MKURUGENZI wa Kampuni ya Ulinzi ya Advanced Limited, Juma Ntinginya (47) na wenzake wawili, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kuwahifadhi raia wa Nepal.
Washtakiwa hao walipanda kizimbani jana mbele ya Hakimu Mkazi, Devotha Kisoka na kusomewa mashtaka na Wakili wa Serikali kutoka Idara ya Uhamiaji, Patrick Ngayomela.
Ngayomela alidai washtakiwa wengine katika kesi hiyo ni Meneja uendeshaji wa kampuni hiyo, Henry Mwakipunda (34) na dereva Hamza Sefu (30).
Akiwasomea mashtaka yao, Ngayomela alidai kuwa Agosti 29 mwaka huu, maeneo ya Kijitonyama, wilayani Kinondoni, kinyume na sheria, washtakiwa waliwahifadhi raia wa Nepal huku wakijua kufanya hivyo ni kosa.
Washtakiwa wote walikiri kutenda makosa hayo na kwamba waliwaingiza raia hao kwa nia ya kufanya kazi katika kampuni yao.
Inadaiwa viza walizokuwa nazo zilikuwa kwa ajili ya kutembea nchini na si kufanya kazi.
Hakimu Kisoka aliwahukumu washtakiwa kwenda jela mwaka mmoja au kulipa faini ya Sh 100,000 kila mmoja. Wote walilipa faini na kuachiwa huru.
Wakati huo huo, mshtakiwa Halit Gurbuz (33) ambaye ni raia wa Uturuki, alipandishwa kizimbani katika mahakama hiyo mbele ya Hakimu Mkazi, Emilius Mchauru, kwa makosa mawili ya kuishi nchini na kufanya kazi bila kibali.
Ngayomela akimsomea mashtaka, alidai Agosti 30 mwaka huu maeneo ya Mikocheni, mshtakiwa akiwa raia wa Uturuki, alikutwa akiishi nchini bila kibali.
Katika shtaka la pili, anadaiwa huku akijua hana kibali cha kuishi nchini, alikuwa anafanya kazi Kampuni ya Techno Plus bila kibali cha kumruhusu kufanya hivyo.
Mshtakiwa alikiri kosa na Hakimu Mchauru aliahirisha kesi hiyo hadi leo kwa ajili ya kumsomea hukumu. Hata hivyo, mshtakiwa alikwenda mahabusu Keko.
Komandoo Sidhee Bahadurkatuwal (kulia) kutoka Nepal akionesha nyumba ya Mrwanda aliyokuwa akiilinda kupitia kampuni ya Ulinzi ya Advanced Security karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, akiwa na makomandoo wenzake kutoka Nepal.
On Tuesday, September 2, 2014 5:44:02 PM UTC+3, Bariki Mwasaga wrote:
Wacheni kukuza mambo
On Sep 2, 2014 4:23 PM, "'Nickson ngajilo' via Wanabidii" <wana...@googlegroups.com> wrote:--Hivi ni vituko,Usalama wa taifa mko wapi?Mzaha mzaha hutumbua usaha,nyinyi mnaendekeza politics mnaacha kufanya kazi yenu.Hii inaonyesha namna gani ambayo hamko serious na kazi yenu.Mkuu wa usalama wa taifa kwa nini usiachie ngazi kwa kashfa hii.
On Tuesday, September 2, 2014 2:05 PM, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wana...@googlegroups.com> wrote:
--Yaah;Comrade Yona hii inaniingia,kuna logic ndani.Reuben
From: Yona Maro <oldm...@gmail.com>
To: wanabidii <wana...@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, September 2, 2014 1:22 PM
Subject: Re: [wanabidii] MAKOMANDOO WA NEPAL WAONYESHA NYUMBA YA MNYARWANDA WALIYOKUWA WAKILINDA UWANJA WA NDEGE DAR
Ndugu zangu ,Sometimes wanaachiwa waendelee na shuguli zao kwa sababu maalum , kwa sababu zinatakiwa kupatikana taarifa nyingi zaidi kuhusu wao na watu wanaofanya nao kazi na hata kuzuia hujuma nyingine .Ila wakishikwa mapema unaweza kuvuruga upelelezi / ufuatiliaji kwa kiasi kikubwa .--2014-09-02 10:16 GMT+03:00 Lusajo Mwasampeta <sirjokissy@gmail.com>:
Kama kuna siku moja ulimkaribisha mtu nyumbani kwako thenukamruhusu hadi chumbani kwako, basi, ujue siku nyingineHata ukiwa haupo atajisikia huru na haki kabisa kufika sebuleni pako bilataarifa na watoto kwa kuwa wanajua kuwa huwa anaingia chumbanihata hawatamzuia au kuhoji!LM
Sent from my iPhoneKwani ndo wanaanza? Mbona tangu miaka ya 2005 wanepali ndo wanalinda migodini?Field MarshalOn 2 Sep 2014 08:54, "'Zaidan Mollel' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:--
--jamani tuwe makini. hivi Mnepal kuja tanzania kufanya kazi ya ulinzi? kweli watanzania wenzangu inawaingia akilini kweli? jamani tuwe seriuos vinginenvyo amani yenu itapotea muda si mrefu. mbona kwa wenzetu tukienda kila unapopita unaulizwa passpot iweje kwetu watu wanaingia kama wanakwenda kariakoo?.hebu uhamiaji tembeleeni huko mitaani mtaona mambo ya ajabu sana.na wanaotoa vissa kuweni na uchungu na hii nchi.oneni wenzetu wanavyopata tabu vita kila pembe.Tunatakiwa tuwe makini.na hao wanao waleta hapa wengi wameangalia weekness yenu wakaamua kuwaingiza.au labda wana agenda nyingine mimi na wewe ambao hatuijui. komandoo aje akafanye kazi ya ulinzi? Mh!! haya
On Monday, September 1, 2014 1:37 PM, Arbo <akihaule@gmail.com> wrote:
Jovias, kumbe ndio maana waliitwa Marekani hivi majuzi kati ?--
On Monday, 1 September 2014 18:54:41 UTC+1, jovias mwesiga wrote:Mko busy kusema dual citzenship ni hatari kwa usalama wa taifa. Huyu kaja kaoa dada yetu kakaa karibu na airport anashirikiana na sisis kila siku tunamwangalia tu.Usalama wa taifa ni.ngumu kuwadhihaki.sababu walivyona nguvu rahisi kukupotezea lakini ukweli unabaki kama taifa tumepoteza kitu kilichokuwa ndani ya utanzania wetu. Tulipenda wageni tuliwafanya wajisikie wako nyumbani ili tupate nafasi ya kuwajua uzuri wao na ubaya wao lakini sasa mgeni.njoo tuna.njaaa tushibishe tutakutumikia kadiri ya mapenzi yako.Inasikitisha unaposikia mtu anasema ukitaka kitu Tanzania tafuta mtu serikalini.mpeleke ulaya akirudi unapata unachohitaji.Makampuni ya ulinzi yanafanya kazi bila kumulikwa huku tukijua.yanatoka nje tunasubiri.mpaka yapindue nchi. Wanafanya mafunzo ya watu wao si ajabu bila kuangaliwa wanachofanya wanaajiri watu wa nje hata wasio na vibali vya kazi hata vikiisha havikaguliwi.Tanzania inaelekea wapi?!On Sep 1, 2014 11:24 AM, "Emmanuel Muganda" <emug...@gmail.com> wrote:It is very sad indeed. Hivi hawaoni jinsi Al shabab inavyowatoa Wakenya kamasi? They want that to happen to us too?em--On Mon, Sep 1, 2014 at 12:10 PM, Boniface Magessa <mage...@gmail.com> wrote:
Vyombo vya usalama vipo kuhujumu upinzani tu, haviangalii usalama wa taifa letu!On 1 Sep 2014 17:04, "Emmanuel Muganda" <emug...@gmail.com> wrote:--Kilasaera,Kumuumbua tu hakutoshi. Vyombo vya usalama Tanzania vinafanya kazi gani?em--On Mon, Sep 1, 2014 at 6:53 AM, Kilasara Fratern <kilasara...@gmail.com> wrote:
Kama ni kweli, basi, Mungu kamuumbua!2014-09-01 13:42 GMT+03:00 Boniface Magessa <mage...@gmail.com>:
Connect dots: kagame vs jk, huyo mrwanda kwa nn aliamua kuishi jirani na uwanja wa ndege?
Alikuwa anataka nini..alipewa kaxi maalum kuifanya..connect..connect..On 1 Sep 2014 12:02, "Emma Kaaya" <emma...@gmail.com> wrote:----Komandoo Sidhee Bahadurkatuwal (kulia) kutoka Nepal akionesha nyumba ya Mrwanda aliyokuwa akiilinda kupitia kampuni ya Ulinzi ya Advanced Security karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, akiwa na makomandoo wenzake kutoka Nepal,Maofisa wa Uhamiaji wakimhoji mama wa kitanzania aliyeolewa na mnyarwanda ambao nyumba yao ilikuwa ikilindwa na Komandoo kutoka NepalBaadhi ya makomandoo wa kijeshi kutoka Nepal wakiwa wamevalia sare ya Kampuni ya Ulinzi ya Advanced katika nyumba hiyo.
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@ googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@ googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/ optout.

--
-----------------------
Fratern Kilasara,
P. O. Box - (Home): 62810; or (Office): 65300
Dar es Salaam - Tanzania.
Telephone (Office): +255 (0)22 2700021/4 Ext No. 239; Fax: +255 (0)22 2775591
Mobile (Personal): +255 (0)715 40 41 53 or +255 (0)754 40 41 53
Emails: kilasara...@gmail.com or kilasara...@yahoo.com
--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@ googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@ googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/ optout.
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@ googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@ googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/ optout.
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@ googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@ googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/ optout.
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@ googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@ googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/ optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com .
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout .

--Yona Fares MaroInstitut d'études de sécurité - SA
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com .

To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
.jpg)
0 comments:
Post a Comment