Ni hayo tu Kinehe,au kuna mengine?.Kama ni hayo tu,basi poleni sana
--------------------------------------------
On Mon, 4/27/15, 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MKUTANO WA UVCCM MJINI MOSHI UMEWAAMSHA WANANCHI !
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, April 27, 2015, 12:45 PM
Navyoona this time huenda CCM
wakabeba Moshi mjini kama hali itaendelea hv au
From: Edgar Mbegu
<embegu@hotmail.com>
To: Wanabidii
Mawazo <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday,
April 26, 2015 8:22 AM
Subject: RE:
[wanabidii] MKUTANO WA UVCCM MJINI MOSHI UMEWAAMSHA WANANCHI
!
Ni hayo tu Ndugu Buberwa ndiyo yaliyo
"waamsha" watu wa Moshi Mjini au kuna jingine la
ziada?
Date: Sat, 25 Apr 2015
21:58:03 +0100
Subject: [wanabidii] MKUTANO WA UVCCM MJINI MOSHI UMEWAAMSHA
WANANCHI !
From: buberwajackob@gmail.com
To: buberwajackob@gmail.com
UVCCM Moshi umeweka mambo hadharani !
Wananchi wazinduka!
Kijana Daudi Mrindoko awambia wananchi
wasikubali Kudanganywa tena!
Moshi,Kilimanjaro,Umoja wa Vijana
wa CCM (UVCCM) mjini Moshi ulifanya mkutano wa hadhara siku
ya jumamosi 25 April 2015 katika viwanja vya maduka
Mpangano-Kiusa Moshi Mjini.katika mkutano huo mmoja wa
waliozungumza jukwaani ni mjumbewa UVCCM mkoa
Kilimanjaro Bw.Daudi Mrindoko aka Obama wa Moshi kama
wanavyomuita wenyewe,Mrindoko alitumia muda mchache tu
katika hotuba yakealianza kwa kuuliza kwa kuamsha
watu kwa swali " NIni walichokifanya Chadema hapa? Kipi
cha maendeleo? Chadema wamewafanyieni nini? hapa Moshi?
Chadema waje hapa watueleze? wasilete blah blah" kijana
huyo Daudi Mrindoko akishangiliwa kwa mayoe CCM hoyeee!
inaonyesha jinsi ananyorushadongo au kuwatia
ugoro puani na kuwapigisha chafya wapinzani mjini
Moshi,ambako siku za hivi karibuni kumekuwa na matukio ya
wafuasi wa Chadema kujiunga CCM kwa kasi
sana.Mjumbe huyo wa UVCCM Bw.Daudi Mrindoko
alimalizia hotuba yake kwa jiwe lingine la kusema
"Mzee Akiwa Mwongo uzeeni Alivyokuwa
mtoto alikuwaaje???"akishangiliwa
na wananchi CCM hoyee! CCM hoyeee!, na kuwasii watu wa Moshi
mjiniwasikubali
tena kudanganywa wala kukandwa kwa kufanyiwa masaji na
mgongo wa chupa ,na wananchi wakiitikia kwa mayoe Uwongo
sasa mwisho,CCM hoyee kijana Daudi Mrindoko anashuka
jukwaani kwa kujiamini.wenyewe moshi
wanasema"Moshi
kunafukuta Moto 2015"
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment