Tuesday, 2 September 2014

Re: [wanabidii] Membe: Bila kufuli la CCM pasingetosha urais 2015

Nataka kwnye orotha yako kumuongeza James Mbatia na labda kabla Mwigulu hajaja atamtangulia. Yuko Haruna Lipumba pia
--------------------------------------------
On Tue, 9/2/14, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Membe: Bila kufuli la CCM pasingetosha urais 2015
To: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, September 2, 2014, 5:34 AM

Altitudes and capacities are
uncomparable but can be equated...wiseness and brainability
towards combating challenges are coded with time events,so
meaning currentness or outdateness arent of facial
expressions...in that regard,ENL can really be outdated in
this country leadership if we Tanzanians speak by all voice
that ,facial expressions and someones appearences outvalues
ability,capacity and experiences...kwa maneno mengine
nasema,kumchagua membe dhidi ya lowasa ni sawa na kumtaka
mume bora kwa kigezo cha sura na ujinga huo huufanya
wanawake wapumbavu tu...Tanzanians,we made a mistake...let
us not repeat the same....tukiona lowasa hafai yupo mwigulu
kijana jasiri sana,yupo wasira,pinda,nk....ngupula

'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

>Huu anaymlinganisha Membe na ENL ana matatizo. Sidhani
kuwa ana muda wa kulinganisha.
>Look at Membe. He is very current. He can talk of today
while  the other one is gradually becomming outdated
leave alone the auquard behaviour of ===== as hinted by the
farther of this nation.
>Tell him to discuss the current issues of the
consitutional process! He will not dare say a work. He does
not want to jeopadise his populality already at the
lowwest.
>Jamani
>--------------------------------------------
>On Tue, 9/2/14, 'Happiness Katabazi' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] Membe: Bila kufuli la CCM
pasingetosha urais 2015
> To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Tuesday, September 2, 2014, 2:52 AM
>
> Binafsi,
> nilisoma mahojiano ya Mzee Bernad Membe na waandishi
wa
> Gazeti la Mwananchi Jana, nilivutiwa na Habari hiyo
Kwani
> nimeisoma na kuitafakari vizuri na Kuja maoni yangu
Kadhaa
> juu Membe.
> Kwanza
> nimependa pale alipokiri adharani Kuwa kila mgombea wa
> nafasi yoyote hata ngazi a urais Ana kundi
lake.Nimependa
> sana Membe alivyotoa Jibu hili Kwani ameonyesha wazi
siyo
> mnafki , ni mkweli na anajiamini KWA
> anayoyayafanywa.
> Kwani
> Hakuna ubishi Kuwa kuwa hapa nchini kuna wanasiasa tena
wa
> viongozi wa juu waliokaribu kutuamisha Kuwa mgombea
usiwe na
> Makundi.Na kwa maoni yangu anakubaliana na Membe
mgombea
> lazima uwe na kundi Lako ambalo litaakikisha
linafanyakazi
> chini kwachini bila kuvunja Kanuni za Chama na chini
Lengo
> ni kuakikisha mgombea wao anashinda nafasi anayetaka
> Kugombea.
> Pia naunga
>  mkono  hoja ya  Membe alivyotoa rai yake kwa
 Chama
> Chake Kuwa ione wakati umefika sasa wakuzifanyia
marekebisho
> baadhi ya Kanuni Kwani Kipindi Kile Membe na wenzake
> walipokuwa kumhoji wa na Chama Chake Kuwa wameanza
kampeni
> mapema,Membe Anadai miongoni mwa wajumbe wa Kikao kile
> kilichowapatia Adhabu Leo hii wana mipango ya Kugombea
urais
> licha bado hawajajitanga. 
> Kama hivyo ndiyo basi Membe,Edward
>  Lowassa, William Ngeleja, Fredrick Sumaye na wenzake
ambao
> walihukumiwa Kifungo Cha Mwaka mmoja na CCM baada ya
> kupatikana na hatia ya kuanza kampeni mapema, Mbele ya
> safari Kama dai Hilo lililotolewa na Membe ni la kweli
basi
> wanaweza kupata Sababu ya Kuja Kulalamika Mbele ya
safari
> Kama siku ikifika watatangaza nia ya Kugombea urais
Kwani
> Hao niliwaotaja bado hawajatangaza nia ila Wanadaiwa
Kuwa
> watagombea.Tusubiri tutaona.
> Lakini pili napenda kumpongeza Membe
> kwa kuwa 'smart' katika Ujibuji wake wa maswali
> pindi anapohojiwa na vyombo mbalimbali Vya Habari na
jinsi
> anavyojieleza Kwani umtazamo anaonekana ni MTu
anayejiamini
> na kufahamu anayofanya. 
>  Hasa uwa a alimaliza pale anakuwa
> akijibu Swali analoulizwaga 'Je atagombea urais 2015?
> Membe hujibu HIvi : " Bado Ana ndoto ambayo bado
> anaitafakari kuona mAana yake'. Binafsi Huwa
> nikijisikia Jibu Hilo linalotolewa na Membe Kuwa bado
Ana
> ndoto ....uwa nacheka sana  peke yangu na Kuishia
Kusema
> Kuwa 'wanasiasa wanamaneno sana'
> Nakupongeza kwa  Hilo na pia
> napongeza wamshauri wako wanaokufunda Katika Utendaji
Kazi
> wako wa kiserikali,CCM na Nyanja ya Kimataifa Kwani
Matunda
> ya Kazi Yao yanaonekana kupitia wewe.
> Huu ni mtazamo wangu wa jinsi
> ninavyomuona Membe kupitia vyombo Vya Habari na
mwonekano
> wake.Na ieleweke wazi mtazamo wangu huu kwa Membe
ambaye
> mimi namhesabu kuwa ni waziri wa Mambo ya Nje na MNEC.
> simwesababu kama ni mgombea urais kwa hakuna ushahidi
> unaonyesha Membe tayari ametangaza kuwa mgombea
> urais.
> Tumbeane uzima
> na Afya njema ili 2015 ifike tuwajue wagombea urais
kutoka
> vyama vyote.
> i
>
> Sent from my
> iPad
> On Sep 2,
> 2014, at 12:13 PM, "'lesian mollel' via
> Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
> anajifagilia lakini
> hauziki membe ........si kiviiile, huwez kumfananisha
na ENL
> hata kidogo

>
>      On Monday, September
> 1, 2014 11:45 PM, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
> wrote:
>     
>
>  Its a good strategy for
> campaign
> On Sep 2, 2014 9:26
> AM, "Abdalah Hamis" <hamisznz@gmail.com>
> wrote:
>
> Waziri wa
> Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard
Membe
> akisisitiza jambo katika mahojiano maalumu na wahariri
wa
> gazeti la Mwananchi, ofisini kwake jijini Dar es
Salaam,
> hivi karibuni. Picha na Edwin Mjwahuzi
>
> Na Kizitto Noya, Mwananchi
>
>
> Uamuzi wa Kamati Kuu ya CCM wa kuwadhibiti kwa mwaka
mmoja
> makada wake sita waliobainika kukiuka kanuni kwa
kuanza
> mapema kampeni za urais, unaweza kuwa uliwakera wengi,
> lakini si Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
> Kimataifa, Benard Membe, ambaye ni mmoja wa
'waliofungwa
> kufuli'.
>
> Membe anaona adhabu hiyo ilikuwa mwafaka na kwamba
laiti
> uamuzi huo usingefanywa mapema, "ingekuwa vurugu
> tupu".
> "Sijui
> nchi hii ingekuwa wapi kama watu wangeachwa bila ya
kuwekewa
> 'gavana'," alisema Waziri Membe kwen

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment