Friday, 12 September 2014

Re: [wanabidii] KINA MAMA ACHENI UVIVU MNAHARIBU NDOA ZENU

Asante sana Kaka Sylvanus. Nashukuru Mungu sikutumia nguvu yoyote  kuelewa uimanishacho. Jmn tukibahatika kutoka nje ya Tanzania tupate na muda wa kujifunza vitu kama hivi. Hv kweli kuna kama mimi nadamka alfajiri kama wewe baba, nikifika ofisini natumikishwa na mwajiri kama wewe utumikishwavyo na bado pato la ndani nawajibika kuchangia sasa kwanini mimi nigeuzwe punda na Baba awe Mtu wa kuinjoy life?. Unajua nyakati zimebadilika hakunaga tena wanawake wa kukaa vibarazani na kupaka hina na wanja wakisubiri kuletewa na kama wapo basi hao hawafai kuwa na house girl ndani  na kama wanao basi ni dhambi kubwa waache mara moja.

 Wamama wengi tunaonekana wazee wa kuchonga na kuweka mguu juu ili hina ikauke si kweli. Shida inapokuja ni pale Mama anapokuwa ktk harakati za kuinsisti maswala muhimu ya familia BABA anaona ni kelele . BAADHI na SIO WOTE ya waBaba wapendacho ni kula bata kuja nyumbani usiku wa manane ikifahamu kabisa atakuta wife amelala ili afunguliwe mlango na msichana wa kazi. Na kama ujuavyo wengi wa wasichana hawa wako na agenda zao za siri miyoyoni mwao, na inapotokea baba nae hamnazo unarudi nyumbani na mapombe yako na mbaya zaidi ikatokea ukakosea badala ya kufungua pazia ukafungua khanga ya binti kifuani unategemea nini hapo? Wababa nao wako smart wanapendaga sana kumega mahouse girl wakijua sio wagawaji muda wote anashinda kwa himaya yake, hawanaga gharama haitaji guest house makochi tuu au nyuma ya mlango panatosha sana, n.k. .

Sopoint yangu ya Msingi hapa ni kwamba tunawajibika kusaidiana kwenye nyumba Mkeo sio punda wako, Waume muwe considerate tena especial kama wewe mkeo naye ni mwajiriwa. Ikifika ukathamini House girl kushinda mkeo basi uwahi kwa Psychatric Dr. House girl hana thaman aliyenayo mkeo. Dada Fatma bd natambua thamani ambayo sisi akina mama tunapaswa kuwapa wasaidizi wetu wa ndani, lakini pia nakataa perception za walio wengi kuwa House girl ndio engine ya nyumba................  Na Ndio maana tukawa na DIVISION of Labour. ndugu zanguni. 

2014-09-12 7:50 GMT+03:00 'Sylvanus Kessy' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

Naunga mkono, kuwa na house girl ndani ya nyumba ni uvivu si tu kwa akina mama bali wote, baba na mama au mke na mume. Wote wawili wakisaidiana kazi za ndani hakuihitaji mhudumu wa ndani.

Huku Ulaya (Ujerumani) kitu kama hicho hakipo. Utakuta familia inashirikiana kumudu kazi zote bila kuhitaji msaada zaidi. Kwetu waafrika nadhani tuna bado ule umwenye, Umangi kuwa Bwana ni kungoja chakula mezani au kwenda viwanja (kwenye baa) au kupiga zoga na wenzake hali mke aogeshe watoto, afue, apike, adeki kuanda chakula mezani nk. hakika mama hataweza. Kwa wenzetu kazi zote ndani ya nyumba mme na mke hushirikiana. Kupika, kufua, kudeki nk.

Kingine Ulaya hakuna cha kibarua. Iwapo utakuwa na mfanyakazi wa Ndani utafuata taratibu zooote za ajira. Na utalimpa kwa kiwango. Nadhani mfumo wa vibarua na ulalahoi na ukubwa wa familia unatulemea. Yafaa kabisa tubadilike kifikra.

Kuna kijana mmoja (miaka 24 hivi), alisha wahi fika Ofisini kwangu. Kajieleza nimsaidie sh 3,500 hela ya cheti cha hospital. Nilipomhoji zaidi akaniambia ana watoto 5 kwa wanawake 4. Nikahemwa, nikafunga ofisi nikatoka nje. Nikajua kuwa watoto wote hao ni mlolongo wa maskini Tanzania. Hivyo hiyo vita ya kupambana na umasikini bila kuelimisha watu kiakili ni kazi bure. Utazaaje watoto hali huna mpango wowote wa kuwatunza na kuwapatia  mahitaji yao stahiki? Tubadilike.

--------------------------------------------
On Fri, 9/12/14, 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] KINA MAMA ACHENI UVIVU MNAHARIBU NDOA ZENU
 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Friday, September 12, 2014, 12:20 AM

 Nini maana aga ya
 zile training za kitchen party? au ni kupeana vyombo
 tu.....cc masaini wabibi wanafanya darasa maalum la role ya
 mama ktk nyumba na ethics kibao wanapewa ndio maana ni vigum
 sana mama wa kimasai kuachika, they know their role
 .......hii mama ya mijini ni hatari tupuuuuuuu

      On Thursday,
 September 11, 2014 11:46 AM, mngonge franco
 <mngonge@gmail.com> wrote:

  Ipo haja ya kuanzisha
 semina au course mbalimbali za kuwaelimisha akina mama , ma
 housegirls na hata akina baba namna ya ku manage mambo ya
 nyumbani kwa kushirikiana. Shria zilizopo khuhusu ajira ya
 watau kama mahousegirl ziangaliwe upya ili kuwadhibiti
 waajiri nuksi

 On Thu, Sep 11, 2014
 at 7:18 PM, Erick Maro <rikmaro@gmail.com>
 wrote:
 HILO NALO NENO.
 On Sep 11, 2014 6:34
 PM, "Abby Mrisho" <abbymrisho@gmail.com>
 wrote:
 Wape wape dada, msg delivered!

 2014-09-11 17:17
 GMT+03:00 Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>:
 Fatma wabenjing hawataki.hilo

 On Sep 11, 2014 8:29
 AM, "Fatima Husenali" <husenalif@gmail.com>
 wrote:
 Asilimia
 kubwa ya akina mama sasa hivi wanalalamika uhaba wa wadada
 wa kazi, na wengine wanalalamika kuhujumiwa ndoa zao na
 wadada hao, lakini ukichunguza kwa makini kuna upuuzi mwingi
 sana unaofanyika, wadada wa kazi wanatumika kama Punda,
 hapumziki kuanzia asubuhi mpaka jioni, ni wachache sana
 wanaishi nao kibinaadamu, akina mama punguzeni uvivu, wadada
 wa kazi nao ni binaadamu, haiwezekani wewe vilikushinda
 alafu umchukue mtoto wa watu uje kumtumikisha kutwa wewe
 umekaa miguu juu utafikili ndoa
  uliambiwa ni maonyesho ya sabasaba, mkiendelea hivyo kila
 siku wadada wa kazi watawapindua kwenye ndoa sababu ni
 wanaume wachache sana wanapenda mwanamke mvivu hodari wa
 mdomo!! Mkichukia shauri yenu.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 Abdallah Mrisho
 General Manager
 Global Publishers Ltd
 P. O. BOX 7534
 DAR ES SALAAM TANZANIA
 mobile: +255 713 839 363
 Please visit me at:
 www.abdallahmrisho.blogspot.com,
 www.globalpublishers.info

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment