Thursday, 9 April 2015

Re: [wanabidii] MAMBO MATANO (5) USIYOYAJUA KUHUSU BERNARD MEMBE

Tunashukuru sana Mr. Kaaya. Ndiyo maana Membe anaonekana kuwa na akili nyingi kama Obama. Kwa sababu hiyo umetuongezea sababu za kumuunga Mkono Membe kuwa Rais. Moja tu la mwisho. hata hivyo swala la Uoslamu limeanza kabla Membe hajaingia siasa za wazi kwa hiyo halimhusu Membe. Ninafikiri Mr Benard, alias Bakari hazuiwi kuwa Muislamu au Mkristo Asha Rose ni muislamu mwenye jina la kikristo hivyo Benart kuwa muislamu haimzuii kuendelea na kusudi lake la kugombea urais
Tunasubiri kusikia sera zake ndizo zitamuengua si dini yake au undugu wake na JK
--------------------------------------------
On Thu, 4/9/15, Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com> wrote:

Subject: [wanabidii] MAMBO MATANO (5) USIYOYAJUA KUHUSU BERNARD MEMBE
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, April 9, 2015, 8:14 PM

MAMBO
MATANO (5) USIYOYAJUA KUHUSU BERNARD MEMBE1.
Jina halisi la Bernad Membe ni Bakari Membe ambaye ni
muislamu kwa dini na si mkristo. Hata ndugu zake Membe wengi
ni waislamu wa kabila la wamwera.2.
Baba yake halisi (biological father) ni Mzee Mrisho Kikwete
ambaye alizaa na Cecilia John Membe ambapo kwa kabila la
Wamwera uchukua jina la ukoo wa Mama na kulifanya ndio jina
la ukoo wa mtoto. Wamwera ni kabila linalofuata matrilenial
system ambapo Mama ndiyo mwenye dhamana kubwa na mtoto.3. Bernad Membe amelelewa na Baba
wa kufikia aitwaye Kamilius Anthony ambaye anamtaja ndiye
Baba yake mzazi. Hii ni kama ilivyo kwa Nape Nnauye ambaye
anamtaja Mzee Mosses Nnauye ndiye Baba yake wakati Baba yake
halisi wa Nape ni Prof. Mark Mwandosya.3. Bernard Membe
na Rais Jakaya Kikwete ni mtu na Kaka yake. Wameshare Baba
mmoja ila Mama tofauti tofauti.4. Membe alimuokoa
Jakaya Kikwete wakati akiwa jeshini ambapo JK alitoroka
kambini na kwenda kwa kulala kwa mwanamke. Wakati wa kuitwa
majina hakuonekana na ndipo ikaundwa kamati ya kwenda
kuchunguza alipokuwa JK. Kamati hiyo iliongozwa na Bernard
Membe (mdogo wake) ambaye alifanya juu chini hadi kumuokoa
JK asitimuliwe jeshini. Kwa kuonyesha fadhila, JK
aliposhinda urais akamuingiza Membe kwenye baraza la
mawaziri na Membe amempa sharti la kuhakikisha anamsaidia
ashinde urais la sivyo ataanika mambo yote ya siri ya JK.
Hii ndio sababu kubwa nyingineyo ya familia ya Kikwete
kuamua kumsaidia Membe katika urais.5. Membe anapiga
kufa na kupona kuingia ikulu ili afanikishe malengo
aliyotumwa na jumuiya kimataifa za kiislam za kuhakikisha
analifanya Taifa la Tanzania kuwa Taifa la kiislamu.
Alishaianza hii kazi maalum kwa kushinikiza kuanzishwa kwa
mahakama ya kadhi hapa nchini, wazo lililoletwa na Bernad
Membe.



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment