mwulize kama CCM wamefuta azimio la Arusha na yeye anataka kufuata falsafa za mwalimu Nyerere ambaye alikuwa mwumini mkubwa wa azimio la Arusha na lilikufa akiwa hai na hakufurukuta kulirudisha, yeye Zitto ataweza kweli? Atattumia njia zipi kulirudisha mbele ya hawa matajli wa escrow ambao wamemiliki njia kuu zoe za uchumi badala ya njia hizo kumilikiwa na umma? Nia yake ni nzuri sana na tunamwombea afanikiwe ila anatuondoaje mashaka haya tuliyonayo juu ya kufanikisha hilo bila kupata vikwazo na hata kuuwawa na mabepari waliojazana kwenye uongozi wa juu wa ngazi mbalimbali za vyama na serikali.
leonard.
On Friday, April 3, 2015 2:09 PM, samson charles <samchaz307@gmail.com> wrote:
leo saa 12 kamili jioni fatilia intavyuu live na mh Zitto Kabwe ndani ya kipindi cha hot mix hapa East Africa Television (EATV) pekee, kama unaswali ambalo ungependa nimuulize usisite kulitupia hapa nami nitamuuliza
-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment