Friday, 12 September 2014

Re: [wanabidii]Kufikia Muafaka ni kosa lingine kwa UKAWA

Neatness
Ni kweli watanzania tunatamani kupata katiba lakini si bora katiba bali tunataka kupata katiba iliyobora itakayotuletea amani, uchumi mzuri na usawa. Ukiwasikiliza wajumbe wa BMK wanachokifanya sasa hivi ni porojo porojo tu ili mradi yapite waliyokwishaamua wao. Mambo ya msingi yanayohitaji marekebisho na yanayotukela tuliyaeleza kupitia Tume ya jaji Warioba, lakini wajanja wachache wanaona wao ndo wenye katiba na hivyo wanachofikiri na kukitaka wao kwa manufaa yao  kiwekwe kwenye katiba. Wakubali au wasikubali huu utata wanaouleta na kuuweka kwenye katiba utaondolewa na serikali ya wananchi ambao ndo wenye katiba yao.

2014-09-13 7:58 GMT+03:00 Neatness Msemo <nmuzeh@gmail.com>:

Kama mtanzania je unashauri nini kuhusu Bunge la Katiba.je tutapata hiyo katiba.nadhani watanzania wanatamani kupata katiba mengine ni mbwembwe tu

On Sep 13, 2014 7:41 AM, "mngonge franco" <mngonge@gmail.com> wrote:
Ludovick
Katika jukwaa hili naweza kuwaweka wachangiaji katika makundi makubwa matatu. Aina ya kwanza ni wale ambao wana mapenzi na CCM ( offcourse wenye maslahi fulani) na hawa siku zote wanachofanya ni ushabiki tu hata bila hoja. Aina ya pili ni wenye mapenzi na upinzani ( wengi hawana maslahi kwenye chama) ushabiki wao utokana na kuiona CCM kama chama kisichofaa kuendelea kukaa madarakani. Aina ya tatu ni watu walioneutral au wenye mapenzi na chama fulani lakini hujaribu kuiangalia hoja kwa makini na kuichambua kwa kutoa sababu zenye mashiko.

Kwa categorization hiyo hapo juu wewe nimeshindwa kuona  uko katika kundi lipi maana hapa tunachoongelea ni kwa vipi UKAWA wamekosea kukubali kuingia kwenye mitego ya CCM na wala sijaona kama kuna anayebisha katika hilo. Wewe unatwambia kuna mashabiki humu ambao huwa hawataki mabwana zao waelezwe na kwamba UKAWA wanakuja nje wanasema uwongo na kuitisha maandamano. Mbona unatuchanganyia habari? Hapa issue ni je kukubali kwa UKAWA kufanya makubaliano na JK kuna faida yoyote kwao au ni kuingia mtego wa CCM but your piece of writing lacks that focus

2014-09-12 13:49 GMT+03:00 Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>:
Muganda,
hakuna anayebisha juu ya uhitaji wa katiba bora and our present battle is not there. remain focused

2014-09-12 13:44 GMT+03:00 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>:
Boniface,
Afadhali umesema wewe. Suala si ushabiki wa UKAWA. Suala ni katiba itakayokidhi maslahi ya Watanzania wote.
em

2014-09-12 6:33 GMT-04:00 Boniface Magessa <magessabm@gmail.com>:

Ludo,
Uko kama mtu anayetapatapa kukata roho....kachunguze kichwa chako, mi nadhani hauko sawa. UNAUMWA!

On 12 Sep 2014 13:23, "Joseph Ludovick" <josephludovick@gmail.com> wrote:
Pili, it was a mistake, kukubali kuwa Bunge liendelee hadi October 4. Hili nalo ni kosa. Ilitakiwa msimamo wa UKAWA uwe ni kuwa mchakato usimamishwe immeaditely na hasa Bunge maalumu la katiba. HIvyo basi wangeaangalia ni utaratibu upi ungweze kutumika kulisimamisha Bunge. Na wangekuja na proposala ya kitu chani kifanyike kusimamishe BUnge maalumu la katiba. Na kama CCM wasingekubali, basi majadiliano ingekuwa vyema yakavunjika, na wakatoka bila
kukubaliana.

Selemani,angalau umewaambia hawa mashabiki wa UKAWA humu ukweli ambao hawataki mabwana zao waelezwe. kwenye kikao walikubaliana bunge liendelee,halafu wanakuja nje na kuanza uongo wakiitisha maandamano ili vijana wakauawe na madhalimu wa dola. hatudanganyiki.
  Pili umeshangaa ni vipi UKAWA walikubaliana na hayo? hii siyo mara ya kwanza hawa watu kurubuniwa. wakati ule walipogomea sheria ya mabadiliko ya katiba, kitu pekee walichoambulia ni wajumbe kuongezwa kidogo toka 166 hadi 201 na moja. mengine yote wakapoteza,lakini wakaenda bungeni.
  kwa hiyo unaposema wenye akili wanaona,unasema by negatkuwa UKAWA hawana akili, na hili ni kweli. sasa kwa nini wanahadaa wananchi? waeleze wasichezee maisha yetu kwa sababu ya kutafuta urais.
  Nakupongeza kwa uchambuzi wako na ujasiri wa kumfunga paka kengele ambaye akina Rukoma hawathubutu kufanya. wao hata mfalme (mswati???) akiwa uchi wanaimba amependezaaa.
 
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment