Mbatia sawa,Lipumba bado sana....niliwahi kumsikia Lipumba akiwahadaa waislam kuwa kama yeye angechaguliwa angewatetea na kuwakomboa tokana na uonevu,lkn jk na mwinyi wamewasaliti....hapo ndipo nilipojua hekima na maarifa ni zawadi ya Mungu na sio elimu tu...huyu nilimfuta katika wagombea urais wa nchi hii wafaao na infact haweZ kuwa hata iweje. .ngupula
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>Nataka kwnye orotha yako kumuongeza James Mbatia na labda kabla Mwigulu hajaja atamtangulia. Yuko Haruna Lipumba pia
>--------------------------------------------
>On Tue, 9/2/14, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] Membe: Bila kufuli la CCM pasingetosha urais 2015
> To: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Tuesday, September 2, 2014, 5:34 AM
>
> Altitudes and capacities are
> uncomparable but can be equated...wiseness and brainability
> towards combating challenges are coded with time events,so
> meaning currentness or outdateness arent of facial
> expressions...in that regard,ENL can really be outdated in
> this country leadership if we Tanzanians speak by all voice
> that ,facial expressions and someones appearences outvalues
> ability,capacity and experiences...kwa maneno mengine
> nasema,kumchagua membe dhidi ya lowasa ni sawa na kumtaka
> mume bora kwa kigezo cha sura na ujinga huo huufanya
> wanawake wapumbavu tu...Tanzanians,we made a mistake...let
> us not repeat the same....tukiona lowasa hafai yupo mwigulu
> kijana jasiri sana,yupo wasira,pinda,nk....ngupula
>
> 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
> >Huu anaymlinganisha Membe na ENL ana matatizo. Sidhani
> kuwa ana muda wa kulinganisha.
> >Look at Membe. He is very current. He can talk of today
> while the other one is gradually becomming outdated
> leave alone the auquard behaviour of ===== as hinted by the
> farther of this nation.
> >Tell him to discuss the current issues of the
> consitutional process! He will not dare say a work. He does
> not want to jeopadise his populality already at the
> lowwest.
> >Jamani
> >--------------------------------------------
> >On Tue, 9/2/14, 'Happiness Katabazi' via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
> >
> > Subject: Re: [wanabidii] Membe: Bila kufuli la CCM
> pasingetosha urais 2015
> > To: "wanabidii@googlegroups.com"
> <wanabidii@googlegroups.com>
> > Date: Tuesday, September 2, 2014, 2:52 AM
> >
> > Binafsi,
> > nilisoma mahojiano ya Mzee Bernad Membe na waandishi
> wa
> > Gazeti la Mwananchi Jana, nilivutiwa na Habari hiyo
> Kwani
> > nimeisoma na kuitafakari vizuri na Kuja maoni yangu
> Kadhaa
> > juu Membe.
> > Kwanza
> > nimependa pale alipokiri adharani Kuwa kila mgombea wa
> > nafasi yoyote hata ngazi a urais Ana kundi
> lake.Nimependa
> > sana Membe alivyotoa Jibu hili Kwani ameonyesha wazi
> siyo
> > mnafki , ni mkweli na anajiamini KWA
> > anayoyayafanywa.
> > Kwani
> > Hakuna ubishi Kuwa kuwa hapa nchini kuna wanasiasa tena
> wa
> > viongozi wa juu waliokaribu kutuamisha Kuwa mgombea
> usiwe na
> > Makundi.Na kwa maoni yangu anakubaliana na Membe
> mgombea
> > lazima uwe na kundi Lako ambalo litaakikisha
> linafanyakazi
> > chini kwachini bila kuvunja Kanuni za Chama na chini
> Lengo
> > ni kuakikisha mgombea wao anashinda nafasi anayetaka
> > Kugombea.
> > Pia naunga
> > mkono hoja ya Membe alivyotoa rai yake kwa
> Chama
> > Chake Kuwa ione wakati umefika sasa wakuzifanyia
> marekebisho
> > baadhi ya Kanuni Kwani Kipindi Kile Membe na wenzake
> > walipokuwa kumhoji wa na Chama Chake Kuwa wameanza
> kampeni
> > mapema,Membe Anadai miongoni mwa wajumbe wa Kikao kile
> > kilichowapatia Adhabu Leo hii wana mipango ya Kugombea
> urais
> > licha bado hawajajitanga.
> > Kama hivyo ndiyo basi Membe,Edward
> > Lowassa, William Ngeleja, Fredrick Sumaye na wenzake
> ambao
> > walihukumiwa Kifungo Cha Mwaka mmoja na CCM baada ya
> > kupatikana na hatia ya kuanza kampeni mapema, Mbele ya
> > safari Kama dai Hilo lililotolewa na Membe ni la kweli
> basi
> > wanaweza kupata Sababu ya Kuja Kulalamika Mbele ya
> safari
> > Kama siku ikifika watatangaza nia ya Kugombea urais
> Kwani
> > Hao niliwaotaja bado hawajatangaza nia ila Wanadaiwa
> Kuwa
> > watagombea.Tusubiri tutaona.
> > Lakini pili napenda kumpongeza Membe
> > kwa kuwa 'smart' katika Ujibuji wake wa maswali
> > pindi anapohojiwa na vyombo mbalimbali Vya Habari na
> jinsi
> > anavyojieleza Kwani umtazamo anaonekana ni MTu
> anayejiamini
> > na kufahamu anayofanya.
> > Hasa uwa a alimaliza pale anakuwa
> > akijibu Swali analoulizwaga 'Je atagombea urais 2015?
> > Membe hujibu HIvi : " Bado Ana ndoto ambayo bado
> > anaitafakari kuona mAana yake'. Binafsi Huwa
> > nikijisikia Jibu Hilo linalotolewa na Membe Kuwa bado
> Ana
> > ndoto ....uwa nacheka sana peke yangu na Kuishia
> Kusema
> > Kuwa 'wanasiasa wanamaneno sana'
> > Nakupongeza kwa Hilo na pia
> > napongeza wamshauri wako wanaokufunda Katika Utendaji
> Kazi
> > wako wa kiserikali,CCM na Nyanja ya Kimataifa Kwani
> Matunda
> > ya Kazi Yao yanaonekana kupitia wewe.
> > Huu ni mtazamo wangu wa jinsi
> > ninavyomuona Membe kupitia vyombo Vya Habari na
> mwonekano
> > wake.Na ieleweke wazi mtazamo wangu huu kwa Membe
> ambaye
> > mimi namhesabu kuwa ni waziri wa Mambo ya Nje na MNEC.
> > simwesababu kama ni mgombea urais kwa hakuna ushahidi
> > unaonyesha Membe tayari ametangaza
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment