Thursday, 11 September 2014

Re: [wanabidii] KINA MAMA ACHENI UVIVU MNAHARIBU NDOA ZENU

Wape wape dada, msg delivered!

2014-09-11 17:17 GMT+03:00 Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>:

Fatma wabenjing hawataki.hilo

On Sep 11, 2014 8:29 AM, "Fatima Husenali" <husenalif@gmail.com> wrote:
Asilimia kubwa ya akina mama sasa hivi wanalalamika uhaba wa wadada wa kazi, na wengine wanalalamika kuhujumiwa ndoa zao na wadada hao, lakini ukichunguza kwa makini kuna upuuzi mwingi sana unaofanyika, wadada wa kazi wanatumika kama Punda, hapumziki kuanzia asubuhi mpaka jioni, ni wachache sana wanaishi nao kibinaadamu, akina mama punguzeni uvivu, wadada wa kazi nao ni binaadamu, haiwezekani wewe vilikushinda alafu umchukue mtoto wa watu uje kumtumikisha kutwa wewe umekaa miguu juu utafikili ndoa uliambiwa ni maonyesho ya sabasaba, mkiendelea hivyo kila siku wadada wa kazi watawapindua kwenye ndoa sababu ni wanaume wachache sana wanapenda mwanamke mvivu hodari wa mdomo!! Mkichukia shauri yenu.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Abdallah Mrisho
General Manager
Global Publishers Ltd
P. O. BOX 7534
DAR ES SALAAM TANZANIA
mobile: +255 713 839 363
Please visit me at:
www.abdallahmrisho.blogspot.com, www.globalpublishers.info

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment