Tuesday, 2 September 2014

Re: [wanabidii] Membe: Bila kufuli la CCM pasingetosha urais 2015

PoleNgupula lakini sijakuonea, nimekwambia kuwa pamoja na ubaya wake wote shetani anao wafuasi wengi pengine kuwashinda Yesu na Mhamadi. Huo ndiyo utaratibu wa dunia, mwovu hupendwa zaidi. Mimi sina mteule wangu kati ya hao unaohangaika nao,labda nikwambie ukwelikabisa toka rohoni mwangu ni mfuasi wa Joseph Sinde Warioba waziri mkuu wa 6 aliyetumikia nchi kwa uaminifu wa hali ya juu, bila mawaa wala kashifa na hajatangaza nia ila ndiye ninayemtaka
--------------------------------------------
On Tue, 9/2/14, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Membe: Bila kufuli la CCM pasingetosha urais 2015
To: "'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, September 2, 2014, 7:28 PM

Fred unanionea,nimesema kama Edo
hatoshei yupo wasira,pinda,mwigulu,nk na sio huyo mteule
wenu atayeshindwa vibaya.



'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

>Yaonekana Ngupula hataki mtu mwingine asiwe zaidi ya
yule mteule wake, dunia haiko hivyo ndugu.Pamojana ubaya
wote anaorundikiwa shetani lakini bado ana watu wanaompenda
>--------------------------------------------
>On Tue, 9/2/14, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] Membe: Bila kufuli la CCM
pasingetosha urais 2015
> To: "'Happiness Katabazi' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Tuesday, September 2, 2014, 4:05 PM
>
> Thanks dada Happiness for your good
> complement....but hata siye tunaoonekana kuwaunga mkono
watu
> fulani na kuwapinga baadhi,lengo letu ni nzuri tu, Ni
kumtoa
> mbuzi ndani ya gunia na kumchambua ubora wake kwa
nyama
> inayotegemewa...mwisho wa siku tutasimama pamoja na
> kukubaliana....kwa atayetuchukia kwa hili,tutamshauri
> aachane tu na siasa,kulima au kufuga kungemfaa
zaidi...
> ngupula
>
>  'Happiness Katabazi' via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
> Naona Ngulupa una nongwa,hayo
> ni mawazo yangu Mimi, SINA Jamaa, wala Membe
hunifahamu
> labda anaweza kunifahamu kupitia Karamu yangu, Mimi
nimetoka
> observation yangu ya ninavyomuona na wala sijasema
anafaa au
> hafai Kuwa Rais.kwani Mimi nimesema na hesabu Membe
Kama
> waziri na Mnec. Sasa Kama wewe una kundi Lako la
kumuunga
> mkono mgombea wenu, misimo tena msiniingize ila siku
zote
> naninarudia kusema kuwa mgombea yoyote atakayetangazwa
na
> chama changu kuwa huyo ndiyo amepitishwa kupeperusha
bendera
> ya chama nitamuunga mkono.Kwasasa nipo nyuma ya
> wanasiasa toka vyama mbalimbali nakuona vibweka vyao
> ,nafurahi ,NAJIFUNZA,wala SINA MUDa wa Kusema Fulani
hafai
> na Fulani anafaa Kwani hata nikisema hafahai Mimi sio
mjumbe
> wa vikao Vya vyama husika Vya kupitisha Majina ya
wagombea.
> Upo? SINA UBAYA na MTu yoyote anayetajwa tajwa wala
atakaye
> tangaze nia ya Kugombea mAana wana Haki ya kufanya
> hivyo.Kazi unakuja KWA wale ambao wamemgeuza
> mitandao ya kijamii kuwachafua baadhi ya watu
wanaodaiwa
> kutaka Kugombea urais hata KWA kuwadhulia uongo.vikao
husika
> niyo vyenye mamlaka ya Kusema mgombea gani anafaa na
nani
> Anahi.hivyo Nyie mnaojitiwa wazimu wazi Kwenye
mitandao
> KUPINGA na kuchafua baadhi ya watu Kwenye mitandao,
> hakuwasaidii Kwani mtaji humid dhambi
> bure.!simamo wangu ni kwamba nimependezewa na
> mahojiano ya Membe na Gazeti la Mwananchi la Jana na
Hakuna
> MTu yoyote wakinibadilisha Katika Hilo.
> Sent from my iPad
> On Sep 2, 2014, at 2:12 PM, "'Ngupula GW' via
> Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
> Kweli mtu chake,naona
> kilichobaki ni kukiri tu kuwa hata miwani yake
inakuvutia
> sana haswa anapokuwa akihojiwa na waandishi....ukweli
ni
> kuwa Membe ni mtu wa kawaida sanaaaa.na mtu wa kawaida
> hawezi kuleta matokea tofauti...tukiyafanya mambo
yaleyale
> na kwa mti uleule,ni lazima tupate matokeo
> yaleyale....binafsi kama  ikishindikana
lowasa,heri
> wasila,mwigulu na hata pinda....ngupula
>
>  'Happiness Katabazi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
> Binafsi, nilisoma mahojiano ya Mzee Bernad Membe na
> waandishi wa Gazeti la Mwananchi Jana, nilivutiwa na
Habari
> hiyo Kwani nimeisoma na kuitafakari vizuri na Kuja
maoni
> yangu Kadhaa juu Membe.
> Kwanza nimependa pale alipokiri adharani Kuwa
> kila mgombea wa nafasi yoyote hata ngazi a urais Ana
kundi
> lake.Nimependa sana Membe alivyotoa Jibu hili Kwani
> ameonyesha wazi siyo mnafki , ni mkweli na anajiamini
KWA
> anayoyayafanywa.
> Kwani Hakuna ubishi Kuwa kuwa hapa nchini kuna
> wanasiasa tena wa viongozi wa juu waliokaribu
kutuamisha
> Kuwa mgombea usiwe na Makundi.Na kwa maoni yangu
> anakubaliana na Membe mgombea lazima uwe na kundi Lako
> ambalo litaakikisha linafanyakazi chini kwachini bila
> kuvunja Kanuni za Chama na chini Lengo ni kuakikisha
mgombea
> wao anashinda nafasi anayetaka Kugombea.
> Pia naunga  mkono  hoja ya  Membe
> alivyotoa rai yake kwa  Chama Chake Kuwa ione wakati
> umefika sasa wakuzifanyia marekebisho baadhi ya Kanuni
Kwani
> Kipindi Kile Membe na wenzake walipokuwa kumhoji wa na
Chama
> Chake Kuwa wameanza kampeni mapema,Membe Anadai
miongoni mwa
> wajumbe wa Kikao kile kilichowapatia Adhabu Leo hii
wana
> mipango ya Kugombea urais licha bado
> hawajajitanga. 
> Kama hivyo ndiyo basi Membe,Edward  Lowassa,
> William Ngeleja, Fredrick Sumaye na wenzake ambao
> walihukumiwa Kifungo Cha Mwaka mmoja na CCM baada ya
> kupatikana na hatia ya kuanza kampeni mapema, Mbele ya
> safari Kama dai Hilo lililotolewa na Membe ni la kweli
basi
> wanaweza kupata Sababu ya Kuja Kulalamika Mbele ya
safari
> Kama siku ikifika watatangaza nia ya Kugombea urais
Kwani
> Hao niliwaotaja bado hawajatangaza nia ila Wanadaiwa
Kuwa
> watagombea.Tusubiri tutaona.
> Lakini pili napenda kumpongeza Membe kwa kuwa
> 'smart' katika Ujibuji wake wa maswali pindi
> anapohojiwa na vyombo mbalimbali Vya Habari na jinsi
> anavyojieleza Kwani umtazamo anaonekana ni MTu
anayejiamini
> na kufahamu anayofanya. 
>  Hasa uwa a alimaliza pale anakuwa akijibu
> Swali analoulizwaga 'Je atagombea urais 2015? Membe
> huj

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment