Tuesday, 21 April 2015

Re: Fwd: Re: [wanabidii] MAMBO MATANO (5) USIYOYAJUA KUHUSU BERNARD MEMBE

Tofauti  Kati ya
Muhammad na  Kristo 
YESU DHIDI YA MUHHAMADI
UKRISTO DHIDI YA UISLAM
 
Muhhamad alikuwa nabii wa vita, Kristo ni Mfalme wa Amani.  (Isa 9:6-7). Wafuasi wa Muhammad waliua kwa ajili ya imani, wafuasi wa Kristo waliuawa kwa ajili ya imani (Mdo 12:2, 2Tim 4:7). Muhammad alieneza mateso dhidi ya "makafiri" Kristo aliwasamehe na kumgeuza mtesaji mkuu (1Tim 1:13-15).
 
Muhammad alikuwa mwondoaji uzima, Kristo alikuwa mpaji uzima (Yn.10:27-28). Muhammad na wapiganaji wenzake waliua maelfu, Kristo hakuua mtu  yeyote bali aliokoa wengi (linganisha Yn.12:48).
 
Kanuni za Muhammadi zilikuwa KULAZIMISHA. Kristo alilenga KUGEUZA kwa hiari.(Mdo3:19).
Muhammad alitumia nguvu;  Kristo alitumia IMANI (Yn.6:29,35)
Muhammad alikuwa  MTU WA MAPAMBANO. Kristo alikuwa MKOMBOZI. (Kol. 1:13, 1The.1:10)
 
Muhammad aliwashinda maadui zake kwa upanga, Kristo aliwashinda maadui zake kwa upanga wa namna nyingine upanga wa Roho ambao ni Neno la Mungu (Ebr.4:12 Mdo 2:37)
Muhammad aliuambia umati "Silimuni ama mfe" Kristo alisema "Aminini na muishi (Yn.6:47, 11:25-26)
 
Muhammad alikuwa mwepesi kumwaga damu  za watu (Rum 3:15-17). Kristo alimwaga damu yake mwenyewe kwa ajili ya wokovu wa wengi. (Efe.1:7)
Muhammad alihubiri "kifo kwa makafiri", Kristo aliomba "Baba,uwasamehe kwa maana hawajui watendalo" (Lk.23:34)
 
Muhammad alitangaza vita takatifu (jihad) dhidi ya makafiri, Kristo alipata ushindi mtakatifu juu ya msalaba pale Kalvari. (Kol.2:14-15) na wafuasi wake walishiriki ushindi huo (Yn 16:33)
 
Muhammad aliwaamrisha watu wake kwa kuwalazimisha, Kristo aliwaamrisha watu wake kwa upendo (2Kor 5:14)
Magaidi wa siku hizi walipata msukumo huo kutoka kwa Muhammad na kutekeleza uovu wao kwa jina la mungu wao Allah, Wakristo walipata msukumo huo kutoka kwa Mmoja aliyesema "Heri wapatanishi…" (Mt.5:9)
 
Waislam wengi wana amani na wanapenda amani kwasababu hawafuati kikamilifu mafundisho ya mwanzilishi wao; Wakristo wengi wana amani na wanapenda amani kwasababu wanafuata kikamilifu mafundisho ya mwanzilishi wao (Rum.12:17-21)
 
Muhammad aliwaita watumishi wake kupigana. Yesu alisema, Ufalme wangu sio wa ulimwengu huu; kama ufalme wangu ungekuwa wa ulimwengu huu; watumishi wangu wangenipigania… lakini ufalme wangu sio wa hapa (Yn.18:36)
 
Hadithi inafichua kwamba Muhammad alipenda dini yake ienezwe kwa Upanga.
 
UISLAM MPYA, NYUMA YA PAZIA
 Uislam ambao Waislam wanaosilimisha hutambulisha katika nchi za Magharibi ni tofauti kabisa na Uislam uliopo Mashariki ya kati.
Korani inasema "Pigana kwa ajili ya Allah" (Koran 2:244). Biblia inasema "Kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama" na silaha za vita vyetu si za mwili" (Efe.6:12, 2 Kor.10:4)
 
Korani inasema "Piga na chinja wapagani popote unapowaona" (Koran 9.5). Kristo alisema "Hubiri injili kwa kila kiumbe" (Mk 16:15)
Koran inasema "Nitatia hofu [ugaidi] ndani ya mioyo ya wasio amini" (Korani 8:12). Biblia hutia hofu yake (uchaji, heshima, utisho na unyenyekevu) ndani ya moyo wa waaminio (Isa.8:13)
 
Korani ni kitabu cha mwongozo wa kigaidi ambacho kinaafiki mapigano, migogoro,ugaidi,unyonyaji na mauaji ya halaiki dhidi ya wale wasiokubali Uislam; Biblia ni kitabu cha mwongozo wa wito wa kueneza injili ya amani duniani kote (Rum.10:15)
 
Kazi ya Muhammad ilikuwa kushinda ulimwengu kwa ajili ya Allah; kazi ya Kristo ilikuwa kushinda nguvu ya dhambi na adhabu kwa kulipia kosa badala yetu (2 Kor.5:21; 1Pet.3:18)
 
Muhammad alimtambua Kristo kama nabii mzuri; Kristo alitamka Muhammad kama nabii wa uongo (Yn,10:10;Mt.24:11)
Muhammad alidai kulikuwa lakini Mungu mmoja, Allah; Kristo alidai kuwa alikuwa Mungu (Yn.10:30-31, Yn.8:58-59, Yn: 5:18, Yn.14:9)
 
Kaburi la Muhammad: BADO ANALIMILIKI
Kaburi la Kristo: TUPU.
 
 




On Monday, April 20, 2015 6:58 PM, 'salumkango' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Hahahahahaaaa makala ndeeefu lkn hakuna kitu. Hujajibu maswali yangu Pendo. Nilikuomba unipe andiko la kisayansi linalothibitisha matendo ya maajabu ya Yesu kama vile kufufua wafu, kutoa pepa, kulisha watu wengi kwa mikate, kutembea juu ya bahari na mengine mengi.

Hujanieleza ni nani mungu wa Is-haqa, wa Ibrahim, wa Yakobo na mungu wa Israel. Jibu hoja usitoe hadithi za alifulela ulela.



Sent from my Samsung Galaxy smartphone.


-------- Original message --------
From: 'Upendo Adam' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Date:20/04/2015 14:57 (GMT+03:00)
To: wanabidii@googlegroups.com, wanabidii@googlegroups.com, wanabidii@googlegroups.com, wanabidii@googlegroups.com
Cc:
Subject: Re: Fwd: Re: [wanabidii] MAMBO MATANO (5) USIYOYAJUA KUHUSU BERNARD MEMBE

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


0 comments:

Post a Comment