Thursday, 11 September 2014

Re: [wanabidii] Re: is Mizengo Pinda unfit for presidency??

Aheri pinda kuliko hao wanaojitangaza sasa...Mungu anisamehe,naona heri dhamira ya dhati na uwezo wa kawaida kuliko usanii na uwezo mdogo...Ngupula

Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com> wrote:

AG

On Sunday, November 18, 2012 8:39:36 PM UTC+3, Bariki Mwasaga wrote:
Chambi

Cheki na Jenerali kuhusu suala hili. Natamani ningepata makala yake kuhusu hii nafasi


2012/11/18 Godfrey Ngupula <ngu...@yahoo.co.uk>

natamani kama pinda angesoma maoni haya na ajione jinsi alivyomzigo kwa watanzania.nafikiri sasa viongoz waelewe kuwa watanzania hawampendi mtu kwa sababu ya diplomasia ya ujinga bali uwezo wa kuwasaidia na kuwafikisha wanapotaka.Naungana na yule aliyesema,watu wengine uwezo wao ni kuongoza familia lkn wamepewa nchi.Ngupula



------------------------------
On Sun, Nov 18, 2012 11:11 AM EET mngonge wrote:

>Pamoja na mapungufu yote yatakayokuwa yanatokana na katiba bado mtu
>mwenyewe ana uwezo wa kujisimamia na kufanya mambo watu wakakubali.
>Naungana na ndugu Matanda aliyeuliza swali kwamba je mbona Sokoine
>alitumia katiba hiyo hiyo na akafanya vitu watu tukamkubali?
>
>Mtu ukipewa nafasi ya uwaziri mkuu kisiasa umependelewa sana maana ni
>nafasi ya kutenda watu wakashuhudia uwezo wako kiutendaji. Ukiachia
>mbali Sokoine ata Mh. Lyatonga Mrema aliweza kunguruma na akasikika
>kwamba yupo, wakati wa enzi zake mimi nilikuwa vijijini lakini
>alianzisha utaratibu wa kutembelea maeneo mbalimbali majambazi
>wakatetemeka, wanaume waliokuwa wanawapiga wake zao bila sababu nao
>wakaanza kutetemeka kwa kumuogopa Mrema. Jambo ambalo halijajitokeza
>kwa huyu mheshimiwa.
>
>Uongozi ni kipaji wapo viongozi wengi hapa kwetu tunawaita viongozi tu
>kwa sababu wamepewa kukalia kiti hicho lakini hawana sifa na wala
>hawana uwezo kiuongozi. Kwa nchi kama Tanzania kionozi lazima awe na
>uwezo wa kukemea na watu wamsikie kwa kuonyesha mabadiliko
>yanayotakiwa.
>
>Ninaamini wapo watanzania wengi tu ambao wana uwezo mkubwa wa kuongoza
>ila hawajapewa nafasi ili tuweza kuwapima na kuwatambua kwamba ni
>viongozi bora badala yake tunabaki kuwaangalia hawa ambao wana nafasi
>ya kujitangaza. Je ni wangapi tunafikiri rais ajaye ni mtu anayeweza
>kutoka ata nje ya kundi la CCM? najua wapo watakaosema haiwezekani
>lakini pia tupo tunaosema in awezekana.
>
>Kiongozi yeyote aliyekwishapewa madaraka makubwa kama waziri mkuu au
>mawaziri wengine wanayo nafasi kubwa kujitangaza na kuonyesha uwezo
>wao na wakakubalika kwa wapiga kura kuliko mtu mwingine aliye nje ya
>kundi hilo. Kama mtu amepewa nafasi kama hiyo na akashindwa kuonyesha
>uwezo hakuna sababu ya kusingizia katiba  tatizo ni uwezo mdogo
>kiungozi
>
>On Sun, Nov 18, 2012 at 7:17 AM, Lushengo Lutinwa <lut...@gmail.com> wrote:
>> I guess even the one who started this thread has the answer to his question.
>> MPK is very weak when it comes to decision making.
>>
>> I think his leadership helm is confined to his family level, beyond that
>> mnamuonea.
>>
>> Lutinwa
>>
>> Sent from Samsung Tab 10.1
>>
>> On Nov 18, 2012 2:35 AM, "Chambi Chachage" <cham...@yahoo.com> wrote:
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment