Tuesday, 2 September 2014

Re: [wanabidii] URAIS 2015 : Edward Ngoyai Lowassa

Kuna siku nilisoma gazeti fulani lililokuwa likizungumzia eti Ridhi One Kikwete amnyambua Edo....likaendelea kunena eti asema ni mzee na hafai....aisee nilisikitika sana kuwa hivi huyu kijana ni kweli hajui ni kwa jinsi gani edo ameibeba serikali hii hata iwepo amani na mustakabali mwema wa nchi? Nikajitia moyo kwa kumsamehe lkn nikamuomba nikisema baba,ikulu hii isituchagulie rais,tupe raisi sawasawa na mapenzi yako..
MUNGU YUPO

'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>Mbunge wa Monduli tangu afe kipenzi cha watanzania Edward Moringe Sokoine, nadhani ndiyo sababu anafaa kuwa rais ajaye
>--------------------------------------------
>On Tue, 9/2/14, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 : Edward Ngoyai Lowassa
> To: "'tumaini bakobi' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Tuesday, September 2, 2014, 1:00 PM
>
> Tatizo la watz ni kuongea tu bila
> hata wakati mwingine kufikiri kwa kina....unaambiwa tz ni
> moja ya nchi ambayo uchumi wake unakua kwa kasi
> duniasi...hivyo hatujasimama,twasonga mbele...Lowasa ni
> mmoja ya waliochangia mafanikio ya nchi kwa sehemu
> kubwa...na kwa sababu hiyo ndio maana anastahili kupewa
> dhamana kubwa ya uongozi...mchango wake haujifichi kwa
> nyanja zote mpk kwenye nyumba ya ibada unayoingia,radio
> unayosikiliza,maji unayokunywa,nk...ngupula
>
> 'tumaini bakobi' via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Muda na nafasi
> alizoshika serikali kama akusaidia kuleta maendeleo basi
> hataweza tena hata kama akiwa rais. Nadahani anatakiwa
> kung'atuka tu awaachie wengine hatakuwa na
> jipya.
>
> On Tuesday, 2 September 2014, 12:18,
> 'lesian mollel' via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>
> magesa malizia kwa kusema anafaaa kua Rais
> 2015
>
>
> On Saturday, August 30, 2014 12:26
> PM, Boniface Magessa <magessabm@gmail.com> wrote:
>
>
> Mbunge wa Monduli tangu lini??imekaa
> sawa hii?
> On 30 Aug 2014 22:22,
> "Emma Kaaya" <emmakaaya@gmail.com>
> wrote:
>
> Edward
> Ngoyayi Lowassa (amezaliwa 26
> Agosti 1953) ni
> mwanasiasa nchini Tanzania.
> Alichaguliwa kuwa Waziri
> Mkuu wa kumi wa nchi hii tarehe 30
> Desemba 2005 na
> akalazimishwa kujiuzulu tarehe 7
> Februari 2008 kwa
> kutajwa katika kamati ya bunge ya uchunguzi wa ufisadi
> katika utoaji wa tenda kwa kampuni ya umeme ya Richmond kama
> mhusika mkuu.
> Lowassa ni
> mwenyeji na mbunge wa Monduli katika Mkoa wa
> Arusha. Alisoma shahada ya kwanza katika mada ya
> tamthilia kwenye Chuo Kikuu cha wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment