CHADEMA inafanya uchaguzi wa itifaki this time. kitendo cha
kumwangusha NANYARO kitaigharimu bavicha na chadema muda siyo mrefu.
ni kweli kwa wazee,ntagazwa kachezewa rafu na kuweka mzanzibari. eti
wanafuta propaganda kidemokrasia! weka maanani, wanajibu propaganda.
juzi mbowe ameonekana na kikosi cha red briged, anatoa hotuba as if
ameshachaguliwa tayari. anaamrisha vijana na viongozi wapya.amekesha
kwenye uchaguzi wa bavicha.je mgombea mwenzake anazo hizo fursa?
amefanya hivyo kwa wazee,na atafanya kwa wamama. hao ndo wanakuja
kuchagua mwenyekiti taifa. japo sihoji uwezo na suitability ya
mbowe,lakini anatumia nafasi yake kujiandalia mazingira.maana yake ni
kuwa uchaguzi hautakuwa wa haki. nani anabisha?
On 9/11/14, MABADILIKO CHADEMA <mabadilikochadema@gmail.com> wrote:
>
>
> Mzee Mengi kwa muda mrefu ameonekana ni mshirika wa karibu wa CDM.
>
> Sasa jiulize kwanini Mzee Mengi alimtaka Upendo Peneza ashinde Uenyekiti wa
>
> BAVICHA?
>
> Amemuwezesha kifedha na alitumia vituo vya ITV na EATV kujinadi katika
> kampeni zake.
>
> Pia Chadema wametakaa kuwaadaa watu kupitia uchaguzi wa Bavicha kama wao
> hawana ukanda.
> Wametumia nguvu kubwa kuhakikisha Ephata Nanyaro hawezi kushindaa licha ya
> usmart wake katika uongozi na anakijua chama.
> Lengo ni kufanya hivyo ni sababu Nanyaro anatokea Arusha.
>
> Heche alitokea Kanda ya Ziwa katika Mkoa wa Mara.
> Mrithi wake Petrobas nae anatokea Kanda ya Ziwa huko Shinyanga/Mwanza.
>
> Lakini wamesahau kuwa Patrick Ole Sosopi ni wa Kaskazini anayeishi Iringa.
>
> Sasa subirini vituko maana kwa sasa KAMATI TENDAJI YA BAVICHA inakutana
> kumchagua Katibu na Naibu wa Baraza hilo.
> Kuna Dada anaitwa Pamela ndiye atakuwa Katibu na huyu anatokea Kaskazini na
>
> wanataka kufukia kombe ili mwanaharamu apite(mfumo dume wa Chama).
>
> Ila napenda kuwaambia tu kuwa mzimu wa mtoto wa kigoma umeendelea kutawala
> kwenye uchaguzi huu wa Bavicha.
> Wapo wanaojaribu kumuhusisha Petrobass na Mbowe pamoja na Heche kama chaguo
>
> lao si kweli.
> Petrobass anazipenda sana siasa na falsafa za Zitto sambamba na Makamu wake
>
> Sosopi ambaye kwa upande mwingine ni kijana wa Msigwa.
>
> Chaguo la Mbowe na washirika wake walikuwa ni;
>
> Daniel Naftari- Uenyekiti
> Jesca Kishoa-M/Mwenyekiti.
>
> Sasa ngoma ipo kwenye Bawacha maana Chaguo la Wanawake ni Sophia Hebron
> Mwakagenda lakini Mbowe na washirika wake wanamtaka Halima Mdee(huyu ni wa
> Kaskazini)
>
> Nataka niwahakikishie kuwa safari hii Mbowe atashinda kama yeye(mazwazwa
> watamchagu tu) lakini wagombea wake wote watapigwa chini.
> Kama tukifuata Demokrasia na uzoefu na kukijua Chama basi nafasi ya Makamu
> Mwenyekiti Chadema Bara anatakiwa awe ni binti hodari Martha Noah lakini
> mfumo dume unamnyima nafasi pia umaarufu wa kisiasa wa kina Prof. Safari.
>
> Kituko kingine cha Mbowe na washirika wake ni kulazimisha yule Mzanzibar
> awe Mwenyekiti Baraza la Wazee kigezo cha Uislam na upande wa Muungao
> lakini hana uwezo zaidi ya Arcado Ntagazwa aliyeongoza kura kwa awamu zote
> 2.
>
> Kichekesho kingine ni wagombea kutofanyiwa usaili(hapa ndio CCM
> wanapotuzidi na kuonekana Chama makini)
> Lengo la Chama ni kuhofia watakaokatwa watakimbia na kujiunga CCM na hasa
> wengi ACT.
>
> Uchaguzi wenyewe wa Shuleni au Vyuoni kunakuwa na Usaili sasa Kulikoni
> Chadema???
>
> Hivi unadhania bila usaili pale Simba hii leo Michael Wambura angekuwa ni
> Rais wa Klabu hiyo.
>
> Bila ya Usaili kule UVCCM hii leo wangekuwa na uongozi wa yule Muunguja
> Jamal na Mgogo Mavunde.
>
> Sasa uoga wa Mbowe na washirika wake ni upi juu ya Usaili?
>
> Namalizia kwa kusema hivi Bavicha inaelekea kufa kwa kushikwa masikio na
> Mbowe.
> Huwezi ukawa Live Mitandao yote na televisheni kisha ukatoa maneno ya
> kupandikiza chuki na hasira kwa vijana.
> Ndicho alichokifanya jana Mbowe hapa Mlimani City.
>
> Tahadhali vijana mjitambue na mjue kuna maisha nje ya Siasa na tuna Taifa
> linaloitwa Tanzania(maana mie cjawahi kuiona Tanganyika).
> Hivyo tunapaswa kuwa na familia na kujimudu katika Uchumi wa kipato katika
> kuendesha familia zetu zaidi ya kuandamanishwa.
>
> Naombeni uzi huu usambae kwenye Mitandao yote hasa kwenye wall na group za
> fb na whatsapp.
> Muhimu upelekeni JF na MWAHAHALISI FORUM ili Watanzania waone ujinga wa
> Chadema katika kujificha ndani ya vivuli vyetu.
>
> Nikiripoti toka hapa Mlimani City.
>
> Wako,
>
> MSEMAKWELI UCHUKIWA.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment