Tuesday, 2 September 2014

Re: [wanabidii] Membe: Bila kufuli la CCM pasingetosha urais 2015

Fred unanionea,nimesema kama Edo hatoshei yupo wasira,pinda,mwigulu,nk na sio huyo mteule wenu atayeshindwa vibaya.



'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>Yaonekana Ngupula hataki mtu mwingine asiwe zaidi ya yule mteule wake, dunia haiko hivyo ndugu.Pamojana ubaya wote anaorundikiwa shetani lakini bado ana watu wanaompenda
>--------------------------------------------
>On Tue, 9/2/14, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] Membe: Bila kufuli la CCM pasingetosha urais 2015
> To: "'Happiness Katabazi' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Tuesday, September 2, 2014, 4:05 PM
>
> Thanks dada Happiness for your good
> complement....but hata siye tunaoonekana kuwaunga mkono watu
> fulani na kuwapinga baadhi,lengo letu ni nzuri tu, Ni kumtoa
> mbuzi ndani ya gunia na kumchambua ubora wake kwa nyama
> inayotegemewa...mwisho wa siku tutasimama pamoja na
> kukubaliana....kwa atayetuchukia kwa hili,tutamshauri
> aachane tu na siasa,kulima au kufuga kungemfaa zaidi...
> ngupula
>
> 'Happiness Katabazi' via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Naona Ngulupa una nongwa,hayo
> ni mawazo yangu Mimi, SINA Jamaa, wala Membe hunifahamu
> labda anaweza kunifahamu kupitia Karamu yangu, Mimi nimetoka
> observation yangu ya ninavyomuona na wala sijasema anafaa au
> hafai Kuwa Rais.kwani Mimi nimesema na hesabu Membe Kama
> waziri na Mnec. Sasa Kama wewe una kundi Lako la kumuunga
> mkono mgombea wenu, misimo tena msiniingize ila siku zote
> naninarudia kusema kuwa mgombea yoyote atakayetangazwa na
> chama changu kuwa huyo ndiyo amepitishwa kupeperusha bendera
> ya chama nitamuunga mkono.Kwasasa nipo nyuma ya
> wanasiasa toka vyama mbalimbali nakuona vibweka vyao
> ,nafurahi ,NAJIFUNZA,wala SINA MUDa wa Kusema Fulani hafai
> na Fulani anafaa Kwani hata nikisema hafahai Mimi sio mjumbe
> wa vikao Vya vyama husika Vya kupitisha Majina ya wagombea.
> Upo? SINA UBAYA na MTu yoyote anayetajwa tajwa wala atakaye
> tangaze nia ya Kugombea mAana wana Haki ya kufanya
> hivyo.Kazi unakuja KWA wale ambao wamemgeuza
> mitandao ya kijamii kuwachafua baadhi ya watu wanaodaiwa
> kutaka Kugombea urais hata KWA kuwadhulia uongo.vikao husika
> niyo vyenye mamlaka ya Kusema mgombea gani anafaa na nani
> Anahi.hivyo Nyie mnaojitiwa wazimu wazi Kwenye mitandao
> KUPINGA na kuchafua baadhi ya watu Kwenye mitandao,
> hakuwasaidii Kwani mtaji humid dhambi
> bure.!simamo wangu ni kwamba nimependezewa na
> mahojiano ya Membe na Gazeti la Mwananchi la Jana na Hakuna
> MTu yoyote wakinibadilisha Katika Hilo.
> Sent from my iPad
> On Sep 2, 2014, at 2:12 PM, "'Ngupula GW' via
> Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
> Kweli mtu chake,naona
> kilichobaki ni kukiri tu kuwa hata miwani yake inakuvutia
> sana haswa anapokuwa akihojiwa na waandishi....ukweli ni
> kuwa Membe ni mtu wa kawaida sanaaaa.na mtu wa kawaida
> hawezi kuleta matokea tofauti...tukiyafanya mambo yaleyale
> na kwa mti uleule,ni lazima tupate matokeo
> yaleyale....binafsi kama ikishindikana lowasa,heri
> wasila,mwigulu na hata pinda....ngupula
>
> 'Happiness Katabazi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
> Binafsi, nilisoma mahojiano ya Mzee Bernad Membe na
> waandishi wa Gazeti la Mwananchi Jana, nilivutiwa na Habari
> hiyo Kwani nimeisoma na kuitafakari vizuri na Kuja maoni
> yangu Kadhaa juu Membe.
> Kwanza nimependa pale alipokiri adharani Kuwa
> kila mgombea wa nafasi yoyote hata ngazi a urais Ana kundi
> lake.Nimependa sana Membe alivyotoa Jibu hili Kwani
> ameonyesha wazi siyo mnafki , ni mkweli na anajiamini KWA
> anayoyayafanywa.
> Kwani Hakuna ubishi Kuwa kuwa hapa nchini kuna
> wanasiasa tena wa viongozi wa juu waliokaribu kutuamisha
> Kuwa mgombea usiwe na Makundi.Na kwa maoni yangu
> anakubaliana na Membe mgombea lazima uwe na kundi Lako
> ambalo litaakikisha linafanyakazi chini kwachini bila
> kuvunja Kanuni za Chama na chini Lengo ni kuakikisha mgombea
> wao anashinda nafasi anayetaka Kugombea.
> Pia naunga  mkono  hoja ya  Membe
> alivyotoa rai yake kwa  Chama Chake Kuwa ione wakati
> umefika sasa wakuzifanyia marekebisho baadhi ya Kanuni Kwani
> Kipindi Kile Membe na wenzake walipokuwa kumhoji wa na Chama
> Chake Kuwa wameanza kampeni mapema,Membe Anadai miongoni mwa
> wajumbe wa Kikao kile kilichowapatia Adhabu Leo hii wana
> mipango ya Kugombea urais licha bado
> hawajajitanga. 
> Kama hivyo ndiyo basi Membe,Edward  Lowassa,
> William Ngeleja, Fredrick Sumaye na wenzake ambao
> walihukumiwa Kifungo Cha Mwaka mmoja na CCM baada ya
> kupatikana na hatia ya kuanza kampeni mapema, Mbele ya
> safari Kama dai Hilo lililotolewa na Membe ni la kweli basi
> wanaweza kupata Sababu ya Kuja Kulalamika Mbele ya safari
> Kama siku ikifika watatangaza nia ya Kugombea urais Kwani
> Hao niliwaotaja bado hawajatangaza nia ila Wanadaiwa Kuwa
> watagombea.Tusubiri tutaona.
> Lakini pili napenda kumpongeza Membe kwa kuwa
> 'smart' katika Ujibuji wake wa maswali pindi
> anapohojiwa na vyombo mbalimbali Vya Habari na jinsi
> anavyojieleza Kwani umtazamo anaonekana ni MTu anayejiamini
> na kufahamu anayofanya. 
>  Hasa uwa a alimaliza pale anakuwa akijibu
> Swali analoulizwaga 'Je atagombea urais 2015? Membe
> huj

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment