdana;font-weight:700;}
#yiv5938900782 dd.yiv5938900782last p
span.yiv5938900782yshortcuts {
margin-right:0;}
#yiv5938900782 div.yiv5938900782attach-table div div a {
text-decoration:none;}
#yiv5938900782 div.yiv5938900782attach-table {
width:400px;}
#yiv5938900782 div.yiv5938900782file-title a,
#yiv5938900782 div.yiv5938900782file-title a:active,
#yiv5938900782 div.yiv5938900782file-title a:hover,
#yiv5938900782 div.yiv5938900782file-title a:visited {
text-decoration:none;}
#yiv5938900782 div.yiv5938900782photo-title a,
#yiv5938900782 div.yiv5938900782photo-title a:active,
#yiv5938900782 div.yiv5938900782photo-title a:hover,
#yiv5938900782 div.yiv5938900782photo-title a:visited {
text-decoration:none;}
#yiv5938900782 div#yiv5938900782ygrp-mlmsg
#yiv5938900782ygrp-msg p a span.yiv5938900782yshortcuts {
font-family:Verdana;font-size:10px;font-weight:normal;}
#yiv5938900782 .yiv5938900782green {
color:#628c2a;}
#yiv5938900782 .yiv5938900782MsoNormal {
margin:0 0 0 0;}
#yiv5938900782 o {
font-size:0;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782photos div {
float:left;width:72px;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782photos div div {
border:1px solid
#666666;height:62px;overflow:hidden;width:62px;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782photos div label {
color:#666666;font-size:10px;overflow:hidden;text-align:center;white-space:nowrap;width:64px;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782reco-category {
font-size:77%;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782reco-desc {
font-size:77%;}
#yiv5938900782 .yiv5938900782replbq {
margin:4px;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782ygrp-actbar div a:first-child
{
margin-right:2px;padding-right:5px;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782ygrp-mlmsg {
font-size:13px;font-family:Arial, helvetica, clean,
sans-serif;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782ygrp-mlmsg table {
font-size:inherit;font:100%;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782ygrp-mlmsg select,
#yiv5938900782 input, #yiv5938900782 textarea {
font:99% Arial, Helvetica, clean, sans-serif;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782ygrp-mlmsg pre, #yiv5938900782
code {
font:115% monospace;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782ygrp-mlmsg * {
line-height:1.22em;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782ygrp-mlmsg #yiv5938900782logo
{
padding-bottom:10px;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782ygrp-msg p a {
font-family:Verdana;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782ygrp-msg
p#yiv5938900782attach-count span {
color:#1E66AE;font-weight:700;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782ygrp-reco
#yiv5938900782reco-head {
color:#ff7900;font-weight:700;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782ygrp-reco {
margin-bottom:20px;padding:0px;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782ygrp-sponsor #yiv5938900782ov
li a {
font-size:130%;text-decoration:none;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782ygrp-sponsor #yiv5938900782ov
li {
font-size:77%;list-style-type:square;padding:6px 0;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782ygrp-sponsor #yiv5938900782ov
ul {
margin:0;padding:0 0 0 8px;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782ygrp-text {
font-family:Georgia;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782ygrp-text p {
margin:0 0 1em 0;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782ygrp-text tt {
font-size:120%;}
#yiv5938900782 #yiv5938900782ygrp-vital ul li:last-child {
border-right:none !important;}
#yiv5938900782
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment