Bulembo na Vicky Kamata KIMESHANUKA Arusha....
Watajwa kwa sasa wapo Mkoani Arusha wakihudhuria Mkutano wa PPF unaoendelea Arusha.
Hata hivyo badala ya kuendelea na kilichowaleta wahusika wametuma baadhi ya watu ili kuwasaidia kuwaitua wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa ili kuendelea kuimarisha kambi yao.
Hata hivyo baadhi ya wajumbe wamesikika wakisema ni kweli kuna baadhi ya wajumbe kama 10 wamepigiwa simu ili kukutana na wahusika. Wengi wao wamesema huyu binti kama harusi yake haikumfunza adabu asubiri aone watu wa Arusha wanavyomwangushia kitu chenye ncha kali.
"Hawa hivi kweli wanaufahamu huu Mkoa ama na kwa taarifa Vijana wameshatumwa kuchunguza walikofikia hawa jamaa ili wajue huu Mkoa ni wa vichaa tu. Tumeshapata habari wanakotaka kukutana na wajumbe na kila kitu kiko tayari kama wamekuja kwa ajili ya PPF waendelee na kilichowaleta na si kutuvurugia Mkoa wapuuzi kabisa hawa. Watapigwa mawe mpaka wakome na kama haitoshi huu ni ujumbe kwako Vicky Arusha si salama kwa mtu kama wewe take note...."
Ndivyo walivyosikika baadhi wa watu nilipopita maeneo ya Kilombero....... Kwa mujibu ws taarifa zao Vicky na Bulembo wanataka kumtengenezea Pinda mazingira ila kwa Arusha wanajisumbua hela zitaliwa kama kawa na wasipoangalia wanaweza fanyiwa uhuni balaa........ Niko maeneo ya zengwe na kwa kuwa inaonesha kweli hawa jamaa wamejiandaa ntakuwa nawapa yanayojiri kutoka hapa Mkoani........
On Tuesday, August 26, 2014 10:08:58 AM UTC+3, Nicomedes Kajungu wrote:
Masikini Tanzania yangu.
Field Marshal
On 25 Aug 2014 10:29, "mngonge franco" <mng...@gmail.com> wrote:Kama kweli ni lazima tumpate rais kutoka sisiemu Pinda anawapita wote waliokwishaonyesha nia ya kugombea ndani ya sisiemu. Pamoja na kwamba nimekwishachoshwa na udhaifu uliopo ndani ya sisiemu na kwa kulinganisha na wapinzani watakaojitokeza naweza kufikiria upya nani nitampa kura yangu mwaka 2015
--2014-08-25 0:07 GMT+03:00 Emma Kaaya <emma...@gmail.com>:--KWA AKILI YETU TUNAWEZA KUMPA TIKETI YA CHAMA CHETU. UADILIFU BILA UWAJIBIKAJI SIYO SIFA YA KUWA KIONGOZI WA NCHI.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ameingia rasmi katika mbio za kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), hatua ambayo inaonesha mzaha wa kinyang'anyiro cha nafasi hiyo kubwa ya uongozi nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015.
Wengine ambao wamekuwa wakitajwa kuwania uraia kupitia CCM ni Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa na mtangulizi wake katika nafasi hiyo, Frederick Sumaye, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Profesa Mark Mwandosya, Mbunge wa Songea Mjini, Dk Emmanuel Nchimbi na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe.
Wegine ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Steven Wassira na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bunge Maalumu, Samuel Sitta. Wengine wanaotajwa ni Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka na Waziri wa Katiba, Asha-Rose Migiro. Pia wamo Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba, Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja, Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, Balozi Ali Karume, mbunge wa Nzega Dr Hamisi Kigwangalla.
Kiongozi mmoja mwandamizi wa kuratibu kampeni za waziri mkuu Pinda ambaye ni Mwenyekiti wa Mamlaka za Mitaa Tanzania (ALAT) ambaye pia ni Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Masaburi. aliliambia gazeti habari moto moto kuwa, "Yeye (Pinda) ana faida tatu kubwa; kwanza hana kundi katika chama, anaelewana na watu wote, pili nafasi yake ya uwaziri mkuu inampa nafasi ya kufahamika kwa watu wengi na tatu rekodi yake ya uadilifu, hana kashfa, "atawasumbua wagombea wengi kutokana na rekodi yake hasa katika uadilifu." alisema Dr Masaburi kwa kujiamini.
Hata hivyo mwananchi mmoja wa Namanga mkoani Arusha ndugu Josia Mollel aliliambia gazeti habari moto moto kuwa UADILIFU siyo kigezo cha kuwa kiongozi wa nchi, bali watanzania tunaka rais muajibikaji, mfuatiliaji, "development dictator" Pinda hana sifa hizi, yeye ni mzigo tu, hasaidii chama na serikali yake katika mambo mengi muhimu, kwa mtazamo mwingine naweza kusema ni waziri mkuu dhaifu tangu nchi hii ipate uhuru wake, je akiwa rais? aliuliza ndungu Mollel kwa hisia za kukata tamaa na habari za pinda kutaka kupeperusha bendara ya CCM kwenye kinyanganyiro cha urais 2015.
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com .
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout .

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment